Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa majitaka za kwetu kwa muda mrefu.
Kwa mfumo wetu wa siasa maboss wa chama wana nguvu kubwa kuliko maboss wa kiserikali.
Kuna huku kurushiana maneno baina ya mwenezi na Waziri Bashe sina hakika sana kama ni issue serious sana maana nacho ona ni maigizo na ulaghai...
Ni hali ambayo mtu hufanya vitendo akiwa usingizini bila kujitambua. Vitendo hivyo vinaweza kuwa kuzungumza, kuketi wima kitandani, kwenda msalani, kufanya usafi, kula au kuonyesha vitendo visivyo vya kawaida kama vile kunyakua vitu visivyoonekana hewani n.k. Wakati mwingine mtu anaweza...
Jamani wataalam au mtu anayejua hili tatizo la Kujaa Kwa mate mdomo wakati wa kuamka asubuhi, tena haya mate Huwa yanatoa harufu mbaya mno, muda mwingine hata mchana tu nikilala sana, nikiamka tu nakuta mate yamejaa mdomon sijui shid ni nini.
Wataalam au wenye kujua hili tatizo jaman🙏
Asee leo nimeshangaa sana wakuu na nimeamini wanaimani ya ovyo sana
Kilichonikuta dk 5 zilizopita
Nimeamka nikaenda kwa jirani yangu kwa lengo ya kununua maji maana yeye anakisima kwa bahati mbaya ama nzuri sijawahi kupata shida ya maji na uhitaji wa maji ya haraka kama ilivyo leo.
Yaani...
Hali hii isiyo ya kawaida hutokea usiku mtu ukiwa umelala! Unapoamka unakuta mikwaruzo hiyo hasa tumboni, shingoni, mapajani, kifuani au mgongoni!! Husababishwa na ninini?
Maana inawasha balaa! Naombeni majibu muafaka! Nimeweka picha!!
Naona mnakomaa kulewa Pombe kali huku mkishinda mnacheza kamari.
Hii ni dalili kuwa Watanzania mmekata tamaa na mmeacha wanaoiba mali zenu wawaibie wanavyotaka
Hivi mnadhani hii ndio suluhu. Mbona Ndugai aliwapa angalizo kuwa nchi itapigwa mnada mkapuuza au sio nyie?
Siku moja kuna rafiki yangu wakaribu alifiwa na baba ake mdogo kama ujuavyo watanzania tuliowengi tunatabia yakushirikiana katika shida na raha basi siku ya maziko nilikaa pamoja na vijana wenzangu, tulikuwa tukipeana habari mbalimbali kama ujuavyo watu wa rika zinzofanana wanapokaa pamoja...
Hello bosses and roses,
Leo niko kwenye mood ya kuandika so nimeona niandike hii experience nliopitia mwaka fulani.
Kuna siku miaka ya zamani kdg nililewa sana zaidi ya kawaida. Mie nna alcohol torelance ya ajabu sana. Hata nilewe vipi huwa sipotezi fahamu, nitayumba kutembea lkn ukinipa kazi...
Uhuru wa kuwa na muda wa kufanya mambo yako nao una umuhimu aisee.
Utamu wa ngoma ingia ucheze, usilewe na maneno matamu ya motivational speakers kujidanganya kwamba kila mtu aliejiajiri anaweza kuamua aamke saa ngapi, aende likizo wiki nzima mbugani, n.k. haya mambo wanaoyaweza ni kundi la...
Awake! Awake! All Kenyan, Wakenya wasikubali kuendeshwa na huyo mzee ambaye tayari amekwisha kula chumvi nyingi.
Wakenya waamke wasimame imara wasikubali kushawishiwa na kufanya mambo ya kipuuzi, ambayo yataharibu sifa nzuri ya Taifa yao ya Kenya kwa uroho ya madaraka ya mtu mmoja asiyetosheka...
Jana usiku wakati mnaenda kulala mlikuwa fresh tu. Mmelala ila hukumpelekea moto, asubuhi anaamka amenuna. Anaamka anafanya kazi zake za asubuhi hakusemeshi. Kama mna watoto, yaani ni full kufokewa utafikiri hakuwazaa yeye. Unajaribu kuscan umefanya kosa gani over a night unajikuta mbona hamna...
Tundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi.
Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka...
Nimeanza kuona kama ni ugonjwa fulani hivi, nipo mikoa yenye baridi kwa asili huwa nikiamka naamka kwa kujikokota sana na hata ratiba za mazoezi muda mwingi napuuzia; inabidi nivute vute muda sitoki kitandani mpaka nikikaribia kwenda kwenye shughuli zangu.
Mikoa yenye joto ikifika tu hata saa...
Nauliza tu kwa nyie wanajamii wenzangu, hivi hii inasababishwa na nini asubuhi kuamka kwenda kazini yaani uvivu wa ajabu yaani natamani kurudi kitandani nilale.
Kuna muda nilidhani labda nachelewa kulala maana huwa nalala saa sita usiku basi hata nikilala saa nne usiku bado nahisi sijalala vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.