kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nimegundua idadi kubwa ya Watanzania au Africa tumetumia camera moja kuangalia shuti la Ki Aziz

    Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi. Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani. Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na...
  2. BAVICHA kuna ombwe kubwa la uongozi

    Nimemuangalia pambalu anavyozungumza ,nimegundua CHADEMA hawapo tayari kushika dola. Ni kama comedian ana cheka cheka hata pasipo hitaji kucheka kifupi hayupo serious ,kama ndio tanuri la viongozi wa baadae wa Chadema na huyo ndio mnamtegemea naiona chadema ikidumaa . Haitopata vijana tena...
  3. Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani

    Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani na makombora makali zaidi na yenye kusafiri kwa kasi na mlipuko mkubwa kuliko kawaida kulenga maeneo ya kimkakati ndani ya Israel. -Mifumo ya vita vya kielektroniki vya Iran inasonga mbele karibu na Ghuba ya Uajemi...
  4. B

    Hai, Kilimanjaro: Vurugu kubwa kwenye tukio la Mwenge, wananchi wadai kuporwa ardhi na mamlaka ya Bonde la mto Pangani

    MWENGE WA UHURU UNAOSEMEKANA UMILIKE PALE PASIPO NA HAKI, LEO 2024 KWA ZUKA TAFRANI YA HAKI Wananchi hao vijiji vya wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro wadai ardhi yao kuporwa na mamlaka ya Bonde la Pangani, hivyo walikuja na mabango kuonesha kero wanayopitia lakini mabango yao yalikumbana nguvu...
  5. Jambo gani ambalo uliwahi kulipania kwa hamu kubwa kulipata baadaye likakushinda?

    Natumaini hamjambo wana jukwaa na mnaendelea vyema Katika harakati za kimaisha kuna mambo mbalimbali ulipania kuyapata au kuyafanya ila baadae yakakushinda na ukaachana nalo kabisa ama ukapambana tu bila kukata tamaa lakini hola. Yapo mambo mengi kama vile, kupata ramani za kwenda abroad...
  6. Jeshi la Israel imebidi liondoke kwa mara nyengine kutoka hospitali ya Alshifa baada ya hasara kubwa

    Hospitali ya Alshifa ndiyo iliyokuwa hospitali kubwa na ya rufaa kwa jimbo zima la Gaza ambalo wakati huo pamoja na mzingiro jimbo hilo lilikuwa na hospitali nyingi za kisasa zenye madaktari bingwa. Mnamo mwezi Novemba mwaka jana hospitali hiyo ilikuwa ni uwanja mkubwa wa kivita ambapo jeshi la...
  7. Tatizo la Simba Kubwa ni Kuukataaa Ukweli

    Habarini wanajukwaa la SPORTS. Mi mshabiki kindakindaki wa football.. Wazungu wanachotuzidi sisi wa Afrika ni kua Wazungu hua wanautafta ukweli na wakiupata hua wana ukubali ukweli huo. Ukitazama Ulaya Leo hii Manchester United wakiulizwa viongozi hadi wachezaji wanasema ukweli kua toka atoke...
  8. Kiimani Ijumaa Kuu Tunakatazwa Kula Nyama..Hii ina maana kubwa sana Kwa Mnyama SIMBA

    Kwa sisi wakatoliki imeandikwa usile Nyama siku ya Ijumaa Kuu. Mwisho wa Kunukuuu. Na tunajua Mnyama hua anakula Nyama.. Ujumbe huu upokeeni๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  9. Online Engagements: Ushaidi kuntu juu ya mechi ipi ni kubwa kati ya ile ya Simba vs Al Ahyl na Yanga vs Mamelodi

    Ukubwa wa mechi kati ya ile ya Simba vs Al Ahyl na ile ya Yanga vs Mamelodi Sundowns ushakuwa wazi tangu tarehe 12/03/2024 ilipopangwa droo ya CAF robo fainali. Tangu hiyo siku mpka Leo,kati ya mechi zote za wiki hii,ni mechi Moja yenye high online engagements. Mechi hiyo ni ya Yanga vs...
  10. Yericko Nyerere: Kuna kila dalili njema Taifa linarejea kwenye nafasi yake Afrika Mashariki

    Kwa dhati kabisa nampongeza mfuasi wa Mbowe, ndugu Yeriko kwa kutambua juhudi zinazofanya na serikali ya CCM chini ya Mama Samia Hassan Suluhu. Kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook; =================== Huu ni ushindi mkubwa sana wa Idara ya Ujasusi nchini Tanzania, Binafsi nafurahi...
  11. Makonda: Anachokifanya Rais Samia Ndicho Alikifanya Magufuli (Mapokezi ya Ndege mpya ya Abiria Boeing B 737-9)

    https://www.youtube.com/watch?v=r1yNAnTHyC0 Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa amefika katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam (JNIA) kama mgeni rasmi katika tukio adhimu la kupokea ndege mpya aina ya Boeing B 737-9 ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), leo...
  12. Imedhihirika: Yanga Vs Mamelodi Sundowns ndiyo mechi kubwa kuliko zote hatua ya robo fainali, Simba ni kama wamejikatia tamaa kabisa

    Kuanzia mtaani hadi mitandaoni, mechi iliyowajaa midomoni wapenzi na mashabiki wa soka ni ile ya Yanga. Kuna wanaoiamini Yanga na kuona itaibuka kidedea Benjamin Mkapa na hata mwisho wa mechi mbili. Kuna wanaoibeza na kuona imefikia mwisho. Lakini, Yanga ameteka mazungumzo. Kuanzia wachambuzi...
  13. Daraja kubwa la Baltimore Nchini Marekani laanguka baada ya kugongwa na Meli

    Daraja hilo laanguka baada ya kugongwa na meli, na inadaiwa gari kadhaa zilizokuwepo kwenye daraja hilo zimeanguka na daraja hilo hapo Nchini Marekani. Daraja la Baltimore ni moja ya miundo maarufu ya kivuko katika jiji la Baltimore, katika jimbo la Maryland, Marekani. Lilijengwa mwaka 1957 na...
  14. Iran imepiga hatua kubwa kwa zana za kivita

    Taifa la Iran limepiga hatua kubwa kwa ugunduzi na utengenezaji zana vita. Katika maonyesho ya zana vita, yanayoendelea Qatar,Iran imeonyesha Drone yake,inayoweza kubeba mabomu 13,na kutembea umbali wa km 2000,na kuruka futi 35000 toka usawa wa bahari. Jambo hili limemuuzi sana USA na...
  15. African laguages and their families

    AFRICAN LANGUAGES AND THEIR FAMILIES What is Language? language is a system of conventional spoken, manual (signed), or written symbols by means of which human beings, as members of a social group and participants in its culture, express themselves. What is Language family? A language family is...
  16. Russia mbioni kufanya shambulio kubwa katika historia

    ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Jeshi la Urusi linajiandaa kufanyq shambulio kubwa katika historia toka SMO ianze ๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐ŸšจFLASH FLASH FLASH: Russia Prepares To Launch Revenge Attack on Ukraine!!! Largest military strike in recent history about to happen!! - 14x Tu-95MS, nuclear capable bombers (Angel of...
  17. Nauza ndoo kubwa za 20L, kwa bei ya 4000/=jumla.

    Tunapatikana mbezi mwisho. Contact us: 0624390721
  18. Hii ndio mifumo bora ya kuendesha mradi wa mabasi yaendayo haraka kwa ufanisi mkubwa na faida kubwa

    Hii ndio mifumo bora ya kuendesha mradi wa mabasi yaendayo haraka kwa ufanisi mkubwa na faida kubwa Watanzania na serikali wanatamani sana kuona mradi wa mabasi yaendayo haraka unafanya kazi kwa ufanisi mkubwa na kwa faida. Kuna mifumo mingi bora ambayo serikali inaweza kuitumia ili...
  19. Maisha lazima yaendelee

    Sikiliza akili kubwa kama ifuatavyo: Dunia hii imejaa mitihani mingi sana yaani tangu unazaliwa mpaka unarudi six feet under; Utakabiliana na mambo mengi, kwa kuchagua au kwa lazima; Utapoteza wapendwa na wapenzi wako; Utaumwa na kuugua maradhi yanayotibika na yasiyotibika; Utashutumiwa na...
  20. I

    Katika kipindi cha miaka mitatu ya Rais Samia, wastani wa Shilingi Bilioni 20 zimekuwa zikitolewa kila mwezi kwenda MSD

    1. Ujenzi na uboreshaji wa Miundombinu ya kutolea huduma za Afya katika maeneo mbalimbali nchini yamewezesha Vituo vya kutolea huduma za Afya kuongezeka kutoka vituo 8,549 Mwaka 2021 hadi vituo 9,610. Hii ni pamoja na Zahanati, Vituo vya Afya, Hospitali za Wilaya, Mikoa, Kanda, Maalum na Taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ