kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Mgomo mkali katika maduka yaliyopo stendi ndogo Arusha uliofanyika siku ya Ijumaa na Jumamosi ulileta maumivu na hasara kubwa

    Mnamo siku ya tarehe 21 na tarehe 22 mwezi huu, yaani ijumaa na jumamosi, jiji la Arusha lilitikiswa na mgomo mkubwa uliofanyika katika eneo la stendi ndogo, mgomo ambao ulisababisha maduka yote karibia 400 kufungwa. Mgomo huu ulituathiri sana sisi wafanyabiashara halisi ambao tunafanya...
  2. GoldDhahabu

    Zanzibar ni nchi ndogo yenye "akili" kubwa

    Namba hazidanganyi! Kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2022, Zanzibar ina ukubwa wa kilomita za mraba 2,460 na watu 1,889,773. Imeuzidi mkoa mmoja tu wa Tanganyika, Dar Es Salaam! Dar Es Salaam ina ukubwa wa kilomita za mraba 1,393. Hata hivyo, inaizidi Zanzibar kwa idadi ya watu. Kwa mwaka 2022...
  3. ndege JOHN

    Katika jambo kubwa ninalojivunia, ni kutambua kuwa hakunaga UCHAWI

    Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo.. kuamini...
  4. Pearce

    Urusi ni taifa lililolipia gharama kubwa kwenye Vita ya Pili ya Dunia 1939-1945

    TAIFA la Urusi lilikuwa chanzo cha Vita ya Dunia, Wakati Siasa za kifashisti zinazaliwa na kushamiri hasa Ulaya na Utanuzi wa mipaka kwa kuvamia nchi jirani Molotov-Ribbentrop Pact 1939 Malengo wakigawana Ulaya Mashariki na Ndio ikawa chanzo cha vita ya pili ya Dunia sababu hatua za awali...
  5. Faana

    Mwanza: Mlioko Huko Yasemekana Kuna Ajali Hapo Mjini Imesababisha Foleni Kubwa Sana

    Habari na picha
  6. Dkt. Gwajima D

    Nawatakia Eid Al Adh'ha njema

    Wapendwa wote salaam, Mwenyezi Mungu awe nasi sote kwenye Maadhimisho haya ya EID AL ADH'HA, 2024. Naomba tukumbuke kuwalinda watoto wetu wawe salama pamoja na makundi yote yenye mahitaji maalum wakati wote wa kufurahia Sikukuu hii kubwa, In Sha Allah, Amina, Heri ya Sikukuu kwetu sote.... 🌹
  7. K

    Kwanini asilimia kubwa ya fedha inayotekeleza miradi katika nchi hii ni fedha za mikopo?

    Kama nchi tunatakiwa tujisimamie sisi wenyewe katika utekelezaji wa miradi inayotekelezwa katika nchi hii. Karibu zaidi ya asilimia 90 ya miradi yote inayotekelezwa katika nchi yetu ni fedha za mikopo huku tukitamba kuwa Mama analeta fedha za miradi kumbe ni fedha nyingi ni za mikopo...
  8. H

    SoC04 Teknolojia ina faida kubwa katika kurahisisha mambo

    Teknolojia: ni fulsa Kwa nchi na watu watakayo itumia vizuri Kwa maendeleo Teknolojia ni kitu muhimu kwenye nyanja mbalimbali za kidunia yetu hii ya Leo teknolojia Kwa matumizi mazuri ni nyezo ya kutupeleka ngazi kubwa za kuturahisishia vitu vigumu kuwa vilaini miaka na miaka...
  9. M

    Jinsi Crown media ilivyoajiri. Ni somo kubwa kwa Graduates wanaotafuta ajira. Zama zimebadilika

    Habari wadau. Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inasemekana inamilikiwa na Joseph Kusaga , salim kikeke wakishirikiana na msanii alikiba Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo cloudsfm, wasafimedia etc. Mfumo wa kuajiri uliotumika kupata...
  10. U

    Orodha ya Mafundisho ya Wakatoliki ambayo awali Wasabato waliona hayafai, sasa wameyakubali kwa nguvu kubwa!

    Wadau hamjamboni nyote? Uzi maalumu wenye orodha ya mafundisho ambayo Wasabato hapo awali hawakuyakubali ila sasa wameyapokea kwa moyo mmoja Wakatoliki wanamwabudu Mungu Mmoja na wa Pekee, aliyeko katika nafsi tatu za kimungu zilizo sawa, za milele, na za upatano: Mungu Baba, Mungu Mwana...
  11. article

    Yanga haikustahili kupata hasara ya bilioni kwenye msimu ulionipita

    Habari, Kwanza, naipongeza klabu ya Young Africans kwa mafanikio makubwa waliyoyapata katika msimu uliopita kwa kuwa mabingwa wa NBC Premier Legue ,CRDB FEDEREATION CUP na kufika hatua ya robo fainali ya klabu bingwa Africa. Pili, nawapongeza kwa makusanyo makubwa ya fedha waliyoyapata katika...
  12. WAPEKEE_

    Fei Toto kama Cristiano Ronaldo, ukubwa una vita kubwa

    Vita ya pili ya dunia ilikuwa inaelekea kumalizika na Ujerumani kinara wa vita , ilikuwa dhahiri kwamba wamepoteza vita kilichobaki ilikuwa ni kusalimu amri. Mbaya zaidi , mshirika wao wa karibu , Finland, alikuwa amewasiliti dakika za mwisho wakiwa wamemsaidia kupambana na URUSI, baada ya...
  13. A

    KERO Huduma ya tiGO Pesa Mastercard kuna changamoto kubwa sana ambayo nimekuwa nikitoa taarifa kwa huduma kwa wateja hawashughulikii

    Nimeongea leo na huduma kwa wateja wanadai niongee na Kampuni niliyolipia wanipe ARN. Sasa mbona zamani ilikuwa hakuna mambo kama haya ya ARN ilikuwa muamala ukifeli pesa zinarudi directly Tigopesa. Naongea hivi kwasababu hili tatizo limeanza kutokea kipindi hiki cha week 2 hizi nimefanya...
  14. D

    SoC04 Wanafunzi kundi kubwa la kulisha taifa

    KUBADILISHA TANZANIA TUITAKAYO. Tanzania nchi Yangu iliyobarikiwa kila njanja, Tanzania iliyo na Neema ya uoto asili, Nchi iliyo na Watu Wenye afya ,Iliyobarikiwa Viongozi walioleta Amani na Chakula kwa Wanachi wake. Napenda Kuongea na Nyie kupitia Jamii Forum, Huenda mawazo Yangu yakawa Chachu...
  15. Erythrocyte

    Ni aibu na fedheha kubwa kwa Wana-CCM wa JF kutelekezwa huku Marehemu akiteuliwa!

    Yaani pamoja na wengine kuipambania CCM humu kwa kiwango hata cha kujidhalilisha, huku mkijitutumua kwa kuweka hata namba zenu za simu ili mkumbukwe, lakini mwisho wa siku mnaishiwa kupewa vocha tu! Kitendo cha Mamlaka kuteua waliokufa na kuwapuuza nyie mlio hai, Si tu kwamba kimewadhalilisha...
  16. chiembe

    PreGE2025 Tundu Lissu ni funzo kubwa kwetu walimwengu, hakika tenda wema nenda zako, Leo Lissu anamtukana Mbowe?

    Baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, muhimili pekee uliohakikisha uzi mwembamba uliokamata maisha ya Lissu usikatike ni Mbowe. Mbowe katoa hela mfukoni, kachangisha, goodwill (hii chadema njaa kama Mdude hawataelewa) ikatumika kuhakikisha Lissu anatibiwa. Lissu kapona, kafukuza mke, kaoa...
  17. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa: Vijana Acheni Maisha ya Gharama Kubwa Mkipata Fursa za Ajira

    VIJANA ACHENI MAISHA YA GHARAMA KUBWA MKIPATA FURSA ZA AJIRA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewasihi vijana wenye taaluma za Kihandisi kujipanga, kuwa na subira pamoja na utayari wa kujitoa, sambamba na kuacha kuishi maisha ya gharama kubwa na yenye tamaa mara tu wapatapo...
  18. S

    Application za mikopo onine: Wapinzani tupieni macho hili jambo, huenda ni biashara ya vigogo serikalini na inaweza kuja kuwa kashfa kubwa

    Wapinzani, nawashauri mfanye uchunguz kuhusu hizi App hasa kujua wamiliki wa hizi applicatio za mikopo. ya online ambazo zinatumika kutoza riba kubwa ndani ya muda mfupi tena wakitumia ligha za vitisho na hata kudhalilisha wateja wao wanapochelewa kulipa kwa wakati. Katika hii biashara, kuna...
  19. ELI COHEN

    Dunia ipo wakati mmbaya ila itaharibika zaidi kama mrengo wa kushoto (Leftists) watakuwa na control kubwa katika jamii.

    Far Left/Progressive/Fanatics ni kundi la watu wabovu sana. Kwa nchi kama Marekani chama cha Democrat ni mfano wa watu wa mrengo wa kushoto. Watu hawa ndio wana harakati wa mambo machache yafuatayo: ■kufanya abortion iwe halali ■Kusambaza vitabu vya ushoga na utupu kwa wanafunzi wa primary...
  20. M

    Makonda ana mapungufu yake lakini ana hekima kubwa na uzalendo. Tofauti na viongozi aina ya Halima Bulembo

    Nimeona namna anavyojua kutatua migogoro na pande zote mbili zikamuelewa , anaelimisha, ni msikivu sana na penye ukweli anausema kama ulivyo. Pia yupo sensitive sana katika mambo yanayogusa amani na usalama wa Taifa. Juzi nimeona jinsi alivyoendesha mkutano baina ya wananchi wa Oljoro ambao...
Back
Top Bottom