kuacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili Watanzania wapunguze na kuacha kujadili mpira 24/7

    Kuna kasumba kubwa imewaingia watanzania. Kujadili mpira hasa Simba na Yanga masaa 24 kwa siku 7 kwa wiki hii ni hatari kwa mustakabali wa Taifa. Tumelala kushabikia Simba na Yanga huku nchi inapigwa tu. Radio zinajadili michezo muda wote. Nini kifanyike ili kupunguzaa na kufuta uraibu huu wa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kuacha ku-report kazini

    Hello JF family Mimi nilihitimu Diploma ya uhandisi ujenzi(Diploma in Civil Engineering), then nikajiunga kusoma Bachelor degree in Civil Engineering bado nimebakiza mwaka mmoja kuhitimisha, Mwaka huu nikaanza kuomba kazi kama Civil Technician Ajira portal mara mbili, Hii hii May 2025...
  3. JamiiForums Tanzania Nashauri Watanzania tujifunze na kuwafundisha watoto wetu kuacha tamaa za madaraka

    Tamaa za madaraka hazina maana yoyote, ndio kiini cha mauwaji na machafuko kwenye nchi. mnaweza kujifunza kwa mataifa mengine hapa Africa yaliyokuwa na watu wa namna hii. Mtu unauwa ili kupata madaraka, kumbuka uhai ni kitu cha msingi kuliko madaraka ndio maana ili uwe na madaraka lazima uwe...
  4. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani mpenzi wako amekuwa akilipigia kelele lakini umeshindwa kuacha?

    Kila mmoja ana mambo kadhaa ndani ya mahusiano ambayo yanamkera mpenzi wake. Ila kuna lile limoja kabisa umeshindwa hata kupunguza. Share experience tujifunze kutoka kwako. Binafsi: Nimeshindwa kuacha kutazama statuses whatsapp + reels za IG za wadada wenye mishepu yao. Kila nikijaribu...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Kuacha kazi

    Habari Wana JF natumaini muwazima Naomba kuuliza niliajiriwa nimwenzi wa pili Sasa ila naona mambo yanaingiliana je? Kunauwezekano wakiacha kazi na baadae nikishakaa sawa nikarudi utumishi nikapambana tena kupata
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni bahati mbaya au makusudi kuacha nguo ya ndani mahali ulipokaribishwa kwa mtu kwa shughuli ya faragha?

    Unasahauje kitu kama nguo ya ndani uliyokua umeivaa wakati unaelekea kwenye faragha hiyo? Ni sahihi kweli kufanya hivyo? Mbona hukusahau blauzi au suruali? Hata kama game ilikua ya moto sana, mbona hukusahau simu badala yake unasahau nguo ya ndani? don't stamp authority scientifically plz kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Adha ya Magari ya Mwendokasi kuacha abiria muda mrefu nyakati za Asubuhi kwenye Vituo na kupita matupu ili hali usafiri wa shida, inakera sana

    Habarini wandugu, Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya kuachwa na mabasi kwa sisi abiria tunaotoka maeneo ya kimara na nje ya mji tunaotumia usafiri wa mwendokasi kwa nyakati za asubuhi. unakuta mtu unafika kituoni saa12 asubuhi magari yanakuja yamejaa unalazimika kusubiri na unatakiwa uwahi...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume tupunguze au kuacha kabisa kuhonga

    Hakuna hata haja ya salamu naenda moja kwa moja break ya 1 ni kwenye mada inayohusu kuhonga. Wanaume tuache kuhonga,narudia tena wanaume tuache kabisa kuhonga, tuwe wabahili sanaa, haya maisha ya sasa hivi yana hitaji ubahili wa hali ya juu. Pata mwanamke wako mmoja, tulia naye. Funguka uwezo...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Watu Wanazidi Kuacha Kwenda Kanisani? Kasumba Siku Hizi Kwa Wakatoliki ni Kuwa Mtoto Akishapata Kipaimara Anayeyuka Kanisani, Kwanini?

    Wiki hii nilijaribu kuwa mdadisi kidogo kuuliza vijana na watu wazima waliokuwa washiriki wa kanisa lakini kwa sasa wameacha kuhudhuria ibada ili kuelewa sababu zilizopelekea mabadiliko yao ya kiimani. Nilitarajia kusikia sababu za kawaida kama uvivu, majukumu mengi, au hata masuala ya...
  10. JamiiForums Tanzania Ukifuta Namba Yangu, Niambie Ukweli – Usitoe Visingizio!

    Ukitaka kufuta namba ya mtu, usiseme "simu iliibiwa" au "nilipoteza namba." Kuwa mkweli: "Nimefuta namba yako kwa sababu niliona huchangii maendeleo yangu kwa vyovyote." Ukweli unaokoa muda na heshima! Je, unadhani ni sawa kufuta namba ya mtu bila taarifa, au ni muhimu kutoa maelezo?
  11. JamiiForums Tanzania Uliwezaje kuacha pombe au kilevi chochote ?

    Kuna mwamba yeye alikua anakunywa pombe anavuta na sigara. Kulingana na yeye sigara ina stim sana ukiikosa unaweza ukaenda kuitafuta hata usiku wa manane, Sasa siku moja ilikua ni usiku sana alafu mvua inanyesha na hana sigara ilibidi aende kutafuta duka lililo wazi akakosa duka lililo wazi...
  12. JamiiForums Tanzania Nikitu gani wazazi wako walikukataza toka utotoni lakin mpaka sasa ujakiacha umeshindwa kuacha kabisa

    Hello kuna vitu wazazi walikuwa wanatukataza kabisa kuvifanya na ikibidi ata fimbo utapigwa ila wapi ujaacha Mimi kula nimelala au nikiwa na kula situlii sehemu moja nitatembea tembea mpaka namaliza kula naweza chukua lisaa kabisa Kingineni engeezee ni kunywa maji nikiwa nimelala...
  13. JamiiForums Tanzania Huenda taifa la Japan likapotea ("Extinction") kutokana na watu kuacha kuzaliana

    Watafiti wanasema huenda Japan likawa taifa la kwanza kupotea duniani kutokana na watu wake kuacha kabisa kuzaliana. Swali la msingi: Ni kwa nini taifa au watu wanavyozidi kuwa matajiri ndivyo wanaogopa kuwa na watoto wengi au kuwa na watoto kabisa?
  14. JamiiForums Tanzania Kama mwanamke haoni shida kuacha familia yake kuja kuishi na wewe mwanaume, Vivyo hivyo anaweza kukuacha na kwenda kuishi na mwanaume mwingine.

    Wakati unafurahia mke wako kuacha familia yake kuja kuishi na wewe, Ulisahau kwamba ana uwezo wa kukuacha hata na wewe. Ulileta hisia zako na mkeo akaleta hisia zake mkapendana na kuamua kuishi pamoja, ila ulisahau kwamba hisia huweza kuisha muda wowote ukaachwa mchana kweupe (in a day broad...
  15. JamiiForums Tanzania Nikitaka kuacha kumsaliti mke wangu linatokea jinamizi linanirudisha kwenye uzinzi

    Kuna kipindi mke wangu alikuwa anabana Sana kunipa utamu yani hadi umbake la si hivyo utalala mzungu wa nne mwezi mzima kwa visababu visivyoeleweka Sasa kama rijali nikaona usinitanie kwanini nisivute pisi kadhaa nikazipanga nikawa najipimia kwa zamu. Mwanzo nilikuwa natoboka pesa ila imefika...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la polisi kuzuia waandishi wahabari na wanasiasa kuzungumza ni ukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari, kujielezea na demokrasia

    Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya katiba ya nchi ni uhalifu wa kutumia silaha. Waziri wa Ulinzi na kamanda mkuu wa jeshi la polisi...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Addiction ni ngumu kuacha hata kama unajua madhara yake

    Habari zenu wakuu Mwaka unaenda kasi sana njaanuary hioo inaishia Kuna mambo mengi ambayo unakuta mtu anajua kabisa madhara yake au kama hajui hata akishaambiwa madhara yake bado haachi, mfano mambo kama: -Kujichua, wapo wanaodai inafaida ili wajifariji lakini ukweli unajulikana ina madhara...
  18. JamiiForums Tanzania Fahamu matokeo ya meditation

    Changamoto kubwa ya wengi si kushindwa kufanya meditation, bali ni kitopata matokeo ya nia zao za kumeditate. Mabingwa wa meditation kila wakati wanasisitiza faida zitokanazo na meditation, lakini sijaona hata mmoja akitaja hasara na kutoa suruhu kwa wanaofanya hivyo bila kuona mabadiliko...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi nilivyoharisha leo, natangaza kuacha pombe aisee

    Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae. Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea. Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka. Natangaza rasmi kuachana na pombe kuanzia tarehe ya leo.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Serikali imsaidie binti huyu alie katika hatihati ya kuacha masomo ya Chuo kikuu Kwa sababu ya kuponzwa na Shule za private

    Kazaliwa 2003. Chekechea na Primary: Shule ya English Medium... O- level : Private Advance : Private. Kafika chuo kanyimwa bumu( boom) Hajawa allocated. Heslb wana mzungusha tu . Wanasema kanyimwa mkopo Kwa sababu Heslb wali estimate kwamba mzazi wake ana uwezo WA kumlipia ada ya Chuo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…