kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Watazania mkitaka kesi za wapinzani ziishe mapema i.e: Lissu msizipe nafasi kubwa na kuzijali

    Ni wazi kesi dhidi ya wapinza zinatengenezwa na serikali kwa kushirikiana na wapinzani husika i.e:Lissu kwa maslahi ya viongozi wa serikali au chama tawala na viongozi wa upinzani ambao ni sehemu ya ccm. Nakuhakikishia kesi hizo ni za kutungwa na viongozi wa upinzani wako kazini kwa masilahi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mpina kafanya kosa kubwa sana kuhama ACT. Aliyemkata jina CCM, ndio huyo huyo atakeyemkata kuwa Mbunge

    Ni Kweli MPINA Hauna Mpinzani KISESA hili liko wazi Ila ilikupasa ukubaliana na Ukweli kua chini ya SAMIA SULUHU hutakiwi kua Mbunge Kwa Namna yoyote Ile . Angetaka uwe Mbunge ,asingekukata, Angekubakisha CCM, ila alikukata Licha ya yeye kujua ukweli kua unakubalika. Kilichomfanya akukate...
  3. JamiiForums Tanzania Kazi anayoifanya Malisa Gj ya kurudisha tabasamu kwa jamii , ni kazi kubwa sana ambayo hakuna waziri wala Mbunge ambaye ameweza kuifanya.!.

    Vijana Kama hawa ni hazina kwa TAIFA , kwakuwa ukihesabu watu waliosaidiwa kupitia kwa Malisa GJ hawahesabiki. Huyu ni zaidi ya Mbunge na waziri
  4. JamiiForums Tanzania "CONTEMPORARY DESIGN (HIDDEN ROOF) ni chaguo kali sana – inakupa nafasi kubwa ya ubunifu na kuifanya nyumba yako iwe ya kipekee. Ila ujue ni ghali

    "CONTEMPORARY DESIGN (HIDDEN ROOF) ni chaguo kali sana – inakupa nafasi kubwa ya ubunifu na kuifanya nyumba yako iwe ya kipekee. Ila ujue, gharama yake ni juu kidogo kulinganisha na za kawaida!" check out this 4bedrooms with balconies call/whatsap us +255624004650 design and construction...
  5. JamiiForums Tanzania Kujaamiana na mke wangu,kwangu ni tendo la furaha na hadhi kubwa sana

    Tunapolifanya tendo hili na wake zangu,ni tendo la furaha kubwa na hadhi ya juu sana: 1.Kila mmoja wetu huwa na shauku la kulifanya na kila mmoja anataka kujua mwenzie atakuja kujaje,staili gani 2.Kila mmoja huwa anamtaka mwenzie kwa hamu kubwa 3.Tunapolifanya hulifanya kwa kushambuliana sana...
  6. JamiiForums Tanzania Mbinu mojawapo kubwa ya kupunguza ghalama za ujenzi ambayo inasahaulika kusemwa

    Mbinu mojawapo kubwa ya kupunguza ghalama za ujenzi wakubwa Heshima kwenu leo nakusogezea hii huwa haisemwi Mbinu kubwa ya kupunguza gharama ya ujenzi: Tumia Interlocking Stabilized Soil Blocks (ISSBs) badala ya matofali ya kawaida au mawe ya saruji. ✅ Faida za ISSBs: Hakuna haja ya kutumia...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Video: Madaktari Wakiendelea na Upasuaji wakati wa Tetemeko Kubwa la ardhi Urusi

    Video ya kushangaza kutoka Petropavlovsk-Kamchatsky, Urusi, imeonyesha madaktari wakiendelea na upasuaji wa mgonjwa wakati tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 likitokea leo Julai 30, 2025 katika pwani ya mashariki mwa nchi hiyo Licha ya mtikisiko mkubwa uliosababisha tahadhari ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tetemeko Kuu lapiga Mashariki mwa Urusi, Tahadhari ya Tsunami yatolewa Japan, Hawaii na Visiwa vya Pasifiki

    Mapema Julai 30, 2025, imeripotiwa tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 Magnitude lilikumba bahari ya Pasifiki karibu na pwani ya mashariki ya Urusi, likiathiri zaidi eneo la Kamchatka na Visiwa vya Kuril. Kwa mujibu wa wanasayansi wa Chuo cha Sayansi cha Urusi, hili ni tetemeko kubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mfuasi wa CHADEMA ni Aibu kubwa kujadili MAJINA ya Wagombea wakati huu wa OPARESHENI ya kudai REFORM

    1.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatusambazi kazi za chama mitandaoni kwa kiwango cha kutosha. Tumejazana Facebook, Twitter, Instagram, TikTok na kwingine huko, lakini hatubebi kazi za chama. 2.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatutembelei ipasavyo akaunti rasmi za chama katika mitandao ya...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Samia hataki kufanya kazi na watu wenye IQ kubwa?

    Joseph Gwajima Luhanga Mpina Hersi Said Arafat Haji Byabato Mpango Majaliwa Polepole Lissu Heche Butiku Warioba Na wengine kibao ambao wanampa challenge hataki kufanya nao kazi why? Huyu mama anawataka wakina Babu Tale na Msukuma! Sasa namwambia atadondoka nao mwaka huu Kama hakuna reform...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa hizi meseji wazazi wa sasa kazi mnayo tena kubwa sana!

    Leo katika pita pita zangu , nilienda msalimia Dada mmoja age 38 ana mtoto wake wa kike umri 14 yupo secondary. Huyu Dada ana shida ya macho kwahiyo maandishi ya kwenye simu hawezi kuyasoma hivyo huwa anamtumia mtoto wake kumuangalizia mambo mawili matatu. Sasa iliingia Meseji akanipa nimsomee...
  12. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 18,000/= Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Contact/Mawasiliano: 0784 829565...
  13. JamiiForums Tanzania NCHI ZA MAZIWA MAKUU: Hapakuwa na meli kubwa inayoweza kubeba watu 1,200 Tani 400 za mizigo, Magari 23 kwa pamoja kabla ya Rais Samia kutoa TZS121bn

    Rais Samia atumia TZS120.56 kujenga Meli ya MV Mwanza itakayobeba Tani 400, magari 20 na Malori 3 pamoja na abiria 1,200 kwa wakati mmoja. Kwa msiofahamu, MV Mwanza ni mradi wa kimkakati wa kitaifa unaoonyesha dhamira ya Rais Samia katika kuimarisha miundombinu ya usafiri na usafirishaji wa...
  14. JamiiForums Tanzania MTEJA AMETUPIGIA NA KUWA ANAHITAJI NYUMBA KUBWA (6BEDROOMS)NA YENYE MUONEKANO WA KISASA AMBAO SI SIMPLE SISI TUMEMPA HIZI OPTION 3 WEW UMEPENDA IPI ?

    6BEDROOMS SEBULE KUBWA NA NDOGO JIKO 2 (WET KITCHEN AND DRY KITCHEN) DINING WITH PATIO MASTER WITH PATIO TUPIGIE KWA HUDUMA NZURI 0624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri: Samia asipogombea CCM itapata hasara kubwa haijawahi kutokea tangu kiundwe

    Chama cha mapinduzi (CCM) kitapata hasara kubwa sana kama Samia hatagombea Urais kwa sababu zifuatazo; 1. CCM imewekeza kwenye matangazo nchi zima kwa takribani miaka minne sasa kumtangaza Samia. Bill Boards kila kona ya nchi zimejaa. Barabara zimejaa matangazo ya Samia. Huu ni uwekezaji mkubwa...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Taja chama cha siasa duniani ambacho hakina aibu na kinafanya siasa za kitoto Karne hii ambayo watu wanaelimu kubwa ya uraia, angalizo usitukane ,

    Wakuu Leo taja Tu jina la chama cha siasa ambacho kiko popote duniani kinachoongoza nchi kwa akili za kitoto wakati kinaowaongoza wanaufahamu mkubwa kwa mambo kuliko kawaida, Taja Tu chama wala usitukane , taja chama na nchi kinayopatikana
  17. JamiiForums Tanzania Itakuwa ni fedheha kubwa sana kwa chama kuanza upya mchakato wa mgombea ni aibu na ishara ya kushindwa

    Kuna msemo unasema ukiona unapotea njia usiendelee mbele upotee zaidi , ama heri urudi nyuma ukaanze upya ama usimame ungojee huwenda utakutana na mtu akuelekeze njia sahihi. Kilichotokea katika mchakato ule hesabu hazikupigwa vizuri na sasa wamefika njia panda ambapo haijulikani waende kushoto...
  18. JamiiForums Tanzania Wananchi Tumekuwa Spectators Katika Nchi Yetu – Hii Ni Dhihaka Kubwa Kwa Demokrasia Yetu!

    Kweli tumefika pabaya! Tumepunguzwa hadhi mpaka kura yetu imegeuzwa kuwa kama ritual tu ya kufurahisha watawala, bila thamani ya kweli. Wananchi tumeonekana wajinga, tumetupwa pembeni kana kwamba hatuna akili za kupambanua nani anafaa kutuongoza. Hivi kwanini kura yangu – kura yako – iwe treated...
  19. JamiiForums Tanzania Paradigm Mpya ya Uchumi: Kuibua Faida Kubwa Kutoka kwenye Mtaji Mdogo – Dhana, Mbinu na Hesabu za Kiuchumi za Mafanikio ya Kibiashara

    Katika ulimwengu wa biashara za kisasa, dhana kwamba "mtaji mdogo hauwezi kuzalisha faida kubwa" ni kasumba ya kifikra inayotakiwa kuondolewa. Katika tafsiri ya kiuchumi, mtaji (capital) si lazima uwe mkubwa ili kuzalisha thamani; bali ni uwekezaji wenye tija (productive allocation of resources)...
  20. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 18,000/= Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Contact/Mawasiliano: 0784 829565...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…