kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  2. Pale Kurasini leo ulinzi ulikuwa bab kubwa sana, kulikoni?

    ulinzi wa wa leo wa namba 1 ulikuwa kabambe kwelikweli. Mara ya mwisho ulinzi wa aina ya leo ulionekana miaka minne na ushee iliyopita chini ya mwandamizi himself. Hatujazoea kuona hivyo!
  3. Geita mkoa uliojaza maskini wengi na kukosa maendeleo lakini ndio wenye dhahabu nyingi na kampuni kubwa ya uchimbaji

    Kama umefika geita na viunga vyake utajionea umaskini uliopo kuanzia miundo mbinu na wananchi wenyewe. Katika mkoa wenye migodi mingi mikubwa ni geita. Shida ya serikali yetu ya CCm tokea kupata uhuru hakuna lolote walilowezesha labda wananchi wajiwezeshe wenyewe. Yani mkoa una rasilimali za...
  4. D

    Kwa Ibada zinazoendelea nchini ni wazi wachochezi watapata pigo kubwa sana

    Jana nimefutilia ibada nyingi za Eid El hadha, mahuburi yoote na Dua Ilikuwa ni Amani Tanzania na kuombea uchaguzi. Leo nimefuatilia ibada za kikristo kupitia vyombo vya habari kama Tumaini Tv (Catholic - St Joseph), Hope TV (Sabato), Upendo TV (Lutheran -Kinyerezi), Arise and shine Tv (Kawe)...
  5. Ni kosa kubwa la kiufundi kuileta "Oktoba Tunatiki" katika nyakati ambazo "No Reform No Election" inatrend

    Ama kweli nimeamini mkata roho haachi kutapatapa. Enyi CCM mmekosa kabisa think tank hata wa mambo amabyo yanahitaji "Common Sense" tu? Hamuonagi hata wasanii huwa wanaangalia nyimbo gani zinatrend sana mtaani ili wasije wakatoa wimbo kisha ukadoda! Ni mahesabu ya kutumia akili ya darasa la...
  6. Elon Musk aondoka serikalini kwa aibu kubwa, utapeli wake wa DOGE washindwa vibaya na kulaaniwa kila kona

    Huyu bwana alianza kwa mbwembwe kubwa akiwa analazimisha watumishi wote wa serikali kuu nchi nzima wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya kila wiki mwishowe ikaishia kwa yeye kutakiwa na bodi ya wakurugenzi arudi kazini kwake Tesla na kufanya majukumu yake aliyotekeleza. Naada ya...
  7. Balaa: Kuna ajali kubwa huko Iwambi

    Kulikoni? Naambiwa Huko Iwambi Mbeya kuna ajali kubwa. Pigia simu ndugu na jamaa.. Sijajua zaidi hadi sasa sababu ni taharuki tupu.. Tusubiri Polisi waseme ===== UPDATES: 1200HRS ===== Watu 28 wamefariki dunia na wengine wanane kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu ikiwamo...
  8. Jinsi Cages za Mbao Zinavyobadili Ufugaji wa Kuku - Hazina Gharama

    https://youtu.be/Kf2DhWBoXUA Katika mazingira ambayo wengi huamini kuwa "ufugaji wa kisasa ni kwa matajiri," Mzee Hashimu – afisa mstaafu kutoka Mwanza – anathibitisha kinyume chake. Akiwa na uzoefu wa maisha na ujasiri wa kujaribu vitu vipya, leo anafuga kuku wa Sasso kwa kutumia cage...
  9. Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  10. Kibatala atakuwa Wakili wa Kanisa kwenye sakata la Serikali na Dr. Gwajima

    KIBATALA NDIE WAKILI WA ASKOFU GWAJIMA KWENYE HILI LINALOENDELEA. PPeter Kibatala: Nimepewa rasmi maagizo na KANISA LA UTUKUFU WA KRISTO TANZANIA, linalojulikana kikanisa kama KANISA LA UFUFUO NA UZIMA, chini ya uongozi wa Askofu Josephat Gwajima, kulitumikia kama Wakili wake, na kuliwakilisha...
  11. CHAUMMA brand yao kubwa ni "Ubwabwa" ndo imetambulisha sokoni wao wanapigania tumbo

    Hiki chama kinaitwa CHAUMMA ndio nimekisia Ila nadhani ni chama cha mfukoni. Haiwezekani Sera yako iwe ubwabwa huu ni utoto mkubwa.
  12. L

    CCM Ni Dude Moja Kubwa Sana Ambalo Mtu na genge lako Huwezi Kushindana Nalo na Ukaliweza au Kulidhoofisha. Waliojaribu waliishia Kufedheheka

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni dude Moja Kubwa sana, ni dude ambalo mtu binafsi na genge lako au kikundi chako cha uchumia tumbo au usaka tonge au uroho wako wa madaraka huwezi kupambana nalo wala kushindana nalo wala kulidhoofisha wala kulihujumu wala kulidodosha wala kulitikisa wala...
  13. Askofu Gwajima akili kubwa sana, awauza polisi

    Bila kupoteza muda huyu jamaa mjanja sana. Inasemakana ile video aliyorekodi kua yuko kanisani na nje kuna polisi ilikua danganya toto kuwapoteza maboya polisi. Bila kufikiria mara mbili polisi wakaenda kujazana pale wakaambulia manyoya mtu kawaacha kwenye mataa. Gwajima pamoja na makando yake...
  14. Foleni kubwa Kunduchi Mbuyuni leo nzima

    Kutokana na lori la mafuta lililoanguka Kunduchi limezua foleni kubwa siku nzima ya leo Tunaomba wahusika walitoe tupumue Maana wameanza kunyonya mafuta
  15. CCM kurudisha Imani vizazi vya namna hii ni kazi kubwa

    Ilikiwa video na mabaya zaid nipiga kura mahiri wakinamama Hawa wanawake wameamua kutoa kama tangano sasa hapa ni ngumu kuwapa Imani na chama tena. https://www.instagram.com/reel/DILfS7shYyA/?igsh=MXV1dnQyc2FtbWR6cA==...
  16. Rais wa taifa kubwa akipewa makavu hadharani kwenye TV, lakini maisha yaendelea...

    Trump, Rais mjinga na mdhaifu zaidi katika historia ya Marekani... https://www.youtube.com/watch?v=BwvBFljn_vk Nakulilia Tanzania!
  17. Baraka kubwa zaidi maishani huwa hazina bei ,lakini ni za thamani isiyoelezeka

    Tunalipa kodi, tunalipa bili za maji, umeme, nauli na mengine mengi ya maisha , lakini hatujawahi kulipia pumzi. Tunapata aleji ya vyakula, mafuta, dawa, na hata vumbi , lakini hakuna binadamu mwenye aleji ya oksijeni. Tumshukuru Mungu kwa hilo. Je, si hilo peke yake linatosha kumshukuru...
  18. M

    Shida kubwa ya kikosi cha Simba ni quality ndogo ya wachezaji na siyo uchovu wa mechi. Ratiba kama yao Yanga aliipitia 2023/2024!

    Napingana na baadhi ya mashabiki na wachambuzi wanaotafuta kichaka cha kujifichia kwamba Simba ratiba yao imekuwa ngumu ndio maana wachezaji wamechoka na wakafungwa hili jambo sio kweli ata kidogo! Maana ya kikosi kipana sio kuwa na rundo la wachezaji tu ni kuwa na wachezaji wanaolingana ubora...
  19. Mwl. Nyerere kujilimbikizia madaraka haikuwa shida kubwa aliyotuachia bali ujamaa na kujifungia kwenye chungu

    Kuna watu wanamlaumu Nyerere kwamba alijilimbikizia madaraka, kujiweka kama mtawala wa kiimla na hatimaye kutuachia mfumo huo mpaka sasa ambao tunahangaika nao. Ni kweli alifanya hivyo lakini karibia mataifa yote hadi yale yaliyoendelea sana viongozi wake wa mwanzo(founders) walifanya hivyo pia...
  20. S

    Tukiwa watu makini tutatambua kuna faida kubwa kwa CCM na Tanzania kuwa "Gwajimalized" kuliko kuwa "Samialized" kwa sababu hizi hapa za msingi

    Gwajimalization - kimsingi hili linamaanisha kuwa na watu ambao wanaweza kudiriki kuukosoa uongozi wa CCM au Tanzania kwa ujumla, kwa faida ya Watanzania. Hili lina ubaya gani? Nyerere alisisitiza siku zote kuwa kukosoana ni sehemu ya kurekebishana. Leo raisi wa nchi anaongea kwa kujiamini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…