kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Magufuli, watu walijiuzulu kwa wimbi kubwa , ilisaidia nini? Insanity is doing the some thing over and over again expecting different result

    Ndugu zangu, kwa mujibu wa hiyo definition ya Albert Einstein, hawa watu ni vichaa na wanaowatumia au kuwatuma nao pia ni vichaa tu kwahiyo wasiwasumbue. Kama watafanikiwa, basi hawa vichaa wataweka record ya dunia kuwa vichaa wa kwanza kufanikiwa duniani katika mipango yao. Tuendelee kusubiri.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu aliwapenda ,kuwatetea, kuwapigania na kuwalinda Wayahudi? Je mataifa mengine kwanini hawakupewa upendeleo huo mkubwa?

    Wadau hamjamboni nyote? Tafadhali toa sababu za msingi ukinukuu vyanzo makini Lugha zisizo na staha haikubaliki Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza tu !.Sio kwa ubaya ina maana wastaafu Polisi baada ya kufainikisha 2025 CCM inapita kwa haya mtakuwa na malipo makubwa au nafasi kubwa

    Sina ubaya na polisi wetu ila kuna wengine naona washapewa maziwa na asali. Haya ambayo hata mwano wa milambo tabora waliofukuzwa anaweza kukubari mzazi wake au ni pesa. Yani pesa mnazo zitaka,damu za watu pamoja kulinda wao ina maana juice ya pasheni inatakiwa kuwa na limao sana. Kwa dunia...
  4. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna timu kubwa duniani kuzidi Barcelona na Liverpool natafuta fundi anaeweza kuchora nembo za hizi timu kwenye nyumba yangu

    Aisee hizi timu zinatisha maana Kwa boli linalopigwa na usajili wao mbingu na ardhi aisee mungu anipe nini mimi maana msimu huu Kila mwisho wa wiki mama watoto namuambia apike pilau Ili tujiburudishe natafuta fundi anaeweza kuchora nembo ya Barcelona na Liverpool kwenye nyumba yangu forca barca...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini bei ya baadhi ya vipimo vya afya ni kubwa zaidi?

    Salaam! Huko mahospitalini tunaona kuwa gharama za baadhi ya vipimo ni za chini na nyingine ni za juu na vingine juu sana. Hii inapelekea hata baadhi ya vifurushi vya Bima za Afya kutokujumuisha baadhi ya vipimo kutokana na gharama kuwa juu kuliko vingine. Swali langu ni napenda kujua ni...
  7. JamiiForums Tanzania Houthi wachekelea ndege zao kulipuliwa na Israel yasema Ndege zao zote zina Bima kubwa

    “Yemenia”: Our Aircraft are Insured Against War Globally Except for Yemen’s Airports Due to “International Classification” Yemen Airways imepinga kwa nguvu taarifa "zisizo kweli na zisizo sahihi" zilizosambazwa na baadhi ya mashirika ya habari ya kimataifa, ambayo yalidai kwamba ndege za...
  8. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa za Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  9. JamiiForums Tanzania Google walipa wamevunja rekodi ya kulipa faini kubwa kwa kukusanya na kufuatilia taarifa za watu bila idhini. Hatupo salama

    Google Yalipa Dola Bilioni 1.375 kwa Jimbo la Texas kwa Kufuatilia na Kukusanya Taarifa za Biometria Bila Idhini Google imekubali kulipa jimbo la Texas nchini Marekani kiasi cha dola bilioni 1.375 ili kumaliza mashitaka mawili yaliyokuwa yanaituhumu kampuni hiyo kwa kufuatilia mahali walipo...
  10. JamiiForums Tanzania Khan Younis imesawazishwa kwa kombola lenie nguvu kubwa

    Baada ya magaidi wa Hamas kuonekana wakijikusanya kwa wingi katika jengo moja huko Khan younis majeshi ya Israel yaliamua kulishambulia kwa bomu jengo hilo na kuangamiza kila kitu ki licho kuweto ndani na nje ya jengo hilo. Magaidi wa Hamas wamepata pigo kubwa sana baada ya watu wao wengi kufia...
  11. JamiiForums Tanzania Tambua sauti yako ina nguvu kubwa kuliko unavyodhani, itumie kwa hekima

    "Busara ni zawadi ya wale wanaojua thamani ya ukimya, na uzito wa maneno." Katika maisha ya kila siku, tunakutana na watu wengi , familia, marafiki, majirani, au hata wageni. Mara nyingine tunadhani tunazungumza kwa upendo, lakini kwa bahati mbaya, maneno yetu huacha majeraha yasiyoonekana...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuna wimbi kubwa la utekaji watoto...

    kuna kipindi nafatalia youtube kupitia Easterntv na bado kinaendelea nimeogopa sana tena swala la watoto. Najua wengi wa watanzania mtoto akijua kutembea unamuacha kama kuku ili mradi tu jioni umuone yupo nyumbani. Huku kenya sivyo ndivyo yani utekaji ni mkubwa na biashara hii kama itaingia...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini unapoenda kujisaidia haja ndogo unaangalia mbele lakini haja kubwa unaangalia ulikotoka?

    Basi kipindi nasoma nilibahatika kuwa karibu sana na mwislamu mmoja aliyeshika sana dini na ndo alikuwa kiongozi wao.Huyu jamaa alikuwa ananiambia mara kwa mara kuwa chooni huwa kuna mashetani (majini)hivyo unapoenda ni lazima uombe dua ya kujikinga na mabalaa ya shetwani (Majini). Sikutilia...
  14. JamiiForums Tanzania Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats)

    Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats) Tafadhali BRT rejeleeni muongozo wa waundaji wa basi zenu. Muongozo unasema abiria waketi katika seats na sio kusimama, vile vile eneo la milango na korido...
  15. JamiiForums Tanzania Mshangazi wa Ilala alivyowasambaratisha kwa ugonjwa hatari wanamuziki wabendi kubwa nchini

    Kuna bendi moja kongwe ya muziki wa dansi, sitaitaja jina. Wanamuziki wake walipukutika kama Uyoga ndani ya miongo miwili ni kama walikwisha. Unajua sababu? Jimama la Kimanyema mixer Kiarabu shombeshombe, mshangazi white mkazi wa Ilala Sharifu Shamba ni kama alitumwa, aliwagawia dozi mmoja...
  16. JamiiForums Tanzania Ankara za maji kuwa kubwa

    Mnasamehe et faini za maji! Je,inakuwaje kuhusu Ankara zilizopanda na kuwa juu hasa Arusha na kuwaacha watu katika sintofahamu na maumivu ya madeni ya maji? Huku mamlaka zikiwanyanyasa kwa kuwakatia maji!? Maji yamegeuka kuwa manyanyaso kwa Watanzania. Wakati wa kampeni ulaghai wenu ni...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Kuondoka kwa mamluki ni faraja kubwa kwa CHADEMA. Zifanyike jitihada waondoke wote

    Siku zote, mamluki au wasaliti ndani ya taasisi yoyote ile ni ufa mbaya, na ni sumu kwa maendeleo ya taasisi hiyo. Bila shaka, waliofuatilia kikao cha Kigaila na wenzake, na wanahabari tarehe 7 May 2025, alisikia hoja za ajabu za watu hao. Watu hao waliongea uwongo mwingi kama vile hakuna watu...
  18. JamiiForums Tanzania Hoja za bunge la Ulaya ni za msingi sana kwasababu bunge lake lina akili kubwa sana, kuna kila sababu ya kusikiliza hoja zao na kupokea mapendekezo

    Hoja za bunge la Ulaya ni za msingi sana kwasababu bunge lake lina akili kubwa, kuna kila sababu ya kusikiliza hoja zao na kupokea mapendekezo Siku zote katika maisha tunapokuwa wadogo tukubali kuwa tumezidiwa, ni jambo la kushangaza tunapoona mabishano kati ya Wanasiasa wa Afrika na Ulaya...
  19. JamiiForums Tanzania Uiengereza yasema itaingilia kati kuikoa India baada ya kupata hasara kubwa siku ya mwanzo tu ya vita

    Huku mabaki zaidi ya ndege kadhaa za kivita za India yakiendelea kuokotwa ndani ya mipaka ya India kabla kuvuka mpaka wake na Pakistan,nchi ya Uiengereza imesema inataka nchi hizo ziache kupigana Uiengereza ina wajibu wa kufanya hivyo ikijua kwa sasa haina uwezo kuisaidia India wakati yenyewe...
  20. JamiiForums Tanzania Kuruhusu wachina kuuza bidhaa kutoka China kunaweza kusababisha matumizi ya dolla kuongezeka (Import itakuwa kubwa)

    Kuruhusu Wachina au makampuni ya kigeni kuuza bidhaa kutoka nchini mwao moja kwa moja katika soko la Tanzania, kunaweza kuwa na athari kadhaa kiuchumi mojawapo ikiwa ni kuongezeka kwa matumizi ya dola za Kimarekani (USD). Hii hutokana na mambo haya: 1. Kuongezeka kwa uagizaji (imports); Bidhaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…