kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mlionitukana niliposema kuwa ndani ya Simba SC kuna tatizo kubwa, rudini tena mnitukane

    Haiingii Akilini Kocha Mkuu umemtafuta Mwenyewe na Dela lako Mchongoko na Miguu yako ya Fito na Mwili wa Fidodido tena Ukatuhakikishia ni bonge la Kocha halafu leo ghafla tu mnaachana nae. Maumivu ya Kutuletea Kocha Mzoa Taka wa Jijini Madrid aliyekuwa akifundisha Real Madrid ya Temeke Mwembe...
  2. JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi laua watu 46 China

    Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa magnitude 6.8 limetokea katika Jimbo la Sichuan, China na kuua watu 46. Baadhi ya barabara, nyumba na miundombinu ya mawasilian iimeharibika. Eneo hilo limekuwa na kawaida ya kutokea tetemeko hasa maeneo ya Magharibi ambapo kuna milima. --- Earthquake in...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania ya Viwanda ni hadaa kubwa sana na hakuna kitu kama hicho

    Kumekuwa na hamasa nyingi sana tangu awamu zilizo pita kuhusu Tanzania ya Viwanda, na kumekuwa na mikakati mingi sana ya Tanzania ya viwanda, awamu ya 5 ilifikia wakati tukawa tunapewa na idadi ya viwanda kabisa na tukaambiwa kwamba ukiwa na vyerehani 4 basi ni kiwanda na ukiwa na mashine ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mwakinyo akiri kufanyiwa hujuma kubwa sana, inaumiza sana!

    Niliona Tangu round ya Kwanza, Mwakinyo aliteleza, nikajiuliza inawekanaje avae viatu vinavyoteleza Tena Kwa big match kama hii? Same thing happened kwa round ya pili na ya tatu. Kumbe walijenga mazingira ya kumpotezea bag lake la vifaa vya mchezo na Hivyo last minute kupewa viatu vingine, pili...
  5. JamiiForums Tanzania Kodi nyingi na tozo nyingi kwa wananchi bila adhabu kubwa kwa viongozi wala kodi na tozo ni bure kabisa

    Wenzetu wanatoza kodi na tozo kwenye kila kitu, lakini wanamnyonga kila mla kodi na tozo hizo za wananchi. Lakini hapa kwetu sio hivyo, wala rushwa, kodi na tozo wanafahamika lakini hakuna lolote.
  6. JamiiForums Tanzania Simba Queen yapata Basi kubwa jipya. Yanga Princess vipi!?

    Simba Queen inaendelea kujiendesha kibiashara kila siku. Leo wamepokea basi kubwa la kisasa kutoka AfriCarier.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Polepole alikuwa sahihi, Unaijua V-8 wewe? Ni sawa na kituo kituo kimoja cha afya

    Yaani kaaa kwa kutulia mtoto mdooooogoooo, mnuka jasho a.k.a MNYONGE, sasa kwa taarifa yako kila mwaka v-8 za billions 600 zinaagizwa, V-8 MOJA NI MILLIONS 500 SAWA NA KITUO CHA AFYA Zinajazwa mafuta full tank, full Ac na hakuna kuzimwa hata kama boss yuko bar na mrembo wa bongo movie wanakula...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelewe Idadi kubwa ya watu hawazalishi tusilaumu kila kitu

    Nilikuwa nimeangalia data za Tanzania na kugundua tozo ni lazima, miradi ni ya lazima na umeme ni wa lazima. Tanzania tuna 70% ya vijana chini ya miaka 24, elimu ni bure kwa wanao chaguliwa, na miradi iliyoko. Sasa hakuna elimu ya bure kwa ukweli ndiyo maana kuna tozo. Elimu ya juu hii mikopo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utumishi, sheria ya kutaka kila Mtumishi abaki na walau moja ya tatu ya mshara wake, haizingatii tofauti kubwa mishahara baina ya watumishi

    Hili jambo nimeliongea mara kadhaa huko nyuma na leo napenda kuliriudia kwani ni kikwazo kwa watu katika kujitafutia maendeledo yao na pia katika kutatua changamato zao za kifedha. Kwa wasiolewa, sheria hii inalenga kuhakiksha mtumishi habaki na take home ndogo isiyokidhi mahitaji yake na ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yanga inayo nafasi kubwa ya kutinga hatua ya makundi

    Napenda niseme tu bila kupepesa macho ya kuwa yanga wanayo nafasi kubwa ya kutinga hatua ya makundi klabu bingwa msimu huu. Nimepata ujasiri wa kusema hivyo baada ya kuwaona Al hilal iliyocheza na simba, ni timu ya kawaida ambayo kwa jicho la kiufundi nimeona bado inatafuta muunganiko baada ya...
  11. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo kubwa la ukosefu wa ajira, tumefikaje hapa? Tunatokaje hapa?

    Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni, kumekua na changamoto kubwa sana ya ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa elimu ya vyuo mbalimbali, iwe elimu ya juu au elimu ya ufundi. Vilevile kumekua na changamoto hii kwa vijana ambao kwa namna moja au nyingine, kutokana na sababu mbalimbali za kimaisha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete, Nguvu unayoitumia Kutuhamasisha 'Kusensabika' ungeitumia kumwambia Rais apunguze Tozo tungekuona wa maana

    Mbona Viongozi Wenzako wengine hawana hiki Kiherehere kama ulichonacho? au huo Unaibu Uwaziri sasa Umeshauchoka na Unajipendekeza kwa Mama Ili ikimpendeza sasa akuteue Waziri Kamili kabisa? Tafadhali hebu hamishia hii Nguvu Kubwa unayoitumia kutuasa Kusensabika kwa kumwambia Rais ( Mama )...
  13. JamiiForums Tanzania Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

    Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako. Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off...
  14. JamiiForums Tanzania Sababu kubwa zinazofanya Twitter kuwa tofauti na mitandao mingine ya kijamii

    Takribani mitandao yote ya kijamii ina sheria zinazofanana kwa watumiaji wake ikiwemo kutokuunga mkono kabisa maswala ya uhalifu, kuvunja haki za binadamu, nakadhalika. Lakini mtandao wa Twitter ndio mtandao pekee unaounga mkono maudhui ya Pornography. Mitandao mingine ya kijamii unapochapisha...
  15. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tunaweza kupitia njia zifuatazo kuepuka changamoto ya ukosefu wa ajira kuwa kubwa sana ili kuimarisha uchumi wetu

    Serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi wanapaswa kuchukua hatua endelevu kutatua tatizo la ukosefu wa ajira ili kukuza uchumi. UKOSEFU WA AJIRA NI NINI? - Ni ile hali ya mtu kutafuta kazi/ajira bila kuipata. Tanzania unemployment rate (www.theglobaleconomy.com) Ukosefu wa ajira ni moja...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kushindwa Kwa Raila Odinga ni pigo kubwa kwa Kenyatta, labda Mahakama itamnusuru na aibu

    Huyu jamaa kwa sasa usingizi wake ni mbaya, siku zote aliyemadarakani ndie hulalamikiwa Kwa kuiba kura lakini Kwa Kenya imekuwa tofauti aliyepo madarakani ndie analalamika kuibiwa. Kama ruto ataapishwa na kuwa Rais wa Kenya ,basi ujue ati uhuru atajipata mpweke sana. Na sio tu kuwa mpweke Bali...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Website ya JATU naona picha kubwa ya Mzee Pinda na Waziri Mhagama

    Ilikuja Q-NET tukaona Waziri Kigwangala akihusika ufunguzi wa ofisi Ukienda Website ya JATU unakutana na picha kubwa ya Mzee Pinda na Waziri Mhagama. Lakini mwisho wa siku ni wananchi kulia kutapeliwa pesa zao. Hawa viongozi wametumika kujenga imani za wananchi kutoa pesa zao. Bado najiuliza...
  18. JamiiForums Tanzania Thamani kubwa iliyobebwa na samaki

    Ni matumaini yangu ulishawahi kusikia makundi mbalimbali ya vyakula kipindi unasoma elimu ya msingi. Ambapo ulijifunza kuwa kuna Kabohaidreti/wanga, protini, fati, vitamini na madini asilia. Katika kundi la protini ulisoma kuwa, ni vyakula vinavyosaidia katika ukuaji wa mwili pamoja na...
  19. JamiiForums Tanzania Upwork kuna competition kubwa sana

    Baada ya ku-graduate nikaona nianze kufanya freelance, ili nijipatie japo hela ya vocha kwa kufanya programming (web dev). Nikaingia Upwork kwa mbwembwe na huge expectations, eeh bana eeh! Kazi inatolewa kutengeneza website yenye page 5, halafu malipo ni $5 (kama 12000 hivi). Kwa watu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo yenye huzuni kubwa duniani

    1. Kusema "Kwaheri"kwa mtu unayempenda sana. 2. Kumuona unayempenda akifariki mbele ya macho yako. 3. Kumuona mama yako mzazi akilia kwa uchungu. 4. Kumuona baba yako akiteseka kulitafutia "ADA"ili akulipie wewe. 5. Kumpoteza rafiki/ndugu kwa ajali au ugonjwa fulani. 6. Kubezwa au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…