Ushauri kwa wanaofanya kazi kampuni binafsi

sos10ess

Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13
Reaction score
15
Kwa wale " tuliobahatisha" kupata kazi kwenye makampuni binafsi, pamoja na mshahara tunaopata, haijalishi ni mkubwa au mdogo, kama hatufanyi kile tulichokikeshea miaka nenda rudi, yafaa tuwe makini sana maana tunahatarisha career goals zetu!

Kampuni nyingi zinadidimiza ndoto za wengi!
 
Kama unafanya kazi kampuni binafsi, make sure unakuwa na chanzo cha mapato yako kingine nje ya ajira uliyo nayo.

Ni muhimu sana.
 
Mm naelewa unachosema.
Ila Fafanua zaid.

Mawazo yangu.
Kama unafanya kampun binafsi na unachofanya sio fani uliyosomea chuo. itakuwa shida miaka zaid 15+ ijayo unless usibadili career yako uliyoipata kwa experience ya hiyo miaka na uhamie sehem nyingne kuendeleza gurudumu..

Ila sekta binafsi ukiwa na cheti cha chuo + career yako . na umri una chini 45. bado uko marketable. sehem yoyote.

Kubadili uzoefu kisa hujapata kaz uliyosomea ndio msala.
Leo umeanza ualimu. Hujatulia miaka 3 ukaenda kuwa sales. Na miaka 4 mbele sijui ukaenda kuwa customer service managee.
Bro ni hatar.
 
Yeah, uko sahihi mkuu. Umefafanua zaidi. Na ndicho kitu kinapochelekea weledi kupungua/kupotea kwa ma jobless wengi. 🤦🏽‍♂️
 
Kama unafanya kazi kampuni binafsi, make sure unakuwa na chanzo cha mapato yako kingine nje ya ajira uliyo nayo.

Ni muhimu sana.
Yes, uko sahihi. Lakini most of bosses hawapendelei ilo maana wanajua muda wowote wanapoteza nguvu kazi kama mfanyakazi wao ataachana na utegemezi wa mshahara wa kampuni husika.
 
Kwa wale " tuliobahatisha" kupata kazi kwenye makampuni binafsi, pamoja na mshahara tunaopata, haijalishi ni mkubwa au mdogo, kama hatufanyi kile tulichokikeshea miaka nenda rudi, yafaa tuwe makini sana maana tunahatarisha career goals zetu!

Kampuni nyingi zinadidimiza ndoto za wengi!
Du private sector zenyewe za wahondi ah aha ha ha
 
Back
Top Bottom