TAARIFA YA KUJIUZULU KUTOKA SIASA ZA VYAMA
Tarehe 20 Julai 2025, nilimuandikia barua Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ndugu Ado Shaibu, nikieleza rasmi uamuzi wangu wa kujiuzulu siasa za vyama, nafasi yangu ya Uenyekiti wa Jimbo, na uanachama wangu wa chama. Katika barua hiyo nilitoa pia sababu...