Kwa ufupi ni kuwa yule dada wa kinigeria alimpenda mlinzi wa kimakua na akaona haiwezekani kulala mwenyewe ila baadae akamgeuka, na walifikishana mpaka kwa mkuu wa wilaya ili kusuluhisha.
Lakini yuke binti wa kiniger akagoma mpaka alipwe kitita cha US dollar 10,000 takribani 23.5mil ili...
Alikiba akiwa kwenye kipindi cha mahojiano cha Salama Jabir. Amefunguka kwamba alinusurika kubakwa nchi Marekani.
Jambo hili lilitokea after party show iliyofanyika kwenye chumba kimoja cha baadhi ya vyumba alivyokuwa amekodi kwenye hotel.
Alijisikia kuchoka na kuhamua kwenda kujipumzisha...
Strange though might sound, ila wabakaji wanawake wapo, nakubaliana na Biblia kua mke mwema anatoka kwa bwana, mimi binafsi nina wivu sana na naamini karma ipo hivyo endapo nitatembeana mke wa mtu possibly wangu nae pia watapita nae , ingawa sio ulinzi tosha kwani naweza nisipite na wake za...
The victim, a 19-year-old Dalit woman, died earlier this week from injuries sustained during an alleged gang rape by four upper-caste men. Local police have been accused of mishandling the investigation.
India's Central Bureau of Investigation has taken over the case of a 19-year-old Dalit woman...
Halaaaa! Yaani kuna siku ilibaki kiduchu tu nibakwe na demu iko bv uyu dada tulikuwa na mahusiano lkn siku zote tukiwa faragha aliniachia uwanja mm ndio niumiliki yaan tukiwa room aliniachia mm ndio mwamuzi wa style zote na chochote kile nilichotaka kumfanyia alinipa nafasi lkn siku zote...
Naomba kuelimishwa jamani, hivi kwa sheria za Tanzania mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?
Soma pia:
1) Binadamu wa kwanza duniani KUBAKWA ni Mwanaume, na wakwanza KUBAKA ni mwanamke!
2) Hivi kuna sheria inayomruhusu mwanaume kumshtaki mwanamke kwa kosa la kumbaka/raping?
3) Marekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.