Kuna makampuni matatu ambayo kiukweli usijaribu kuweka dau refu au usiwategemee sana pindi unapobashiri michezo mbalilili.
1.Gal spot Betting; hawa jamaa siku wakiliwa sana wanazima mtandao,au wakiona kuna mechi zimekaa mkao wanahofu watapigwa lazma wazime mtandao.Ukiweka dau kubwa kuanzia...
Sio kwa nia mbaya ila ni ukweli kuwa kwa miaka ya hivi karibuni imezuka kasumba ya kila mtu anayetaka hoja zake kuhusu maendeleo zisikilizwe basi lazima awaseme vibaya wasomi wa nchi (Tanzania) na kubeza kabisa mfumo wa elimu yetu.
Kama wasomi hatukatai kukosolewa lakini kwa sasa watu...
Mimi nimekaa najiuliza sijapata jibu mpaka sasa. Mtu una mke au wake au una Mpenzi au wapenzi Inawewezekanaje ukaenda kumuingilia mtoto mdogo wa umri wa miaka m3 Asiyejua chochote! Kwani amekukosea nini? Mbona wanawake wamejaa na wanatoa huduma ya line zote! Umekosa nini huku labda wana Jamii...
Kuna kitu ambacho sikielewi... hawa watu wa betting wanapata wapi namba yangu. Sijawahi ata mara moja kubeti lakini ntapata message Zaidi ya kumi kwa siku za kushawishiwa kubeti.
Huu usumbufu wa kutojitakia unaratibiwa na nani?
Naomba kufahaku jinsi ya kuwashitaki hawa watu wanaonisababishia...
Jambo la kwanza na kubwa kabisa betting is addictive very addictive hutaamini itakavyo kukamata na kuingia kwenye mishipa ya damu yaani kuna wakati kukaa bila kua na ka mkeka unakokasubiria ka tick ✅ basi unahisi kama kuna kitu hakiko sawa hivi.
Jambo lingine ni kwamba utakua na matumizi yasio...
Ndugu, habari za wakati huu.
Bila kupoteza muda ningependa kuomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa juu ya zile mashine ambazo zinatumiwa kwa ajili ya kubeti mfano, premier bet, pm bet n.k
Naomba kujua cost ya kuwa wakala au kununua.
Pia naomba kujua commission yake kwa mwezi, namna ya...
Wakuu habari zenu,
Baada ya kupigwa pesa zangu kwenye forex nimeamua na mimi nije kushare jinsi forex ilivyopelekea mpaka nime break up na gf wangu, lakini yote maisha nimejua wanawake almost wote ni lowkey gold diggers, kwa nini nasema hivyo nimepigwa $3200, $1000 zilikuwa ni za kwangu...
Sijaona maendeleo yoyote tangu nianze kubeti miaka 3 iliyopita.
Wenzangu na mimi hali ikoje? Naweza kupata maujuzi zaidi ama niachane na kudanga huku?
Tena madanga yangu km ya wanawake wa Buza, leo nimepata buku siku mbili sipati kitu. Nikipata elfu kumi inapita wiki mbili cjapata chochote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.