D Dejong031 Member Joined Jun 7, 2020 Posts 92 Reaction score 99 Apr 28, 2024 #1 Nawezaje kupata kwa hapa Dar line za MTN for Rwanda, msaada
MAWEED Platinum Member Joined Oct 11, 2016 Posts 4,626 Reaction score 16,385 Apr 28, 2024 #2 MTN zinafanya Kazi hapa tz
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,487 Reaction score 195,289 Apr 28, 2024 #3 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Mr Confidential JF-Expert Member Joined Jul 1, 2018 Posts 1,545 Reaction score 2,485 Apr 28, 2024 #4 Fanya usajili ya kwako kwa kitambulisho chako. Usinunue kwa mtu. Mwaka juzi, nlichomolewa hela kwenye MTN yangu ya Uganda. Mtandao ukakata, line haikusoma tena.
Fanya usajili ya kwako kwa kitambulisho chako. Usinunue kwa mtu. Mwaka juzi, nlichomolewa hela kwenye MTN yangu ya Uganda. Mtandao ukakata, line haikusoma tena.