kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Lagos, Nigeria yakabiliwa na wimbi kubwa la ombaomba wa mabavu.

    Wakazi wa Lagos wana malalamiko makubwa baada ya jiji hilo kukabiiliwa na wimbi kubwa la kundi ombaomba wa pesa wanaolazimisha watu kuwapa pesa. Raia mmoja wa Lagos ameandika ushuhuda wake akisema; Lagos siku hizi kunakera sana, maana niambieni kwa nini... Nilikuwa kwenye safari yangu ya...
  2. B

    JamiiForums Tanzania "Asilimia kubwa ya vijana kutoka Tanzania na Afrika nzima ujumla wanaoletwa na wazazi kusoma Marekani na Canada wamegeuka kuwa machoko ".. Elli David

    Elly David m Tanzania anaeishi nchini Canada anasema asilimia kubwa ya vijana wa ki Tanzania na kutoka sehemu mbalimbali barani Africa wanaopelekwa na wazazi wao kusoma Marekani, Canada na Ulaya wengi wao huishia my wa machoko na mateja... Du kama ndo hivyo Bora wasome Kayumba na waishi hapa...
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa, hoja za wapinzani hazijibiwi. Kilichobakia ni watu kutishiwa kukamatwa na kutekwa. Kwa namna hii hakuna maridhiano.

    Kuna upinzani ndani ya CCM na nje ya CCM. Nje ya CCM ni Chadema chini ya Lissu na Heche. Imeonekana haina habari za siasa za kitapeli za kulaghai wananchi. Ndani ya CCM kuna kundi kubwa la wanaCCM ambao hawaiungi mkono hii serikali ambayo hata wao wanasena hakuna uchaguzi uliofanyika Oktoba...
  4. JamiiForums Tanzania Tafuta mtu asiyekujua mlipe pesa akutukane bila sababu ni tiba kubwa sana

    Kuna mda mambo yanakusonga eeeh!! Ngoja nikupe dawa Kama wewe ni mwanaume mtafute mwanamke , kama wewe mwanamke mtafute mwanaume Tena umlipe , ila mtu ambaye asiyekujua alaf kuwe na watu pembeni hata watatu na wao wasiokujua wawe wanasikiliza Mwambie changamoto zako zote huyo mtukanaji, tena...
  5. JamiiForums Tanzania Africa nguvu ndio kubwa akili kiduchuu

    Imagine watu wanakamatwa halafu upelelezi haujakamilika mwezi mzima? Kukamata ni nguvu kazi ila upelelezi ni elimu na weledi..
  6. JamiiForums Tanzania Tahadhari kubwa : Madini sio rasilimali ya kudumu, tukiendelea hivi mpaka 2050 yataisha

    Wasalam ndugu zangu..... Kibaya zaidi Kampuni ya kigeni ikimaliza kuchimba inafunga na kuondoka, Itatuachia mashimo + kemikali + ajira zilizopotea. Kiuchumi tunaita Resource Curse laana ya Rasilimali. Una mali lakini unabaki maskini zaidi. TUTAPOTEZA VIZAZI 2 Kizazi cha leo kinapata...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Goba tuwekewe Kituo cha Daladala, kutegemea hizi zinazopita kunatuathiri na kutupa gharama kubwa

    Nikiwa mmoja kati ya Wakazi wa Goba, naomba kuwasilisha kilio chetu kuhusu changamoto kubwa ya usafiri wa umma inayotukabili sisi wakazi wa Goba na maeneo yanayotuzunguka. Kwa sasa hatuna magari ya umma ya kutosha yanayotoa huduma moja kwa moja kama daladala za uhakika. Mara nyingi tunategemea...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara wamechoka kuwekewa taka mbele ya maduka Eneo la Darajani, Vikokotoni

    Wafanyabiashara wa eneo la Darajani, Vikokotoni wanaendelea kukumbwa na changamoto kubwa ya ukusanyaji wa taka mbele ya maduka yao. Licha ya kulipa pesa za taka kwa Manispaa kupitia tozo zinazojumuishwa kwenye leseni za biashara, taka zinaendelea kuachwa mbele ya maduka baada ya wafagiaji...
  9. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 18,000/=. Karibu kuchagua na kuweka oda yako, tupigie 0784 829565. @radhiyastore @prathrealestate
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utitiri wa Makanisa huku Salasala umekuwa kero kwa kelele, utaratibu wa vibali uangaliwe upya

    Nikiwa muumini wa Mungu, naiomba Serikali iangalie upya mfumo wa usajili na usimamizi wa baadhi ya makanisa. Badala ya kuwa sehemu ya kutatua changamoto za jamii, baadhi yamekuwa kero kutokana na kufanya mikesha kwa kutumia sauti kubwa zinazowanyima wananchi usingizi. Hali hii imekuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kama tafiti zinavyoonesha ni kweli gen z sio wanywaji sana wa pombe ila sanaa yao kubwa ni hii hapa

    Source: Time Magazine Why Gen Z Is Drinking Less Hata baa huko marekani zinaanza kufanya marekebisho ili wawarudishe gen x maana walikimbia pubs baada ya kuboreshwa kuwakabilisha gen z, ila gen z kumbe hawaji pub kutafuta pombe bali kula jagina😁 Ndio kabisa, hakusa kizazi cha kifuska kama gen...
  12. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar Zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 18,000/=. Karibu kuchagua na kuweka oda yako, tupigie 0784 829565. @radhiyastore @prathrealestate
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mtu pekee wa kutupa Katiba Mpya ni Tundu Antipasi Mughwai Lissu, au kwa maana hiyo CHADEMA ya Lissu na Heche

    Sima cha kuongeza. Ongeza wewe msomaji.
  14. JamiiForums Tanzania Bawasiri ni kutanuka au kuvimba kwa mishipa ya damu (dilated or enlarged veins) iliyopo sehemu ya chini ya rectum au sehemu ya haja kubwa (anus).

    VISABABISHI/MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI 1.🖇️ Uzito kupita kiasi(Overweight) 2.🖇️ Ujauzito 3.🖇️ Unywaji pombe 4.🖇️ Kukaa sana sehemu ngumu 5.🖇️ Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa. 6.🖇️Kujisaidia Choo Kigumu.Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni: -Vidonda vya TUMBO -Ngiri/Hernia...
  15. JamiiForums Tanzania Kwenye Biashara ya Super Market hasa hizi Kubwa, Fruits, Vegitable na fresh food zingine ndio Cash cow yao

    Super Market huwa sehemu ya vyakula ndio Cash cow yao ya kuendeshea biashara, ndio sehemu wanayo patia pesa za kurun Duka zima. Bidhaa zingine zinazo bakia ni changamoto tu kama ilivyo mtaani. Ndio Maana Super Market kubwa wanajitahidi sana wawe na fresh food muda wote na kwa wingi sana kwa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna ongezeko kubwa la wadada wanaopenda hela kwenye mahusiano?

    Mdau hivi kwanini kuna ongezeko kubwa la wadada wanaopenda hela kwenye mahusiano ?
  17. L

    JamiiForums Tanzania Muunganiko wa vita kubwa mbili,Urusi v Ukraine na Iran v USA pamoja na Israel,ni Wazi Sasa tuko kwenye vita kuu ya tatu ya Dunia

    Wanajamvi,vita kubwa mbili tofauti zinazohusisha ma Supapawa wa asili,hivi Sasa zinapiganwa hapa Dunia. Vita ya kwanza ni Urusi dhidi ya Ukraine. Vita ya pili ni Iran dhidi ya USA pamoja na Israel. Vita hizi mbili zimeigawa Dunia mara mbili yaani Urusi inapigana na Ukraine,ambapo Ukraine...
  18. JamiiForums Tanzania KERO Bei za vyakula kwa wasafiri ni kubwa

    Kumekuwa na bei kubwa/ghali sana ya vyakula kwa wasafiri nchini. Sehemu ambazo magari yanapeleka abiria kula yamekuwa yakitoza gharama sana za vyakula, Wahusika walifuatilie hili, watu wanaumia sana. Watanzania ni kama hakuna wa kuwasaidia kiuongozi na kiutawala.
  19. JamiiForums Tanzania Mistari 20 ya biblia ambayo ufalme wa giza hawaipendi kutokana na kubeba nguvu kubwa ya moto mkali unaounguza na kuharibu kazi zote za giza,shetani

    Zaburi hizi 1)zaburi ya 23 (wagalatia 3:13,mwanzo 22:14 isaya 54:17) 2)zaburi ya 27 3)zaburi ya 64 4)zaburi ya 91 5)zaburi 112 (wagalatia 3:29,mithali 3:29) 6)zaburi ya kwanza 1 .(yeremia 17:7-8,wafilipi 4:19) 7)zaburi 30
  20. JamiiForums Tanzania Sijui ni kwa nini watu wanakuwa na tamaa thamani ikishakuwa kubwa ndio wana nunua kwa bei kubwa wakati mwanzoni walikataa.

    Hii hipo dunia nzima kila jambo.Kuna maeneo mfano dar es salaam pale kigamboni na n.k au mmbwemi ilikuwa ngumu mtu kununua zaidi kuzidi chini ya laki tisa na zaidi kipindi cha zamani. Leo waliokataa kununua ndio wananunua kwa bei kubwa zaidi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…