kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania We do design and constrution

    One of our project at kibada kigamboni We do building design We do constrution at affordable price We do consultation Call /whatsap 0624004650 Office Sinza
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kuanzia miaka 20 ijayo wataishi kwa tabu sana

    Nikitazama namna ya maisha ilivyo sasa na inavyo enda nathubutu kusema kwamba wazee wa kuanzia miaka ijayo 20 au pengine hata kabla watakabiliwa na maisha magumu sana. Hili nalitazama katika mambo matatu. Mosi ni wazazi wengi wa sasa kukosa muda wa kuwa na watoto wao kwa ajili ya kutafuta...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, angalau kipato kuanzia 10k+ per day

    Wakuu, rejea hapo juu. Vyeti vilivyopo JKT & EACCFFC na nina uzoefu wa mda mrefu. Niko tayari kwenda mkoa wowote, ila Dar es Salaam hapana Asanteni
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo nimeacha kuchepuka

    Habari zenu wakuu. Leo nimetafakari sana juu ya maisha yangu na michepuko. Nimekuwa na tabia ya kuchepuka kwa muda mrefu sana na hatimaye nimefika tamati ya huu ujinga Nimegundua hakuna faida yoyote ninayo ipata zaidi ya kupata hasara ya kuhusumia jitu lisilo na faida yoyote kwangu Pia...
  5. JamiiForums Tanzania Kitengo cha mipango Miji Manispaa ya Kigamboni wanakwamisha leseni nyingi za biashara zinazotakiwa kuanzia kwao

    Hii idara ya mipango miji manispaa ya Kigamboni imekua kero sana tangu wapewe madaraka ya kupitisha baadhi ya leseni za biashara. Mimi nimeomba leseni ya guest house ambayo lazima ianzie mipango miji lakini Sasa hv Ina mwezi mzima hawajapitisha Wala kunambia tatizo nini mpaka hawapitishi maombi...
  6. JamiiForums Tanzania Je, yawezekana tukapata Mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi?

    Nauliza tu maana kuna harufu Fulani kutoka sehemu fulaniii Tukapata kijana akawa IGp Ni mawazo Yangu tu Wait it Upo Pascal Mayalla ? Britanicca
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuna gari ya Dodoma - Dar usiku kuanzia saa tatu usiku?

    Habar wadau hivi dodoma Kuna gari zakuondoka usiku wa saa tatu nakuendelea?
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu wa vita kuua watu kuanzia 300

    Miongoni mwa wafalme waliokuwa na nguvu sana kipindi hicho alikuwa mfalme Daudi. Nguvu kubwa na alikuwa mzee wa totozi sana lakini pamoja na hayo mungu alimpenda sana, kwa sababu gani? Ni kwa sababu alikuwa mnyenyekevu mbele zake. Ndiyo! Mungu hupenda watu wa aina hii, yaani unapokosea, ulijue...
  9. JamiiForums Tanzania Haya wale Wazee wa Link hebu nipeni Link ya Kuangalia Mtanange wa Leo kwani Mtaalam wangu wa Zanzibar kaniambia nifurahi kuanzia sasa

    Kama unaijua Link yoyote ile ambayo itaonyesha huu Mtanange niwekee hapa kwani tayari Kazi imeshakwisha Zenji.
  10. JamiiForums Tanzania Tafadhali ID yangu hii isipoonekana kuanzia Saa 3 Kamili za Usiku wa Leo tarehe 8 August,2024 basi jueni kuna tatizo Kubwa la Mtandao huku niliko

    Nimeamua kutoa mapema tu Taarifa hii ili ID yangu isipoonekana kuanzia Saa 3 Kamili ya Usiku wa Leo msinishangae.
  11. JamiiForums Tanzania Tafadhali visingizio vifuatavyo hatuvihitaji Kesho tarehe 8 August, 2024 kuanzia Saa 3 Kamili za Usiku sawa?

    1. Tumewaonea tu Huruma nanyi mshinde ili mfurahi 2. Tumewaachia ili msije Kuuana bure 3. Tumeshachukua letu la Kwanza kwa Mandele hivyo tulitaka nanyi mchukue lenu kwa Nyerere 4. GENTAMYCINE alishasema kuwa Mwamuzi ni Shabiki mwenzenu hivyo tulijua tu tutakufa 5. Tumeshachoka kila mara...
  12. JamiiForums Tanzania Shuhuda: Tiketi za Yanga ( Wananchi Day ) ziligawiwa bure kuanzia Agha Khan, Mbagala walipofungua Tawi na kwenye Supu ziligawiwa bure kupitia Matawi

    Nendeni Mtandao wa Facebook wa Kapesah Sports Update mkamsikie mwana Yanga SC asiye Mnafiki alivyofunguka.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa kundi la Hezbollah Dokta Nassan Nasrallah aagiza Jeshi lake kuanza kuishambulia Israel kuanzia kesho Agosti 2, 2024

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha na amri imeshatolewa kwa magaidi kuanza kuichakaza Israel kesho kulipa kisasi mauaji ya Ismael haniyeh Muda wa mashambuluzi ni baada ya maziko ya Ismael haniyeh/ sala ya ijumaa, hivyo ni takribani kuanzia saa 7 mchana na kuendelea kwa saa za kwetu Afrika...
  14. JamiiForums Tanzania Kuanzia leo naacha pombe na namrudia Mungu

    Hello Jamiiforums Kichwa cha habari kinajitosheleza, wadau na wanywaji wa pombe wote najua tumekuwa tukikutana sehemu tofauti tofauti ili kupoza mioyo (kumwagilia moyo) huku tukiipa miili yetu pole kwa kujipongeza kama ushindi kwenye mishe zetu. Kinywaji hiki maarufu Duniani chenye shepu na...
  15. JamiiForums Tanzania DODOMA: Natafuta Godown kubwa lenye ukubwa wa kuanzia Square Metres 800 mpaka 1000

    Salaam; Wanajukwaa poleni na mihangaiko ya kila siku, natafuta Godown kubwa kiasi kwa ukubwa wa kuanzia Square metre 800 mpaka 1000, Nikipata maeneo ya kuanzia Nala na singida Road itapendeza sana. Mwenye Offer nzuri basi aje PM tuongee Biashara. Namba zangu 0710 782874 na 0693 784003 NB...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Donald Trump kuamtangaza rasmi mgombea mwenza wake muda wowote kuanzia sasa, kuelekea uchaguzi Mkuu wa Novemba 2024

    UDATES Trump taps J.D VANCE Ohio’s junior senator as his running mate Former U.S. President Donald Trump on Monday selected J.D. Vance, a senator from the Midwestern state of Ohio, as his running mate in November’s presidential election. Trump made the announcement on his Truth Social media...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Mbowe ni dhaifu, anashindwaje kesi na wanawake 19 na kumfukuza Lissu anayedai CHADEMA kimepokea hela chafu!

    Katibu Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, CPA. Amos Makala amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kama alishindwa kumfukuza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu @TunduALissu hana ujasiri hivyo asiwaaminishe watanzania kuwa kuna ujasiri wanapaswa kuwa nao. Akizungumza katika mkutano...
  18. JamiiForums Tanzania Njia za Kuimarisha Ujuzi wa Programming kwa Watoto wa Kitanzania: Kuanzia Shule za Msingi Hadi Vyuo Vikuu (Tupate Fluent Programmers)

    Utangulizi: Habari wana JF! Leo ningependa kushiriki nanyi mawazo juu ya jinsi Tanzania inaweza kuzalisha programmers wenye ujuzi wa hali ya juu kwa kuanzisha elimu ya programming kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu. Kwa sasa, wanafunzi wengi wanakutana na programming mara ya kwanza wakiwa...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta anayeuza Google-Play Console nifanye naye biashara

    Je ? Una google play console account. 1. Nanunua google play console angalau kuanzia mwaka 1 na kuendelea(chini ya mwaka tutazungumza). 2. Nanunua google play console yenye live app kuanzia 1 na zaidi,keystore&password na source code. 3. Nanunua google play console yenye live app bila keystore...
  20. JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu zaipa meno Hizbullah. Zasema kuanzia sasa si kundi la kigaidi tena

    Katibu mkuu wa jumuiya ya kiarabu mwishoni mwa wiki hii ameitembelea Lebanon na kukutana na kiongozi wa chama kinachoiwakilisha Hizbullah katika serikali ya Lebanon Bwana Hossam Zaki baada ya kukutana na kiongozi huyo alifanya mahojiano na vyombo vya habari kikiwemo Alqahera cha Misri na kusema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…