kuamka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watanzania wote wapenda HAKI na amani ni muda sasa wa kuamka kudai kuachiliwa kwa Lissu tena kwa nguvu zote na mamlaka kutwambia yuko wapi Polepole

    Ni mda watanzania wote bila kujali itikadi za vyama na dini zetu kutoka na kushinikiza mamlaka kumwachia Tundu Lissu bila masharti yoyote. Na mamlaka kutoka na kusema Polepole yuko wapi hii nchi sio mali ya mtu hii ni nchi ya wananchi wote au Mamlaka mnataka kuona Nguvu ya Umma ile ya October...
  2. Nafurahi Watanzania wameanza kuamka JF na mitandao mengine katika kuwakataa wanaharakati na kuhubiri Amani

    Kwanza kabisa nashukuru Mwenyewezi Mungu kwa kujalia hali ya usalama na kuepusha jambo baya lilipangwa dhidi ya nchi yetu 09 December. Pia natoa pongezi kwa Makamanda wa kuhubiri amani Jf stakehigh Victoire GENTAMYCINE Robert Heriel Mtibeli Ertugrul Bey iamwangdamin na wengineo hapa Jf na...
  3. Kulikoni hii trend ya X ya watu kutoka uarabuni kupinga kikundi cha Muslim Brotherhood

    Muslim brotherhood ni kikundi kinachojificha katika kivuri cha msimamo wa kiislam lakini kiuahalisia kinafadhiri machafuko ulimwenguni kwa jina la uislam.
  4. “Kuamka” kwa Raimondo na ugonjwa sugu wa kisiasa wa Marekani dhidi ya China

    Waziri wa zamani wa Biashara wa Marekani Gina Raimondo hivi karibuni amekiri wazi kwamba “kujaribu kuzuia maendeleo ya China ni jambo lisilowezekana”. Matamshi hayo ni tofauti kabisa na msimamo wake mgumu dhidi ya China wakati alipokuwa madarakani. Mabadiliko haya makubwa yameonesha ugonjwa sugu...
  5. S

    Hivi ulishawahi kuamka na nyege?

    Nyege ni kitu mbaya sana. Ukiamka na nyege utatafuta kila contact ya jinsia ke mnyegeshane ikiwezekana kuomba kula tunda Wadada wengine ni wabovu ila kutuliza nyege unaona sawa Ukikosa unakuja kuomba uchumba JF
  6. Wana ccm ni muda wa kuamka kupambania chama hizi surprise za watu kupewa nafasi out of nowhere big no

    Hello wana Jamii, Niende kwenye Mada/ Kero. Nauliza maswali Kwa hawa viongozi wetu wa Chama hivi Wana- CCM mnawachukuliaje ? Kuna watu wanakula Upinzani wakiona hakuna Maisha wanakimbilia CCM na inaonekana wana bahati Sana kuliko Wana CCM wenyewe maana wakifika wanapewa vyeo na nafasi za...
  7. Ukitaka kuamka kiroho pokea zawadi ya Kitabu hiki upate mwanga wa maisha

    KUAMKA KIROHO NI mchakato wa kuamka kutoka kwenye giza ( ujinga) na kutembea kwenye mwanga baada ya kufunguliwa kwa lock zilizoshikilia akili yako ili utembee kwenye Nuru. Kwenye Giza la kiroho kuna umasikini, matatizo, magonjwa, nadharia za kuogopa wachawi majini mapepo mizimu nk hivi ni...
  8. kazini nimeambiwa nianze kuamka sa 10 alfajiri, gari imebadili muda wa kuanza safari

    nilizoea kuamka sa 12 Leo jioni nimepigiwa simu na boss kua natakiwa niende kuanza kupanda basi anapoanzia dereva, umbali adi kumkuta dereva kilometer 20 nawaza sana. mkiona sijibu sms mjue nimelala ili nisije chelewa
  9. Aina hii ya maisha mpaka lini kuchelewa kulala na kuwahi kuamka

    Mbinguni tutafika tukiwa hoi wakuu sio mchezo fikiria tu lifestyle ya kuchelewa kulala na kuwahi kuamka mwili haupati fursa ya kupumzika ipasavyo unalala saa 7 usiku afu saa 10 alfajiri unapaswa uwe tayari umeamka. AIna hii ya maisha lazima upate changomoto ya afya ya akili ukiongeza na ugumu...
  10. Zijue faida za kuamka mapema kila siku

    Kuamka mapema kila siku kuna faida nyingi muhimu kwa afya yako, tija, na ustawi wa jumla. Hapa kuna baadhi ya sababu kwa nini ni muhimu kuanzisha tabia hii: * Kuongeza tija: * Saa za asubuhi mara nyingi huwa na utulivu zaidi, bila vikengeushi vingi. * Hii hukuruhusu kuzingatia kazi zako...
  11. Kilichonitokea jana baada ya kuamka kula daku saa10, sitakuja kurudia

    Mliofunga kama mimi poleni na mfungo muda si mrefu tunafuturu, tuendelee kuwa wavumilivu. Juzi usiku nilikuwa nimepika futari nikala mida ya nne usiku nikasema ntaamka saa10 kula daku, nikaweka alarm ya saa kumi na nusu, kweli ilivyolia nikaamka kula. Hadi kufikia saa11 nikaingia kulala...
  12. Ugonjwa wa "kuamka huna hela mfukoni" na dalili zake.

    👁️JINA LA UGONJWA KUAMKA HUNA HELA MFUKONI. 👁️DALILI YA UGONJWA WA "KUAMKA HUNA HELA MFUKONI" (a) Mwili kuchoka na kukosa nguvu, ikiwemo kupoteza hamu ya kula. (b) Kupoteza hamu na shauku ya kuwasiliana na watu au marafiki unaofanana nao kiuchumi. Unahisi kuwasiliana nao ni kuharibu salio...
  13. Hii tabia ya binadamu kuamka kati ya saa nane usiku hadi saa kumi huwa ina maana gani?

    Nimekuwa na tabia hiyi hata kama nikalala saa 7 usiku ila ukifika kwenye hayo masaa hata kama nilikuwa nimechoka au kuwa na usingizi mzito ukifika huo muda ni lazima nitastuka iwe kwa kwa kupenda au kutopenda Nimejalibu uliza baadhi ya viongozi wa dini wananiambia Mungu anakuamsha umuombe...
  14. M

    Unajua kuna vijana walilala Miaka 309 bila kuamka?

    Qur'an inataja kisa cha vijana waliolala pangoni kwa muda mrefu kama mojawapo ya ishara za nguvu na hekima ya Allah. Hiki ni kisa cha "Watu wa Pangoni" (Ashabul Kahf), kilichoelezwa katika Surah Al-Kahf (18:9-26). Maelezo ya Kisa: 1. Kukimbilia Pangoni: Vijana hawa walikimbilia pangoni ili...
  15. Jonas Mkude: Nikitoka kuamka Derby nacheza ya Kariakoo

    Joto la Dabi ya Kariakoo linazidi kupanda, huku mchezaji Jonas Mkude, anayejulikana kwa kucheza mechi nyingi za Dabi hiyo, amesisitiza ukubwa wa mchezo huo katika maisha yake ya soka. Mkude amesema kuwa hata akiamka asubuhi, anakuwa tayari kucheza Dabi ya Kariakoo. "Ni kama sehemu ya maisha...
  16. Kwanini tunakula asubuhi baada tu ya kuamka?

    Mtu unakula ugali mkubwa na nyama usiku kisha unalala ukiamka tena asubuhi unakula mlo mwingine, hii ni sawa kweli au Dr. Janabi yuko sahihi?
  17. Mchakato wa kuamka kiroho sio suala la siku moja, hivyo tudumu kufanya meditation sana ili tupate kusudio letu hapa duniani

    1.Nataka Nisaidiwe Kuamsha/Kuzindua Kundalini Gharama Shilingi NGAPI? 🗣️JIBU;- Kuamsha Kundalini Hakuna Atakae kusaidia Si mchawi wala mganga Wala mtabiri Wa Nyota, Hakuna Dawa wala Pete ya kuvaa Itakayo Kusaidia Kuamsha Kundalini. ✍️Hii Ni Nguvu Yako mwenyewe Ipo Ndani YAKO, Mwenye Jukumu La...
  18. Huwa unachelewa kuamka wakati upi; ukiwa na pesa au ukiwa hauna pesa?

    Kwangu mm nikiwa na pesa usingizi huisha SAA 11 ila nikiwa sina hela au ramani ya kazi usingizi mpaka saa 3 asubuhi
  19. K

    Vijana wameanza kuamka

    Naona sasa vijana kwa mara ya kwanza wameanza kuamka na kuelewa kwamba mambo mengi ni kwasababu yenu. Piganeni kwa katiba mpya.
  20. Serikali: Unaweza kuamka kesho mgawo wa umeme umeisha

    "Mahitaji ya umeme nchini ni kati ya megawati 300 mpaka 400, mfano leo asubuhi tulikuwa na mahitaji ya megawati 304 ukiingiza megawati 235 (Kutoka kwenye mtambo wa bwawa la Mwalimu Nyerere) utaona kwa kiasi gani itapunguza uhaba wa umeme, zaidi ya asilimia 80 ya tatizo litapunguzwa kwa kuwasha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…