kuanza

The Cuanza Norte Province (Umbundu: Konano Kwanza Volupale) is province of Angola. N'dalatando is the capital and the province has an area of 24,110 km² and a population of 443,386. Manuel Pedro Pacavira was born here and is a former provincial governor. The 1,400 meter long Capanda Dam is located in this province. Cuanza Norte lies on the northern bank of the Cuanza River. It had been a territory of Ngola Kingdom. In 1914, Norton de Matos created District of Cuanza which was divided into Cuanza Norte and Cuanza Sul Provinces in 1917.

It was badly affected during the Angolan Civil War. It has many mines left over from the Civil War and contracts to clear them were given to several organisations. During the civil war, the insurgents made the province part of the central zone. On 5 April 2001, National Union for the Total Independence of Angola members attacked Samba Caju and killed 120 FAA members. The province's military commander, General Recordacao was also killed in the attack.The most spoken languages are Kimbundu. Mbundu people inhabit the province. Sugarcane and coffee are the most important agricultural crops. Their production is favoured by the tropical humid climate of the province.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    SI KWELI Treni ya Mwendokasi kuanza safari Juni 21, 2022 kutoka Dar kwenda Morogoro

    Kanusho la taarifa ya kuanza kwa huduma za safari za treni za kisasa Dar es Salaam - Morogoro.
  2. M

    Nawezaje kuagiza Moja Kwa Moja kutoka kiwandani TBL na SBL kreti 1000 nazohitaji kuanza nazo kibiashara?

    Wakuu habari zenu, Nataka kuanza biashara ya vinywaji, maandalizi yote tayari. Naomba msaada kwenu wadau najua mna uelewa mpana wa haya mambo, hivi Kwa wingi wa creti ninazotaka kuanza nazo siwezi kuletewa na kiwanda Moja kw Moja mpaka nilipo au mpaka nipitie Kwa maagent wao?
  3. Msaada: Anataka kununua eneo aanze kuchimba Dhahabu

    Habari za muda huu wadau wa JF? Naomba msaada hapa. Nina rafiki mmoja ameniomba msaada anataka kununua eneo kwa ajili ya uchimbaji wa dhahabu. Anapendelea zaidi Geita na maeneo ya Dutwa (kwa kifupi kanda ya ziwa kwa ujumla) Pia anaomba kujua Gharama za Upimaji wa eneo husika kujua kiwango...
  4. M

    KWELI Apple kuanza kutumia USB Type C kwenye matoleo ya simu zake za iPhone 15

    Tetesi toka kwa Ming-Chi Kuwa kuanzia 2023 Apple ataanza kutumia USB type C. Inawezekana ikawa ni shinikizo toka jumuiya ya Ulaya ikitaka makampuni yote ya simu yatumie standard moja ya kucharge.
  5. M

    Nawakumbusha Yanga SC kuanza maandalizi ya msimu mapema

    Viongozi wa Yanga nawaomba mfanye maandalizi ya timu mapema siyo mnaleta ligi ya digital design kwani kombe linatolewa kwenye design hiyo. Watani wetu ndo wamepaa Leo, mkileta mzaha mafanikio tutaona tu kwa jirani ambaye yuko serious. Sisi tutachukua kombe la digital design
  6. Account yenye jina la Baba wa Taifa yaibuka Twitter, lengo lake ni nini?

    Amani kwako ndg mdau. Kuna account naiona tweeter inaonekana haina hata wiki ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere cha kushangaza naona imelipiwa as promoted account. Sijaelewa ipo chini ya nani au imeanzishwa na kuendeshwa kwa makusudi gani? Kuna mdau humu anayefahamu malengo...
  7. Natafuta mpenzi sahihi wa kuanza nae mahusiano imara na bora

  8. B

    Tuache tabia ya kusimamisha abiria mabasi ya mikoani

    JF . Imeniwia vigumu kukaa kimya lakini Nina hakika nitakuwa nimetoa mchango wangu kwa kulisaidia Taifa Trafik wapo mabarabarani lakini mabasi yanapita tu na abiria wamesimama abiria anasimama mpaka masaa manne ni ajabu wenye mabasi wakifika karibu na police block wanaambiwa wakae chini kwenye...
  9. Mradi wa siri kuhuisha silaha za nuclear za Ukraine unakaribia kuanza majaribio

    Taarifa ambazo zimepatikana ni kwamba Ukraine anakaribia kumaliza kuhuisha silaha za nyuklia zilizokuwa decommissioned. Ikumbukwe kwamba mwaka 1994 Ukraine aliondoa silaha za nyuklia zilizokuwa zinamilikiwa na USSR. Kulikuwa na zaidi ya nukes 1700. Sasa wamehuisha baadhi kwa msaada wa mataifa...
  10. Tangu kuanza kwa vita, makampuni 1,000 yamesitisha huduma Urusi, na mengine kuondoka kabisa

    Kwa kweli Putin ameamua kuharibu Urusi na kuirudisha nyuma mbali sana, hatari sana kwa nchi kuongozwa na akili za mtu mmoja, anafanya maamuzi na kuchemsha na kuharibu kila kitu kichizi chizi....... Since the invasion of Ukraine began, we have been tracking the responses of well over 1,200...
  11. Uliza swali lolote kuhusu Maisha ya mtaani

    Karibuni muulize maswali namna gani kwa kijana was umri wa Kuanzia 18s anaweza kuishi mtaani bila kumtegemea mtu na kuweza kulipa bills zake , Kama Kodi ya nyumba au chumba , umeme maji na nk na kuweza kuchoma nyama weekend . Karibuni ...binafsi Nina 24 yrs ila nimeingia mtaani huu mwaka 7...
  12. A

    Serikali: Sasa ni ruksa kusafirisha wanyama nje ya nchi

    Hali iko hivyo, tunaelekea kule 7kule tulipotoka, sasa ni rasmi twiga wetu wataanza kupandishwa ndege tena kwenda Ughaibuni. _______________ Wafanyabishara sasa huru kusafirisha wanyama Pori kutoka Tanzania Marufuku hiyo imeondolewa kwa muda wa miezi sita ambapo wafanyabiashara watakuwa...
  13. Nishati; Utitiri wa Miradi, (Mnaonaje tukimaliza Mmoja kwanza kabla ya Kuanza Mwingine)

    Nimesikia hapa Makamba akiwasilisha miradi inayopangwa kufanywa katika bajeti ijayo na pesa lukuki iliyotengwa, kwa ajili ya miradi, (yaani ni miradi bandika bandua). Ni Vema na Haki..., ila swali, si bora tungemaliza kwanza mradi mmoja kuliko kushika shika hapa na pale..., Wahenga walisema...
  14. Nataka kuanza kutengeneza marembo kwenye madirisha na nguzo, napataje vifaa mafundi wenzangu kama mpo humu?

    Ndugu zangu tunajaribu kupambana na maisha ili siku ziende, ukishika hapa unajaribu na pengine, naomba wenye kujua namna ya kupata vifaa vya kucholea marembo kwenye nguzo na madirisha anisaidie tafadhali.
  15. Mwaka jana Serikali ilitangaza kuanza kununua mafuta moja kwa moja toka kwa wazalishaji. Mpango huu umefia wapi na kwanini?

    Tarehe 31 October 2021, waziri wa Nishati, January Makamba akiwa Arusha alitangaza serikali kuanza kununua mafuta ya petroli na dizeli moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji wa nchi rafiki, kupitia Shirika la Taifa la Mafuta (TPDC),ili kuondokana na changamoto za gharama kubwa za wanunuzi wa kati...
  16. Tujikumbushe enzi za kuanza na Mungu na kumaliza na Mungu kazi za kiserikali

  17. M

    Je, unadhani muda umefika kwa mafundi ujenzi kuanza kusajiliwa na kupewa leseni ili tuwadhibiti?

    Kutokana na uhuni unaofanywa na mafundi ujenzi, wizi na ubora wa chini wa kazi serikali ianze kutoa leseni kwa mafundi ili tuweze kuwa hold accountable pale wanapohalibu kazi kwa makusudi au kuhujumu project ya mtu wawe wanapigwa faini na leseni kufungiwa pia kuwe kuna records zao ili watu...
  18. Kiwanda kikubwa cha vyuma kuanza shughuli Juni 5, 2022

    Viwanda vinazidi kuchipuka kote.. Jumbo Steel Mills’ new Sh2 billion Kisumu plant will begin operations on June 5, promising at least an additional direct 600 jobs for locals. The firm's managing director Harshi Patel said the new plant will produce various steel products such as rebars, mild...
  19. Azam Marine yaongeza nauli kwenda Zanzibar, kuanza kutumika kesho Mei 19

    Wale wa kuvuka maji, boti zinatumia mafuta...
  20. Jeshi la NATO kuanza mazoezi makali ya kihistoria

    Mazoezi makubwa zaidi katika historia ya ya Baltics ya Muungano wa kijeshi wa Nato yanaanza baadaye hii leo. Mazungumzo hayo yamepewa jina la siri la Hedgehog. Mzoezi hayo yatafanyika katika taifa la Estonia kwa kipindi cha wiki mbili zijazo na yatawahusisha wanajeshi 15,000 kutoka nchi kumi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…