Kila wakati trump anaipiga chini sana UN kutokana na unafiki wao, hadi akaamua kujitoa katika baadhi plans ambazo amekuwamo miaka mingi.
Ni nani anae control UN?
UN imegeuka chombo cha kulaani na kutoa matamko kwa watu wengine ila kama jambo linahusu itikadi ya mrengo wa kulia, israel na US...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewapa pole wale waliofiwa na ndugu zao katika maandamano ya Oktoba 29, ingawa yeye ameeleza kuwa maandamano hayo yalijumuisha vurugu.
Rais Samia Suluhu Hassan aliyasema haya wakati akizungumza katika mkutano maalum...
Habari Wana JamiiForums.
Mimi ni kijana mwenye miaka 30 kuna mambo ya kimahusiano yanayonisibu Kwa sasa nadhani yapo nje ya uwezo wangu kama sitapata mshauri mzuri ninaweza nikaenda mlama kama meli.
Twende Kwa mada,kuna binti mmoja miaka mitatu iliyopita tulijikuta kwenye mahusiano ya...
Baada ya tuhuma nzito za Mwanaharakati wa Uganda Agather Atuahire kubakwa na kuteswa na vyombo vya Ulinzi vya Tanzania, Je tutarajie nini kinachofuata?
Ikumbukwe Jamii ya Wachwezi ambayo inaunda Bahima Empire ina imani kama za watoto wa Ibrahim(Wana Israel) kuwa ukimfanyia mmoja wetu hivi basi...
Wakazi wa Kata ya Galapo, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, wamegubikwa na huzuni, kufuatia taarifa za kubakwa na kuuawa kikatili kwa Suzana Samweli (13), mwanafunzi wa darasa la sita ambapo wananchi wamelaani vikali na kuitaka Jeshi la Polisi kuchukua hatua za haraka dhidi ya wahusika wa tukio...
Baada ya mji wa Goma,mashariki mwa Jamhuri ya kidemokalasia ya Congo, wakimbizi waliokuwa katika maeneo ya jirani na Goma, walihamasishwa kurudi majumbani kwao, na kuhakikishiwa usalama wao.
Waliotoa taarifa, wamesema mpaka sasa wana usalama wa kutosha,japo hawana imani kama hali hiyo...
Wanafunzi wakike shule ya Sekondari Thaqaafa iliyoko mkoa wa Mwanza , wilaya ya Nyamagana wamenusurika kubakwa baada ya vibaka watatu kuingia ndani ya bweni saa nane usiku.
Wakiwa katika harakati za kumziba mdomo mmoja wa wanafunzi ili asipige kelele waanze kumbaka, ghafla mwanafunzi mwenzake...
https://youtu.be/m9WGFYVzCvU
Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano wa Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi kwenye mkutano wake na waandishi wa habari, leo saa 4:00 asubuhi.
Mwabukusi anazunguzia suala la wamasai kuondolewa kwenye eneo lao kwa nguvu, na serikali imeondoa huduma zote za msingi kwao...
Kwa takriban mwezi sasa Polisi bado wanahangaika na uchunguzi wa tukio la Binti aliyeonekana katika Video akifanyiwa vitendo vya Ukatili na Wanaume Watano na bado kumekuwa na kauli za kutia shaka kuhusu haki ya huyo binti. Baadhi ya Askari wamekuwa wakitoa kauli zinazoonesha wazi kumkandamiza...
Wakuu,
Naona tunaenda kufanyiwa maigizo tena na kuna mtu anataka kulindwa. Eti uchunguzi umebaini vijana wale hawakutumwa na 'afande na kwamba vijana wale walikuwa kama wavuta bangi tu na yule binti alikuwa kahaba!
Mpaka utambulisho wa moja wao umebainika halafu leo maneno yanageuzwa hivi...
binti aliyebakwa yombo
binti aliyelawitiwa
binti wa yombo
dpp
kesi ya kulawiti
kesi ya ubakaji
kubakwa
polisi
polisi tanzania
sacp theopista mallya
tanzania
ubakaji na ulawiti
ukatili wa kingono
ukatili wa polisi
ulawiti binti wa yombo
"Nilichogundua 90% ya Waandishi wa Habari za Michezo na Wachambuzi wa Michezo waliokuwa wakishadadia Sakata la Mchezaji Fei Toto na Yanga SC walikuwa katika Payroll ya Yanga SC na pia hawajui Sheria zozote za Soka kitu ambacho Kilinisikitisha mno kwani hizi Sheria zote ziko Online na kila Mtu...
Mwanafunzi kidato cha tano wa Shule ya Sekondari Panda hill, Esther Noah (18) amesema chanzo cha kutoroka shuleni ni kunyanyaswa kingono na mwalimu wa shule hiyo anayejulikana kwa jina la mwalimu Jimmy.
Yule binti mwanafunzi aliyepotea!
Alipatikana akiwa amewekwa kimada na muuza mkaa!
Anasimulia binti huyo alifikia uamuzi huo baada ya kunyanyaswa shule na mwalimu Jimmy!
Binti anazidi kusimulia ilikuwa majira ya chakula alichelewa kufuata chakula, akiwa bwenini alikuja mwalimu akawafurusha...
Nianze kwa kukupa ‘intro’ ya stori kabla sijakushushia mkeka kamili, ipo hivi hapa mtaani kwetu kuna mtoto wa kike wa Shule ya Msingi Barracks, Dar es Salaam, amefanyiwa ukatili kwa kubakwa na watu watatu katika nyakati tatu tofauti.
Hapa ninavyoandika mistari hii huyo binti haendi shule tena...
Ripoti kutoka kwa Mganda Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Alfred Mwakalebela imeeleza kuwa idadi hiyo ni wastani wa Watoto 2 hadi 3 kwa wiki ambao hufanyiwa ukatili wa Kubakwa na Kulawitiwa.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Kihesa Kilolo, Omary Juma, amesema Watoto 30 walibakwa na Kesi ziko...
Wananchi wa Kijiji cha Bugando, Kata ya Nzera, wilayani Geita mkoani humo, wameiomba serikali ichunguze na kumtafuta mtu anayewaingilia usiku wananchi kwenye nyumba zao na kuwabaka hali inayopelekea kuishi kwa mashaka na kuhataraisha afya zao.
Waathirika wa tukio hilo wanasema mtu huyo amekuwa...
Nurdin Abdallah
Shahidi namba moja ambaye ni mtoto wa miaka 6 anayedaiwa kubakwa na baba yake mzazi Mchungaji Nurdin Abdallah (54) na Muinjilisti wa kanisa la waadventista wasabato Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza, amekiri mbele ya Mahakama kufanyiwa kitendo hicho kwa nyakati tofauti na baba...
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa linamshikilia Mohamed Mwanjali mkazi wa Mtaa wa Kitanzini kwa tuhuma za kumbaka Mama mjamzito na kumsababishia umauti.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Maweni Kata ya Kitanzini Yassin Kisogole amesema Mwanamke huyo alitendewa ukatili huo usiku wa kuamkia September 25,2022...
Hello Wadau!!
Billionaire Shillah hivi karibuni amepost akishuhudia katika kurasa zake za mitandao ya kijamii akimshukuru Mungu kuikimbia zinaa.
Wana JF wenzangu nadhani mna la kujifunza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.