kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Utesaji wa Dola - Agenda kubwa Uchaguzi ujao

    Habari hii iwafikie wote wanaokodolea macho nafasi za uongozi. Ifahamike kuwa bila tume huru hakuna uchaguzi. Hatutaangalia mgombea ni mwanamke au mwanaume. Haki zetu za binadamu hazitakuwa na mbadala. Kama ni mtarajiwa atuambie atafanya nini kuondoa kadhia kama hizi: Kama alikuwamo...
  2. JamiiForums Tanzania Kulingana na ushahidi wa kesi ndogo ndani ya kesi kubwa uliotolewa, Je unadhani maelezo ya Adamoo aliyoandikisha polisi yatapokelewa kama ushahidi..?

    Wengi tunahudhuria mahakamani kusikiliza kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu . Wengine tunafuatilia mitandaoni hatua kwa hatua mwenendo wa kesi nzima.... Kwa ambao hawajui au hawakumbuki au kusahau ni kuwa, kinachoendelea sasa ni kesi ndogo ndani ya kesi kubwa (trial within a...
  3. JamiiForums Tanzania Kiufundi Simba Kuna tatizo kubwa

    Mechi 3 bao 0 yaani ufungi bao dakika 270 kwenye mpira haya ni maajabu kwa timu inayotetea ubingwa. Wachezaji hawajitumi Wala hawana Hali kabisa ukiwatazama usoni. Pamoja na kuuza wachezaji wawili ila Simba Kuna tatizo la kiufundi kwani Kuna mechi nyingi msimu ulioisha chama alikuwa amefiwa...
  4. JamiiForums Tanzania SoC01 Uvumilivu: Changamoto kubwa ya vijana kushindwa kujiajiri

    Uvumilivu ni ile hali ya kustahimili machungu.Mtu yoyote ni lazima ajenge tabia ya kustahimili machungu,kwenye kuvumilia ndipo uzoefu wa kufanya kazi kwa mafanikio unakopatikana.Uzoefu ni hali ya kukaa na jambo au kitu kwa muda mrefu. Kwenye ujasiriamali uzoefu ni jambo kubwa na la muhimu,ili...
  5. JamiiForums Tanzania Macho yangu yanaona kama yako? CCM mnaenda kuanguka na anguko lenu ni kubwa sana

    Serikali ya CCM imepoteza dira na mwelekeo inaelekea shimoni inaenda kuanguka na anguko lake ni kubwa sana imepoteza mvuto inawatia hofu Watanzania masikini. Walianza na hofu ya internet, kwa maana ya Bando watu walichachamaa sana wakabadili gia angani baadaye tena wakaja na suala la Corona na...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali inaendelea kufanya ubaguzi kwenye ajira. Kama una div 1&2 au bachelor degree jua upo kwenye risk ya kutoajiriwa

    Serikali mara kwa mara imekuwa ikiwahimiza wanafunzi kusoma kwa bidii na kufaulu lakini jambo la kusikitisha unapofika wakati wa ajira serikali hiyo hiyo inawabagua tena. Tumeona kwenye ajira za polisi wanaotakiwa ni wale ambao hawakufanya vizuri kwenye mitihani ya kidato cha nne. Yaani...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wana simba tukiingia robo fainali CAFL mwaka huu tuchinje tembo kabisa na kufanya party kubwa

    Yes ndiyo nimesema kwa sababu ya mechi ya utopolo, nimegundua tu kwamba mzungu wetu ni very stubborn yaani ana ka system chake fulani hakana plan b Tusijipe ugonjwa wa moyo kwamba eti nusu fainali WE SHOULD FORGET ABOUT IT hii ngoma inaweza kufia makundi kabisa hata robo fainali tukifika tuombe...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kumbomolea machinga ni sawa na kumuachisha mtu kazi bila malipo yoyote

    Machinga kujaa kila sehemu mijini ni tatizo kubwa ila hoja ya kuwaondoa katika maeneo yao kiholela ni unyama usiofikiria athari za kimaisha kwa hawa watu na kujiuliza tumefikaje hapa tulipo? Suluhisho la machinga ni kwa miji yote kutengeneza masta plani za miji na kuainisha maeneo ya wafanya...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro: Royal Tour ya Rais Samia yaanza kuzaa matunda kwa kuleta wawekezaji

    SHUGHULI za Royal Tour zilizokuwa zikifanywa kwa mara ya kwanza nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan za kutangaza vivutio vya Utalii, Biashara na Uwekezaji nchini zimeanza kuzaa matunda kwa wawekezaji kuanza kujitokeza kuwekeza hoteli za kisasa ndani ya hifadhi...
  10. JamiiForums Tanzania Ray Vanny aongeze umakini la sivyo atatenda dhambi kubwa sana

    Sio kwa ubaya ni ushauri tu. Harmonize ilimshinda, Ray Vanny naye awe makini kidogo. Ni hayo tu.
  11. JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali Kesi ya Mbowe ya Kikatiba dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    Leo Sept. 23, 2021 saa nane kamili mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam itatoa uamuzi mdogo juu ya mapingamizi ya Serikali katika Kesi ya Kikatiba namba 21/2021 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chasema Freeman Mbowe dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, DPP na IGP. Wakati anakabiliwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Bila kukusudia Haji Manara ameitia hasara kubwa Simba, Inaugua ugonjwa wa Manara Syndrome

    Ili kukabiliana na athari za kuondoka kwa Haji manara Simba walilazimika kuingia mifukoni ili kufanikisha Simba day. Manara effect iliwaandama na inazidi kuwaandama Simba. Kila wanachofanya wanafanya ili kuzifuta nyao za Manara lakini wanafanya hivyo kwa kutumia nguvu kubwa zaidi ili kumkaribia...
  13. JamiiForums Tanzania Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka, Bodi ya Ligi imethibitisha.

    Kama huna takwimu unaweza kujisemea chochote, na kujisemea chochote ni kuropoka. Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka tu kulifurahisha kundi lake na kupunguza sonona yake. Pamoja na Yanga kutofanya vizuri kwa misimu minne mfululizo lakini ukubwa wake haujatetereka, takwimu za...
  14. JamiiForums Tanzania Kubwa la majamba wa ukweli.

    Moja ya villains bora kabisa katika cinema.
  15. JamiiForums Tanzania SoC01 Teknolojia ina nafasi kubwa kwa Mwanamke kipindi cha hedhi

    Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu wote ni wazima. Andiko hili litalenga zaidi uhusianishaji wa teknolojia katika kusaidia Maisha ya watoto wa kike katika kipindi chao cha HEDHI. Katika Andiko hili tutazungumzia mambo makuu matatu...
  16. JamiiForums Tanzania Jengo la TANESCO Chato, kubwa kuliko la Wilaya Temeke lenye wateja milioni na nusu

    Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye mji wa wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza. Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea. Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Simba wekeni screen kubwa uwanja wa uhuru kiingilio kiwe 3000

    Natoa ushauri huu ili sisi ambao hatutaweza ingia mkapa tuweze shangilia nasi
  18. JamiiForums Tanzania Kalemani huu sio ufisadi kwa kujenga ofisi ya TANESCO ya mabilioni katika Kijiji cha Chato, kubwa kuliko ofisi yoyote Kanda ya Ziwa na Kati?

    Hii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati,Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini. Tanesco ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Dk. Kalemani, wateja wa umeme Chato wakifika elfu tano ni...
  19. JamiiForums Tanzania USHAURI: Watumishi wakopeshwe pensheni yao kwa riba ndogo au bila riba badala ya kutegemea mikopo ya mabenki yenye riba kubwa

    Ukifikiria kiundani utagundua mtumishi anufaiki sana na mkopo anaokopa, wanufaika wakubwa wa mikopo kwa wafanyakazi ni mabenki/taasisi zinazohusika na ukopeshaji kupitia faida inayotokana na riba, mikopo inapelekea chanzo cha Maisha magumu kwa watumishi waliowengi huku ikiwaacha wakopeshaji wa...
  20. JamiiForums Tanzania TRA Kariakoo (Kipata/Lumunba) imekuwa kero kwa wenye magari madogo ya mizigo. Mamlaka imulike wafanyakazi wa pale waache hii tabia ya ovyo

    Habari wanaJF, Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu, kumekuwa na usumbufu mkubwa wanaoupata madereva wa magari madogo katika eneo la Kariakoo, wanapokodiwa na Wafanyabiashara wanaonunua mizigo, pindi mzigo unapokamatwa kwa madai mbalimbali ikiwemo kukosa risiti inayojitosheleza,maofisa hao wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…