KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,600
- 8,647
Kwa mtazamo wangu bila kwenda mbali, nikwamba Islael kashindwa vita! alichobaki nacho ni War Madness!. Amebaki kupiga huko na huku akiua watu wasiyo na hatia akidhani anawaua watesi wake, kitu ambacho siyo! Mji wa mwisho kuuteketeza utakuwa ni Rafah, lakini nako ataambulia patupu na mateka hawatakuja kupatikana kamwe!.
Na hao watesi wake hawapo Gaza! cha kushangaza Mossad wameishiwa mbinu kabisa za kujua mateka wapo wapi hadi sasa,Kambi za wakimbizi zimelipuliwa,hospitali zimechomwa kwakisingizio wamejificha humo lakini wapi wanakuta ni raia,!
Sasa Israel nikama mtu mlevi kashika LMG na mkanda wa risasi 300 na kaporwa simu katikati ya soko!, anafyatua risasi hovyo hovyo! badadala ya kutuliza kichwa!na kujua mwizi kaelekea wapi ili ajue namna ya kumkamata!
Zayun kachanganyikiwa!