kuajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Masalu Jacob

    Je, kuna kijana yoyote mwenye wazo la biashara ambalo ni jipya la kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja

    Habari Tanzania ! Ikiwapendeza vijana nawakaribisha kwa hayo mawazo. Linahitajika wazo la biashara ambalo ni jipya. Ikiwa utakuja na wazo la kufanyika maeneo yafuatayo hapa Tanzania kwa kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja kwenye hilo wazo lako. Mikoa ifuatayo; Mwanza, Arusha, Dar es Salaam...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    PostGE2025 Majizo, wasanii wanapaswa wawajibike kwa Makosa yao. Masuala ya kuajiri sijui kujiajiri hayana maana kama hawako upande wa wananchi

    Hamjambo wote! 1. Nashangaa wanaolalamika kuhusu Wananchi kususia wasanii. Mimi mpaka sasa sijaona kama Wananchi wamesusia kazi za wasanii. Bado sijaona. Ni kama wamewapa tuu tishio na sio kwamba wameamua kuwapiga Pin. 2. Tunapoelekea kwa kiwango cha awareness na elimu ndani ya jamii...
  3. Just Pray

    GE2025 Rais Samia: Serikali itaajiri wahudumu wa afya 5000 ndani ya siku 100

    Dkt. Samia Suluhu Hassan mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema Serikali itaajiri wahudumu wa afya 5000 ndani ya siku 100 ili kuboresha utoaji wa huduma za afya nchini. Dkt. Samia amesema hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29...
  4. sos10ess

    Ushauri kwa wanaofanya kazi kampuni binafsi

    Kwa wale " tuliobahatisha" kupata kazi kwenye makampuni binafsi, pamoja na mshahara tunaopata, haijalishi ni mkubwa au mdogo, kama hatufanyi kile tulichokikeshea miaka nenda rudi, yafaa tuwe makini sana maana tunahatarisha career goals zetu! Kampuni nyingi zinadidimiza ndoto za wengi!
  5. A

    DOKEZO Shule Tusiime yadaiwa kuajiri walimu wa Uganda, Watanzania kuondolewa

    Shule ya Tusiime iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam inadaiwa kuajiri walimu kutoka nchini Uganda (zaidi ya 50), kinyume na Sheria ya kuratibu ajira za wageni nchini ya 2015, lengo likitajwa kuwaondoa walimu wa Tanzania wanaofundisha shule hiyo. Mmoja wa watoa taarifa katika shuile hiyo...
  6. Dennis Robert Shughuru

    Serikali ifanyie maboresho mfumo wa kuajiri wafanyakazi wa TRA

    Ni muhimu kwa serikali ikafanya maboresho kwenye kuajiri wafanyakazi wa TRA hii itaongeza ufanisi Wapewe mikataba ya miaka 15 baada ya hapo waajiriwe wengine
  7. Wakusoma 12

    Serikali Iweke Msisitizo wa Kuajiri Vijana Wenye Degree Kuwa Watendaji wa Vijiji na Mitaa.

    Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira kwa vijana wenye elimu ya juu, hasa wale waliomaliza degree katika vyuo vikuu. Wakati huo huo, nafasi za watendaji wa vijiji na mitaa mara nyingi hupewa wahitimu wa vyeti badala ya wahitimu wa shahada. Hii ni hali inayoshusha thamani...
  8. 1Africa54

    Kumekuwa na ucheleweshwaji wa kuajiri walimu tangu kutoka kwa kibali cha ajira Mwaka 2024 hadi leo 2025

    Habari wana JAMIIFORUMS Kumekua na ucheleweshwaji wa kuajiri walimu tangu kutoka kwa kibali Cha ajira za walimu 2024 Hadi Leo 2025 mchakato umekua mrefu sana, pia kipindi usaili ukiwa unaendelea PSRS wameita baadhi ya walimu wa masomo ya physics, mathematics and English lakini kumekua na...
  9. gcmmedia

    Aibu Chuo Kikuu Dar es Salaam kuajiri wahitimu kisiwalipe na kutowapa mikataba ya kazi

    Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs). Cha kusikitisha vijana Hawa Chuo huwatekeza bila mikataba wala malipo. Kwa mfano, vijana wengi waliohitimu mwaka 2024 na...
  10. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kutoa Muongozo wa Kuajiri Wanaojitolea

    SERIKALI KUTOA MUONGOZO WA KUAJIRI WANAOJITOLEA Serikali imeeleza kuwa iko hatua za mwisho kukamilisha mwongozo utakaoangazia jinsi ya kuwaingiza katika mfumo watumishi wanaojitolea nchini. Hayo yameelezwa, Jumatano, Januari 29, 2025, na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa...
  11. Mwanongwa

    DOKEZO Baadhi ya Wafanyabiashara Mbeya acheni kuajiri Watoto kwenye biashara zenu, wasaidieni wapate elimu

    Ajira kwa Watoto limekuwa tatizo sugu sana hapa nchini, tukiachana na wadada wa kazi ambao asilimia kubwa wanakuwa ni wale ambao wameacha shule au ndiyo wametoka kuhitimu elimu ya Msingi, kuna hawa Wafanyabiashara wanaomiliki maduka kwenye masoko mbalimbali hapa nchini wamekuwa na utaratibu wa...
  12. S

    licha ya kutoa mishahara kidogo lakini Tanzania imeshindwa kuajiri vijana

    wafanyakazi wa Tanzania wanamishara kidogo mno kama wakiajiriw lakini ajira ni changamoto. mishara ya kenya uganda na rwanda ni mikubwa ukilingnisha na Tanzania ukicheki statistics za ajira zilizotolewa tangu 2016 ni kichekesho nchi itaendelea vp wakati nguvu/ vijana kazi ni pure jobless
  13. D

    Hivi Mzee Kikwete aliwezaje kuajiri Walimu na Madakatari wote waliohitimu mwaka husika?

    Kipindi cha Mzee Jakaya Kikwete haijawahi kutokea aliywsomea Ualimua au Udaktari akakosa ajira. Tulikuwa tunaajiriwa tena bila kuomba unashtukia tu umepangwa mkoa husika. Sasa hii mbinu ya jk ilikuwaje ikamshinda jpm na kwa nini hakupa lecture kw mwamba huyu ambaye ki ukweli ndo rais mwenye...
  14. Samia atosha tukutane2030

    Vitu kama vyeti vya kuzaliwa na barua ya maombi ya kazi vimepitwa na wakati kwenye mfumo wa kuajiri

    Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini tena? Kuna usaili, huko pimeni writing skil na speaking skil. Barua ya nini huku tumehamia digital...
  15. H

    SoC04 Tanzania tuitakayo katika miaka ijayo vyombo vya habari viache kuajiri watu wasio kuwa na ujuzi wa habari& utangazaji na uandishi

    Tanzania tuitakayo katika miaka mitano ijayo na kuendelea Vyombo vya habari kama vile vituo vya redio, magazeti, na vituo vya runinga, vinapaswa kutoa fursa kwa vijana ambao wana ubunifu& maarifa na ujuzi na badale yake huajiri watu wasio kuwa na taaluma ya uandishi na utangazaji na kuajiri watu...
  16. Kyambamasimbi

    Tangu TAMISEMI waseme wamepata kibali Cha kuajiri kada ya Afya na Walimu tangu mwezi wa pili mwaka huu sijui shida huwa nini?

    Hapo Mimi huwa sielewi kibali tayari, nini huwa kinakwamisha au bajeti na mchakato kuchambua maombi utachukua mda Gani na hao watumishi wapya mfano Walimu wataripoti lini au mwezi wa 9? Au Kuna nn kama Mhe. Rais ametoa kibali?
  17. Billie

    Natafuta mtu mwenye asili ya Kihindi kumuajiri au kufanya naye biashara

    Jaman mimi ni muajiriwa nafasi fulani ya juu kidogo hapa nchini. Nimeweza kupata mil 70 ambayo ni matokeo ya SAVING ya muda mrefu na hela zangu fulani nilikuwa nazidai kulipwa. Mpango nilionao ni kuanzisha biashara ya spears za pikipiki na tri cycles (guta au Toyo). Changamoto niliyonayo ni...
  18. G

    Epuka kuajiri makundi haya ya watu kwenye duka/ biashara yako

    1. kijana wa kuuza duka ambae kashinikizwa na wazazi/ ndugu, hawa mara nyingi wamekubali kazi kwa msukumo tu kishingo upande, ni ngumu kufanya kazi kwa kujitoa 2. Ndugu wa mke - hakikisha wanakaa mbali sana na biashara, ni watu wanaoweza kuvuruga biashara na hata ndoa yako. 3. Rafiki yako...
  19. S

    Kama hamtaki kuajiri msituvuruge majobless

    Oya wanajamvi, Kuna hizi kampuni wanatangaza kazi afu unapiga aptitude test online, Moja wapo ni ALISTAIR nawataja kwa majina sababu nafanya hip-hop, oy muwachane TU kama hawana mpango wa kuajiri wasitume tangazo, au kama wana watu wao wawaite TU, wanatuchanganya majobless, unapiga Pepa online...
  20. L

    Napingana na Dr Bashiru, Kuviachia Vyuo vikuu viajiri kama zamani

    Akiwa Bungeni Dr Bashiru ameitaka serikali kubadilisha mfumo wa kuajiri kutoka Utumishi na kuviachia vyuo vikuu kuajiri. (Namkubusha tu 2019 alikuwa bado ni Magu, na katika hili watumishi wengi waliumia) Utumishi hawana kosa. Adhma ya jambo hili ni jema lakini, athari zake ni kubwa sana, na...
Back
Top Bottom