Wapendwa habari ya kazi?
Poleni na majukumu ,nina mdogo.wangu wa mwisho wa kiume alimaliza Udsm ,geography and Environmental degree yake akamaliza 2014 ,changamoto.ikawa ajira hakuna ametafuta sana
Mwaka 2017 ikabidi tumchangie mtaji kama 5M ,akafanya biashara ya mpunga ikaenda sivyo mpaka...