kubeti

  1. D

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nataka kuacha kubeti

    Habari za muda, Mimi ni kijana wa miaka 23 nimekuwa na uraibu mkubwa sana wa kamari (kubeti). Nilianza kubeti tangu 2015 kipindi nipo Form 2 kipind Primier Bet inaanza wale wa vikaratasi then nilistop kwa muda ila wakati nipo form 5 nikarud na uraibu ulianza. Japo nilishawahi kushinda...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Betting: Niliamua kuacha kubeti baada ya kutumia zaidi ya Tsh. 450,000/- na kuambulia patupu pamoja na kutapeliwa Tsh. 100,000/-. Kuna funzo kubwa

    Mwaka 2012 mwishoni nilishawishika kuanza kubeti baada ya kushuhudia rafiki yangu aliekuwa akibeti kwa muda mrefu hatimae katandika shilingi laki 4 na elf 30 kwa dau la elf 2 pekee, nilimsindikiza kwenda kuwithdraw na kwa macho yangu niliona akipewa pesa cash taslimu, nilipagawa! Akaanza...
  3. Dcxkobe

    JamiiForums Tanzania Nimejitafuta kwenye kubeti mpaka nimechoka

    Tangu niingie kwenye kubet adi sasa sijapata faida yoyote Zaid ya hasara kila nikisomaga post xozote za kuhusu kuifaidi betting karbu wote wanasemaga usiweke timu nyigi odds 2 tu zinatosha Ayo yote nimefanya lakn n vipigo tu option zote kwenyr football nimezijarbu lakn hakuna tofaut nikahama...
  4. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Kubeti ni kujiua kiakili

    Bisheni sasa na hii Kusema ukweli ,na ukweli ambao hamna mwana JF yeyote anayepingana nao . Kubeti kumefanya vijana wengi wa sasa kufa kiakili..unakuta kijana siku nzima yenye masaa 24 wanawaza juu ya mikeka Yao ya siku na pale siku inapoisha mikeka inachanika Jamani vijana tufanyeni kazi...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kuna Urahisi au mbinu katika kubeti?

    Hakuna kazi Rahisi, Kupata pesa inahitaji pesa. Kurisk pesa kiasi kwa mafanikio uko mbele sio kazi rahisi jamani… wenzangu na mie tunaobet tunaelewa hili kabisa. Unaweka mikeka 9 inapumua unaend kupika kaugali unashiba ukirudi tu hivi ni wewe pekee unaepumua tena kwa shida mno😆😂😂😂… Hamna janja...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Vijana wa 2000 wanajua maigizo(films), muziki, kubeti, kuendesha bodaboda na story za mpira. Huko tuendako watatawaliwa na wageni

    Tanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo; Hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Adui wa Tanzania ni Uvivu hasa kwa wanaume wanaoishia kujikita kwenye Rushwa na Kubeti

    Maadui wakuu watatu wa Mtanzania yaani Ujinga, Maradhi na Umaskini mama yao ni Uvivu na baba yao ni Tamaa Watanzania wanaume ni wavivu sana wa kufikiri, wanapenda mteremko na mambo mepesi mepesi na hapo ndipo wanaporidhia Mkataba wa Umaskini na Shetani Nimemsikia Mtaka akiyataja makabila...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kubeti kwatajwa kuwa chanzo cha mauaji ya mwanamke Dar

    Uraibu wa kamari na michezo ya kubeti, wadaiwa kuwa chanzo cha ugomvi uliosababisha mauaji ya Mwanahamisi Pauline (Mwana Mjeshi). Jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro alithibitisha kutokea kwa tukio hilo kwa kusema: “Taarifa hizo ni za kweli na yeye amejirusha...
  9. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Simba inatisha nyie, baadhi ya makampuni ya kubeti yanahofia kuiweka mechi yake mpaka sasa

    Simba mkubwa Mechi zote za EPL, Spanish PL, Portuguese PL, Bundesliga, Serie A etc zote zipo kwenye makampuni karibu yote ya kubetia Tena mpaka mechi za mwezi August zipo Why not ya Mnyama!? Mnakhofia nini!? Wydad kawapenyezea Fungu nini!? Nevertheless: Wydad 1-2 Simba NB:Ushabiki...
  10. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kubeti Michezo haina tofauti na Biashara ya kuchimba madini

    Baada ya muda kidogo kufuatilia vifo vinavyotokana na biashara hizi mbili nimegundua kuwa utofauti uliopo baina ya biashara hizi ni kwamba Betting haiitaji mtaji mkubwa wa kifedha bali inahitaji mtaji mkubwa wa akili (Intelligence); Biashara ya Betting inatumia akili zaidi na inakupasa uwe na...
  11. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Serious talk: Je, kubeti kunaweza kuendesha maisha walau kwa vijana hata wawili kati ya kumi wanaobeti?

    Yes nimeahi sikia kwamba kuna watu wamepiga mshindo kwenye betting lakini hao watu ni nadra sana wanaweza kuwa katika kipimo cha mtu 1 kati 100 ya wale wanaobeti. Ili kitu kiwe na uhakika wa kitu flani kuweza kuendesha maisha ya mtu kiuchumi basi walau huwa kuna kipimo angalau hata watu wawili...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kubeti niprn odds

    Nipen odds wajomba nataka win leo
  13. Kelvin de bruyne

    JamiiForums Tanzania "Vijana nendeni mkalime acheni kubeti" huu msemo nitakuja kumvunja mtu shingo

    Habari zenu Wanajamvi Mimi ni msemaji wa vijana tusioajiriwa tuna degrees zetu tuko tunahustle mtaani kwenye harakati mbalimbali za mtu mweusi kwa bahati nzuri harakati hizi zinatupatia pesa kidogo za kujikimu kwenye mahitaji ya Kila siku mfano bando, nauli, chakula nk....so tunaishi 👊👊 Kwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania NI kwamba moja ya malengo yaliyoainishwa kwenye ilani ya CCM ni pamoja na kuimarisha mazingira ya KUBET?

    Awali nilimpongeza Sana Katibu WA CCM alivyopiga marufuku kubeti. Contrary; nimesikitika kusikia kubeti IPO kwenye ilani ya chama cha mapinduzi. Je, ni kweli ilani hiyo inatengeneza wataalamu WA kubeti au ni propaganda? Kama ilani inasimamia kubeti, je Katibu Mkuu kukemea nikupingana na ilani...
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CCM mnafeli wapi? Hiki kizazi cha nyoka mlichotengeneza ndiyo mkishawishi kuacha kulima na kubeti?

    Mmeharibu elimu, leo hii mtoto anamaliza Form Six hawezi kusoma na kuandika. Hawezi kufanya reasoning. Leo kama kijana hawezi kureason na kuwa na general knowledge mbagemea atakuwa mvuvi, mkulima au mfugaji? Mmesahau enzi zile kulikuwa na Sayansi, maarifa na Hesabu ilisaidia vijana kupata...
  16. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye uwezo mkubwa wa kutengeneza michezo (games) ya kubeti, changamsha siku yako na hii

    Kila mtu anapenda kufanya kitu kitakacho mpa amani na furaha. Ikiwa utapata furaha ukifanya kitu Fulani, basi hicho ndio kitu kinachokufaa sana. Kuna watu wanapenda kupika, wengine kusoma vitabu, wengine kuimba au kuchora. Hizi zinaitwa hobbies, Mambo unayopenda sana,na siku yako haipiti bila...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia sana sijawahi kuona kijana wa CHADEMA kwenye mabanda ya kubeti na kamari

    Hii sijui imekaaje au ni kwa kuwa hawaoni fursa huko? Au je, ni kwa vile ni vijana wanaojitambua hivyo hawana muda wa kupoteza? Naapa kabisa mbele yenu wana jukwaa ktk utafiti wangu mdogo kuanzia Dodoma, Morogoro, Dar na Zanzibar sijawahi kuona Vijana na wafuasi wa Chama cha demokrasia na...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani umetumia kuachana na uraibu wa kamari aka Kubeti?

    Katika miaka ya hivi karibuni hapa nchini Tanzania.Michezo ya kubashiri aka kamari/kubeti imekuwa ikishika hatamu kwa vijana, kitendo kinachopelekea kuzaliwa kwa waraibu/ walevi wa kamari (gambling addicts). Nina imani humu kuna watu waliokwisha pitia uraibu huu na kufanikiwa kuuacha. Naomba...
  19. MINESOPOTAMIA

    JamiiForums Tanzania Ni siku gani kubeti kulitaka kukutoa uhai?

    Kuna jamaa mmoja alikuta timu ipo dakika ya 67 na inaongoza goli tatu kwahiyo akaipa ishinde na akatia ada yake pale. Mchezo uliisha 3 - 3! Kuna maumivu makubwa sana kwenye kubeti, wewe kilikukuta nini mpaka ukaona roho itaacha mwili?
  20. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kampuni za kubeti kwa maendeleo ya taifa

    Tasnia ya michezo ya bahati nasibu inakua kwa Kasi ya ajabu kutokana na kuongezeka kwa watumiaji wengi wa intaneti, na kukua kwa miamala ya kifedha. Kwa miaka ya hivi karibuni Tanzania imezidi kuwa Soko pendwa katika biashara hii inayotajwa kushika nafasi za juu kuwa na mkwanja mrefu. Je...
Back
Top Bottom