kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa mwanamke kumtawala mwanaume na Mungu amekataa hili

    Nikosa kubwa mwanamke kumtawala mwanaume na Mungu amekataa hili, soma 1timotheo2:12 (Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha Wala kumtawala mwanaume). Je, waislamu maandiko yenu yanasemaje kuhusu hili? Wanawake wa sasa hawalitii hili agizo la Mungu wanalazimisha wawe sawa na wanaume na ni kitu...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli huwezi kusahaulika kwa miaka mingi sana kwa Meli kubwa Ziwa Victoria

    Mwaka 1996 wakati ajali kubwa ikitokea Ziwa Victoria mimi nilikuwa Ukraine nikiwa nimemaliza mwaka wa kwanza wa lugha nikijitayarisha kuingia mwaka wa masomo. Nakumbuka namna sisi watanzania tulivyoanzisha mjadala juu ya ajali hiyo iliyoua ndugu na jamaa zetu wengi. Mwaka huu itatimia miaka 27...
  3. JamiiForums Tanzania Ningependa kumzungumzia huyu adui namba moja ambaye ni Ujinga

    Wakati wa uanzishwaji wa falsafa ya ujamaa na kujitegemea, Mwalimu alitaja maadui watatu wakubwa wa kupambana nao ili taifa liweze kupata ustawi ulio bora maadui hao ni pamoja na :- i, UJINGA ii, UMASIKINI iii, MARADHI Ningependa kumzungumzia huyu adui namba moja ambaye ni Ujinga. UJINGA Kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa tunanunua simu na laptop zenye uwezo mkubwa na pesa kubwa wakati matumizi yake ni madogo

    Ili jambo watanzania tunajikuta tunapoteza sana pesa kwa kununua kitu chenye uwezo mkubwa kuliko matumizi.yani mtu ana nunua laptop yenye uwezo wakufanya kazi za production,game na injinia alafu yeye anaenda kutumia kwa ajili ya kuandikia barua na kazi za ofisi. Tuje kwenye simu huku ndio...
  5. JamiiForums Tanzania Wateja wa Mabenki chukueni tahadhari kubwa, kuna wizi kwenye tozo na commission zao

    Ndugu wana-JF, kumbe tulipoambiwa kuwa eti Serikali imesikia kilio cha wananchi kuhusu tozo, na hivyo kuamua kupunguza, inaelekea ilikuwa ni hadaa kubwa. Sikuwa na kawaida ya kuomba bank statement kama hakuna sababu ya msingi. Safari hii, kuna account yangu moja iliyopo CRDB Bank ambayo huwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanaume ni Competitive, ni hunter hiyo ni tofauti kubwa kibaolojia!

    Sasa hivi nchi imetulia tulii kama kama maji, hakuna mashindano, hakuna ari ya kutaka kuwa wa kwanza na kuwazidi wengine, hata washindani wa Tanzania kama Kenya wame relaxed na kupumua kwani hakuna mikiki mikiki ya ushindani wanapata kila wanachokitaka. Hiyo ndiyo tofauti kubwa kati ya Mwanamke...
  7. JamiiForums Tanzania Dr. Mwaka ana akili kubwa sana na ana mjua Mungu

    Hello JF Kila mwanaume halisi ambaye ni kizazi halisi cha Adam na Hawa, walioishi bustani ya Eden na kupewa kila kitu na yenye kila kitu ndio wataelewa. Asante Dr Mwaka kuwa mcha Mungu, unajua maandiko, hekima na busara zako ni kubwa sana. Ishi na mwanamke at your own risk, a woman is an...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wanauelewa mkubwa wa mambo kuliko wanaume kiufupi mi nawaita akili kubwa

    Wanawake ila sio wote maana wanawake wengine akili zao wanazijuaga wenyewe mimi na uanaume wangu wote nikili tu vitu vingi vya tech nimeelekezwa na mwanamke wangu huyu mfano jambo dogo tu ilikua mwaka 2015 nimenunua simu mpya sasa nataka niingie play store nipakue vitu ninavyo vitaka niseme...
  9. JamiiForums Tanzania Ajali tano kubwa zaidi zilizowahi kutokea Tanzania

    Kila nikiangalia yanayoendelea Uturuki naogofywa na hii dunia japo yenyewe ni majanga ya asili, watu 16,000 mpaka sasa wamefariki. Nimejifunza pia duniani janga lililoondoka na watu wengi kwa muda mfupi ni mafuriko ya mto Yangtze yaliyoondoka na maisha ya watu milioni 3.7 huku tetemeko...
  10. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wabunge wa JMT, kama siyo sababu ya ukilaza, basi wana wivu kwa mbunge Mpina

    Ninachoendelea kukiona Bungen ni kile nilichowahi kusema humu, Asilimia Kubwa ya Wabunge wetu aisee ni Vilaza sana, na pamoja na ukilaza, wengi wao ukilaza unawafanya wamchukie yule mtu ambaye anaonekana ni Mwenye Upeo mkubwa. Jamani Ndugu zangu Wabunge, Kua Mbunge sio kupiga makofi, sio...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini na kuchunguza hizi 'Sick Sheet' za ujauzito kwa watumishi, asilimia kubwa ni za mchongo

    Ndugu Habari za wakati. Bila kupoteza muda acha ninielekeze moja kwa moja kwenye maada hapo isemayo : Serikali iwe makini na kuchunguza hizi Sick Sheet za ujauzito kwa watumishi wa Wanawake. % kubwa niza mchongo. Wadau Sick Sheet ni likizo iliyotolewa kwa sababu ya ugonjwa. Na kwa utaratibu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Joti kawachapa fimbo Moja tu, Twitter hakukaliki

    Ujumbe mdogo tu wa Joti umewatoa nyoka wote pangoni. Nimewaona wanavyompopoa Huko twita, huyo ni Joti tu CCM ni dude kubwa sana, Ufipa yote inapambana na Joti. Sasa huyo ni Joti vipi CCM wakiamua kufunga Busta nyie si mtajiua, muanze kusingizia mmetekwa? Kwanini wapinzani hamtaki wenzenu wawe...
  13. JamiiForums Tanzania Kashfa kubwa Wizara ya Ardhi: Bilioni 375 zatumika kugharamia semina na uratibu

    BUNGENI: Mbunge Hawa Mwaifunga amesema Wizara ya Ardhi imekopa Zaidi ya Tsh. Bilioni 345, bila Kamati kuwa na Taarifa ya Mkopo huo na kuhoji Matumizi na vipaumbele vya Wizara. Mkopo huo umeidhinishwa kwa matumizi ya Upimaji wa Vijiji 250 kwa Miaka 5 kati ya zaidi ya Vijiji 9,000 vinavyopaswa...
  14. JamiiForums Tanzania Sakata la Plea Bargain limenikumbusha Kisa hiki cha Wezi

    SAKATA LA PLEA BARGAIN LIMENIKUMBUSHA KISA HIKI CHA WEZI Anaandika, Robert Heriel Nyakati nasoma, nakumbuka shuleni kulikuwa na magenge ya Wezi. Kila shule inamagenge ya aina hizo. Yapo magenge ya Siri na yale ambayo yapo waziwazi. Ingawaje wapo Wezi binafsi WA kujitegemea ambao hufanya...
  15. JamiiForums Tanzania Hili swala la bangi serikali iliangalie upya..kwa Sasa duniani bangi nibiashara kubwa mno ,tunajipa umaskini bila sababu !

    Hakuna kitu kinaniacha hoi kwa serikali kuruhusu pombe Kali ambazo zinaua watu zimejaa madukani!! Kama kitoko,k vant ,nyagi,john walker ,master,na nyingine kibao watu wanakauka mapafu ,afu inaenda kung'ang'ana na .. zao la bangi ambalo ni mmea TU ,biblia inayataja yote kama majani ya kondeni ...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kilimo ndiyo fursa kubwa ya ajira

    Huu ndio uongozi ======== "Sensa ya hivi karibuni inaonesha vijana ni takribani asilimia 34 ya watu wote milioni 61 na hali hii inaleta changamoto nyingi, kama ukosefu wa ajira na nyinginezo. Kwahiyo tumefikiri wanaweza kuingizwa kwenye uzalishaji kwenye sekta ya kilimo na tumeanza kutengeneza...
  17. JamiiForums Tanzania Nahisi kuna Watu wanapendelewa katika Mabadiliko na Uhamisho yafanywayo na 'Boss Kubwa' kutokana na Ushkaji na Uchawa

    Tena nahisi kuna Wengine hupigiwa hadi Simu na Kuulizwa kwa Kubembelezwa kama si Kudekezwa huku Wengine kwa Kuwakomoa au Chuki Kwao wanapelekwa ( wanatumwa ) mbali. Hivi Kijana kama Niki wa Pili unamtoaje Kisarawe na kumpeleka Kibaha? Kwanini kwa Umri wake asipelekwe huko Wilaya ya Mpakani kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kali Ongala (almasi iliyojificha kwenye tope) ndio Arteta asiyeaminiwa pale Azam. Azam ikitaka kuwa kubwa wampe timu.

    Aliichukua timu kwa muda anashinda karibu kila mechi. Akawapiga Simba na Alikuwa awapige na Yanga sema refa alikuwa upande wao. Lakini Kama kawaida wivu, ushamba na kutokujua wakampa timu mzungu wa % za kugawana timu imeanza kupoteana. Timu yenye kila kitu inakosa akili kubwa kiongozi. Kali...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi binadamu akiishi milele si maji na hewa na sehemu kubwa ya ardhi vitaisha ili kumtengeneza?

    Habarini. Ukiangalia mwili wa binadamu na wanyama utaona kuwa ni mpangilio tu wa elements ambazo zipo kwenye mazingira tunayoishi. Asilimia zaidi ya 60 ya binadamu anaundwa na Oxygen. Elements zingine zinazofuata ni Carbon, Hydrogen na Nitrogen. Zingine zilizopo kwa uchache ni sodium , potasium...
  20. JamiiForums Tanzania Arusha: Ongezeko kubwa la omba omba mjini, je ni mradi wa watu?

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na Ongezeko kubwa la omba omba katikati ya jiji la Arusha, kulinganisha na miaka miwili iliyopita. Miongoni mwa omba omba hao ni wazee, vipofu, viziwi walemvu wa miguu na mikono Watoto, na baadhi yao wanaojifanyisha ni walemavu. Hali hiyo imekuwa kero sehemu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…