kuchanganyikiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi walipotea Kiakili na Kuchanganyikiwa Kitaaluma hasa katika Awamu yako 2005-2015

    "ASILIMIA 53 ya wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) leo ni wanawake. Sijui wanaume wamekwenda wapi? Rais Mstaafu Dk Jakaya Kikwete na Mkuu wa Chuo amehoji wakati wa Duru ya tano ya Mahafali ya 52 na kuongeza “itabidi tufanye utafiti.” Chanzo: HabariLeo Acha kutupotezea muda wenye...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Jamaa aua watu sita na kujiua Urusi, raia wameanza kuchanganyikiwa

    Taifa limefika pabaya, damu ya watu wa Ukraine itawatia pabaya Warusi....wajaribu na kurekebisha mapema... Ukraine walikua wanaendesha nchi yao kwa amani, tena kidemokrasia walikua wameizidi Urusi, unawakuta na kusambaratisha nyumba zao, na kuwaua halafu unategemea watu wako waishi kwa amani...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nchi imetulia tuliii wameanza kuchanganyikiwa Mana hawaamini!!

    Wakati wa jpm nchi ilikuwa imeparaganyika watu wakabaki wanaogopa tu wale wasiojulikana na yeye mwenyewe akqbaki anawinda wanaomkosoa ili wauawe au wapewe makesi ya ajabu. Sasa nchi imetulia tuliii na watu wameanza kupumua na kutoa ya moyoni yaliyokuwa yanawasibu Mana kipindi kile kulikuwa...
  4. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nahisi naanza kuchanganyikiwa, wapi nitapata tiba?

    Nimefikisha mwaka tangu nipoteze ajira baada ya kuingia COVID-19. Kwa sasa nipo mtaani kwa muda mrefu sina shughuli yoyote ya kufanya sababu nilikuwa ni mtu naeishi maisha ya ku-dedicate muda wangu na nguvu zangu kwenye kazi za ofisi. Sikuwai kuwaza kama kuna siku naweza kukaa bila kupata...
Back
Top Bottom