kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nasikia Tajiri Kakasirika na kaachia Mzigo wa maana wa Usajili hivyo kuanzia Wiki hii ni Vyuma tu Vinashuka Lawama Kugombana Sports Club

    Wadanganyeni wengine ila siyo Mimi oky?
  2. JamiiForums Tanzania Mpaka muda huu REFORMS kabla ya UCHAGUZI/ELECTION zina hitajika kuanzia ndani ya vyama vya siasa mpaka kitaifa

    WAKUUU nimeona kuahirishwa kwa kikao cha masisiemu leo. Kiukweli nimefurahia sana sana sio kwa kidogo bali kwa wingi sana. Kama ndani ya chama chao wameanza kumkataa live live basi wale wazee wa NO REFORMS NO ELECTION zidisheni mashambulizi kila kona kila idara kwa kila mtanzania wa bara na...
  3. JamiiForums Tanzania 185M MPAKA KUFIKIA ROOFING STAGE (BILA FINISHING) TUMEHUSIKA KUANZIA DESIGN MPAKA SITE JUST CALL US TO GET SERVICES +255624004650

    🏡 Stunning 6-Bedroom Double Storey Design! 🔻 Ground Floor: Entrance lobby Open spiral staircase Lounge Dining area with patio access Spacious open kitchen with island Separate wet kitchen 2 self-contained bedrooms (each with private bathroom) 🔺 First Floor: 3 ensuite bedrooms — each with:   •...
  4. JamiiForums Tanzania Andika mambo yatakayotokea kuanzia sasa 2025 hadi mwaka 2030

    Andika utabiri wako kipi hasa kinaenda kutokea kuanzia Sasa hadi mwaka 2030.
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

    Sasa ni rasmi yupo mtu kati Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa Hakuna mtu ataweza kumteka tena Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi Hakuna kitu atakipanga kisivuje Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua. Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo. Tanganyika...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msingi wa Dira ya taifa ya maendeleo 2050 ni kiini macho, kama kweli serikali ya CCM ipo serious tunataka tuone vitendo kuanzia sasa

    Nimepitia haraka haraka dira ya maendeleo ya taifa 2025-2050 iliozinduliwa leo na kugundua misingi yake ina hadaa umma wa Watanzania. "Kila mtu anafurahia uhuru, ulinzi wa maisha yake na haki zote za msingi zilizowekwa kikatiba, zinazosimamiwa na mahakama zilizo huru, zinazozingatia makundi...
  7. JamiiForums Tanzania Kuanzia eneo la shoprite ya zamani kupita Ngarenaro mpaka kona ya Mbauda ule ni uchafu unatakiwa uondolewe

    Mimi shiishi Arusha ila ni zaidi ya miaka 20 lile eneo la shoprite ya zamani, unapita kona ya kilombero, ngarenaro lipo vile-vile na hakuna dalili hata ya kulibadilisha Ule uchafu kama uchafu, kunanuka, nyumba zimekaa hovyo hovyo, watu wamezagaa hovyo hovyo wengine wanauza kahawa, na wengine...
  8. JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu gari la kuanzia maisha

    Asanteni sana wadau wa jukwaa hili, jana niliomba ushauri kuhusu gari la kuanzia maisha dogo dogo aina ya Toyota. Kuna mdau alinipa option zaidi ya 5 kuhusu gari hizi IST ALLEX RUNX PREMIO PASSO Nilipenda jinsi RUNX na ALLEX zilivyo na muundo mzuri na kapo safi, baada ya kutoka kanisani...
  9. JamiiForums Tanzania Aina gani ya gari inafaa kuanzia maisha?

    Enheeeh wajomba naombeni msaada ni aina gani ya gari nafaa kuanzia maisha kama kijana mwenye mshahara wa 2M? Nilijichanga nikafikisha kiasi fulani nataman kupata gari ila nawaza aina ipi ya gari itafaa na yenye less service n maintenance. Kuna fundi aliniambia Nissan Dualis nilipozifuatilia...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Alionywa akakaidi: Hizi hapa post zilizomuingiza SirJeff kwenye 18 za System, kesi ya uhaini au uhujumu inanukia, Cruiser Nyeupe ilikuwa inamfuata

    POST YAKE YA MWISHO NI JUZI, KUNA TETESI AMEKAMATWA ANAKOISHI NA KUFANYA SHUGHUI ZAKE MAFINGA MKOANI IRINGA, AMESAFIRISHWA KWA SASA YUPO DSM
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa nitaheshimu watu wa NNE TU SERIKALINI, wengine wote tutakula nao sahani moja

    Iweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee iwe iiwe iiweeeeeeeeeee Ndani ya serikali ya Tanzania nitahoji na kuuliza kila kitu kinachofanywa na watumishi wa serikali kwenye kila nyanja mbalimbali ila tusi lanhu kubwa nitakalo watukana wafanya ubadhilifu na majuha ndani ya serikali itakuwa ni...
  12. JamiiForums Tanzania Roho ya Madeni Ikuachie Kuanzia sasa

    Roho ya Madeni Ikuachie Kuanzia sasa
  13. JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na hawa warembo wa 30+ wanaoandika nyuzi za kutafuta mabwana kuanzia 48+

    Ila wadada wajanja sana🤣🤣 Yami mtu kazunguka weeeeee miaka yote hio sasa anatafuta mzee wa kwenda kupumzikia, pia anajua katika umri huu ndipo mwanaume anapoelekea kuishiwa guvu na maybe kufariki baada ya kumlisha mafuta mafuta mengi apate ugonjwa wa moyo adanje, arithi mali za bwana yule. Na...
  14. JamiiForums Tanzania Kwenye Dabi tano za Kariakoo kuanzia 2025 hadi 2030 Utaratibu uwe huu

    Mwaka huu Simba walipoanza kama wenyeji kwenye raundi ya kwanza ambapo watani zao Yanga waliwapa sapoti yote ya promosheni, wao waliamua kutukana nafasi hiyo kwa kuhujumu raundi ya pili ambapo Yanga ndiye aliyekuwa mwenyeji. Kwa hali hiyo Derby tano zifutazo Yanga ndiye awe ni mwenyezi kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Stergomena Tax: Waliopigana vita ya Kagera kuanza kulipwa pensheni kuanzia Julai 2026

    waziri wa ulinzi Stergomena Tax amesema kuanzia mwezi julai wale waliopigana vita vya kagera wataanza kulipwa pensheni ameyasema hayo akiwa bungeni leo June 23 katika bunge la 12 mkutano wa 19 na kikao cha 51. “Ninayo furaha kulitaarifu bunge lako tukufu kuwa serikali ya awamu ya sita ambayo ni...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake poleni sana

    Nimejaribu kuwaza kama ingekuwa sisi wanaume ndio tunatolewa barua na ndio ingekuwa tunatongozwa, Afu ukute ni msichana fulani hivi mrefu si mrefu mfupi si mfupi yaani haeleweki afu ndio anakuja kwenu kuleta barua, Nimejaribu kufikiria ni msichana fulani hivi jirani yetu hapa ambaye kiufupi...
  17. JamiiForums Tanzania Vyeo vya Usalama wa Taifa (TISS) – Kuanzia cha chini hadi cha juu

    Utangulizi Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) ni chombo cha kijasusi cha serikali ya Tanzania ambacho kinahusika na ulinzi wa usalama wa taifa kwa njia ya ukusanyaji wa taarifa za kiusalama, kupambana na ujasusi wa kigeni, uhalifu wa kiuchumi, ugaidi, na vitisho vyovyote...
  18. JamiiForums Tanzania Masikini Iran muda wowote kuanzia sasa Marekani naye ataingia kumtwanga rasmi na hatimaye Ayatollah kumkuta ya Saddam Hussein

    Hii si ndoto ni kweli, Iran ndo mwisho wake huu... Anasikitisha, Usa anaingia rasmi.. Iran kilichobaki ni kukimbia tu
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu kuanzia sasa na kuendelea nikiona mtu anapigania usimba na uyanga najitolea kumpeleka Mirembe

    Yes, nampeleka mirembe kwa gharama zangu japokuwa mimi sina uwezo mkubwa kifedha lakini niko tayari kuzikopa popote ili nimsaidie mtanzania mwenzangu mwenye ugonjwa wa akili maana nikimwacha anaweza akaanzisha makaazi yake dampo. Nayasema haya kwa sababu watanzania wengi ukiwasikiliza...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyau aliagiza Iran itandikwe kuanzia November 2024 agizo litekekezwe kabla ya April 2025

    Wadau hamjamboni nyote. Advertisement Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema katika taarifa ya video kuwa agizo la kuangamiza mpango wa nyuklia wa Iran lilitolewa mwezi Novemba 2024, na ameahidi kutoa taarifa za video kila siku pale itakapowezekana. "Agizo hilo lilitolewa muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…