kuacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nina uraibu wa kutegemea sana chatGpt, nisaidieni namna ya kuacha

    Aisee ndugu zangu ,hii sio masihara ni issue serious sana. Ipo hivi, kila tatizo ninalopata nakimbilia kuuliza kwenye app ya chatGpt.Nimekuwa sijiamini Katika mawazo yangu binafsi.Pia nahisi IQ yangu inashuka . Najihisi sina faida na najiona kuwa Bure kabisa.Sina motisha ya life. Nataka niwe...
  2. JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuacha Chuo na tuliowahi kushuhudia watu wakiacha Chuo. Tukutane hapa.

    Mimi nimewahi kuacha Chuo X Mkoa fulani nikiwa naingia Mwaka wa pili, na sababu za kuacha Chuo ni majibu mabovu niliyopokea kutoka kwa Admission Officer fulani ambae hakunijibu vizuri, and I was very disappointed nikachua maamuzi ya kuachana na kile Chuo. Kuanzia siku ile niliacha Chuo rasmi na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Eti nauza dawa ya kuacha Pombe! Kha unataka niwe nakunywa kahawa?

    Nimekereka sana na huyu mmasai. Mbaya zaidi ananifuata ofisini kwangu! Niwe nashinda kwenye vijiwe vya kahawa ? Niache ugimbi kweli?
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kuna madhara gani kuacha pombe ghafla?

    Mambo vipi wadau? Kama mnakumbuka kwenye tar 16/2025 nilileta uzi wa kuomba msaada wa kuacha pombe ,sasa kuanzia siku iyo sijanywa pombe baada ya kuzamilia kuacha kabisa ila sasa kuna shida imejitokeza yaani nasikia homa ,kichwa kuuma ,usiku nikilala ndoto kibao za ajabu ajabu , mwilini naskia...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna namna unaweza kuishi na amani yako nzuri tu kwa kuacha Kuanguka kimapenzi na vitu hauwezi kuvipata au kuvimudu

    👩‍❤️‍👨Achana na wake za watu. Hauwezi vumilia maumivu ya consquences zake. 🚗Ukinunua gari hakikisha una uhakika wa kurudisha hicho kiasi cha bei ya gari kirahisi. 🍑Kama demu ni mwenye matako makubwa hakikisha uwe na moyo mkubwa pia. 💵Kama ni bwana pesa nyingi hakikisha uwe na uvumilivu mwingi...
  6. JamiiForums Tanzania Mpango, Majaliwa na Polepole ni watu walioamua kuacha kuendelea kufanya kazi na utawala huu. Je nini kinaendelea?

    Makamu wa Rais Muheshimiwa Philip Mpango alidai kuwa ametosha kuwa Makamu wa Rais na hakutaka kuendelea kuwa Makamu kwa muhula wa Urais ujao ambao Rais Samia bado anautetea. Mpango ametaka kustaafu kwa hiari cheo icho ambacho amedumu nacho kwa Muhula mmoja wa Urais. Hatujakaa sawa Waziri Mkuu...
  7. JamiiForums Tanzania Ninawapongeza wanaCHADEMA kwa kuacha harakati zao kwa muda ili kufuatilia zoezi la uchukuaji fomu CCM

    Hakika huu ni uzalendo. Nawapongeza sana kina Godbless Lema na makada wengine wa CHADEMA kwa kufuatilia kwa karibu zoezi linaloendelea la uchukuaji fomu za kugombea uongozi kwenye vyombo vya dola. Hii ni ishara kuwa watanzania wakiwemo makada wa CHADEMA wana imani na CCM. Makada wengi wa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Breaking News Waziri wa ulinzi Israel aagiza IDF kuishambulia Iran baada ya kukiuka makubaliano ya kuacha ya. Amani baino yao

    . Israeli official: ‘Iran broke the ceasefire, and it will pay’ By Lazar Berman Follow Today, 11:22 am Israel will respond to Iran’s missile attack, an Israeli official says, shortly after Tehran launched at least two ballistic missiles soon after the start of a ceasefire. “Iran broke the...
  9. JamiiForums Tanzania YouTube Kuacha Kazi Kwenye Vifaa vya Apple Vyenye iOS 15 na Chini

    Kwa watumiaji wengi wa vifaa vya Apple, hili halitakuwa tatizo. Hata hivyo, baadhi ya iPhone, iPad, na iPod touch za zamani ambazo haziwezi kusasishwa zaidi ya iOS 15 au iPadOS 15 hazitaweza tena kutumia programu ya YouTube. Hii inamaanisha kuwa watumiaji wa vifaa hivyo vya zamani watahitajika...
  10. JamiiForums Tanzania Kama kweli mnapenda basi Mshaurini Rais anazidi kuacha barabara

    Muungwana akivuliwa nguo hua ana chutama ili kuficha aibu yake lakini ukiendelea kusimama ni kujidhalilisha na zaidi sana watu watakuona kama una mapungufu kichwani, baada ya aliekua "sabufa wa bonge" kusema nchi itapigwa mnada kwa kukopa kopa ovyo na akahoji ni lini tuta jitegemea "mama yenu"...
  11. JamiiForums Tanzania Iran yasema Israel ikisitisha mapigo basi itarudi kwenye meza ya mazungumzo ya kuacha manyuklia

    Tatizo nani wa kumwambia Israel aache sasa, yule ni kichwa cha mwenda wazimu, na sasa Iran imefaulu kuua raia wanne Israel, imezidisha hasira kwa Wayahudi. -------------- In a call with his French counterpart Emmanuel Macron, Pezeshkian said Iran favored diplomacy, but will not “accept...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Irani yazionya USA, UK na Ufaransa kuacha kuisaidia Israeli kwenye vita

    Iran imezitahadharisha Marekani, Ufaransa na Uingereza kwamba atashambulia kambi zao za kijeshi pamoja na meli zao iwapo zitatoa msaada wowote wa kijeshi kwa Israel. Donald Trump ametangaza kuwa Marekani itaisaidia Israel kujilinda, huku vuongozi mbalimbqli wa Marekani wamenukuliwa katika...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Hawa waafrika wenzetu wamekataa kabisa ku evolve ? Si kila mila ya asili ni ya kutunza, vingine ni ushamba

    Wanasema muacha asili ni mtumwa lakini kuna baadhi ya mambo lazima tukubaliane ni ya aibu ndio maana makabila mengi yaliacha. Mila kama hizi zina tija gani zaidi ya kutiana aibu wakuu ?
  14. JamiiForums Tanzania Unaweza Kupata Pesa kwa Kutumia AI Bila Kuacha Kazi Yako

    Unaweza Kupata Pesa kwa Kutumia AI Bila Kuacha Kazi Yako Nafanya hivi, masaa 3 kwa siku ⏳💰 Watu wengi wanadhani lazima waache kazi ili waanze maisha mapya ya kujiajiri online. Mimi nilifikiri hivyo pia. Ukiangalia mitandao, unaona Influencers, wafanyabiashara, watu wa YouTube, wataalam wa...
  15. JamiiForums Tanzania Natamani sana kuacha pombe ila nashindwa

    Wakuu mko salama? Wakuu kiukweli mpaka nimeanza kujichukia kuhusu unywaji wa pombe. Mfano jana nimepiga maji hadi sijui nilirudije ghetto,sometimes kumbukumbu zinapotea sababu ya pombe, kiuchumi napo naathirika,yani naweza nikawa na ka laki moja kangu mfukoni,nikiingia bar tu hako kalaki...
  16. JamiiForums Tanzania Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Eletisia Mtweve: Wazazi acheni mazoea ya kuacha Watoto kwa jirani

    Wafanyabiashara wa Kijiji cha Ipunga wametakiwa kufanya shughuli za kujitafutia kipato kwaajili ya familia zao bila kusahau malezi ya watoto wao ili kuwawezesha watoto kukua vizuri kutokana na uangalizi wao. Hayo yamesemwa Juni 02, 2025 na Polisi Kata ya Ipunga, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa Wale Wanaoshindwa Kuacha Pombe, Umalaya na Tabia Nyingine Zinazotia Kutu Nafsi Karibuni Hapa Tuelewe Wapi Tunakwama

    Kukubaliana na Kikwazo cha Mabadiliko: Uchanganuzi wa Tabia za Binadamu na Uundaji wa Mabadiliko ya Kudumu Ikiwa wewe ni kama watu wengi, kuna pengo kati ya mtu ulivyo sasa na mtu unayetamani kuwa. Kuna vitu vidogo unavyofikiria unapaswa kufanya na mambo makubwa unayotakiwa kufikia. Kutoka kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Karne. Kipapiro kinatoa mvuke na kuacha alama

    Sijajua hasa siri ni nini. Huyu dada mchana wa jana tumekaa sehemu mi nakula zangu ugali nyama choma nashushia na machozi ya sheta chupa moja. Viti ni virefu vya mbao amekaa meza moja nami kiti cha pembeni. Akainuka kwenda kunawa. Mimi sijui why nikadondoshea macho pale kitini. Nikaona kama...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi za kuchukua kupunguza upotevu wa mali kwa mzazi mwenye mashamba na nyumba nyingi lakini hashirikishi mke wala watoto ?

    Sio lazima arithishe familia yake, Tatizo hashirikishi hata ndugu zake. Ni kwa lengo la kupunguza upotevu wa mali, Matapeli kujimilikusha vitu kiholela, n.k. Wala hakuna ugomvi familia inaishi vizuri lakini unakuta mzee hataki kabisa kuzungumzia ishu za mali, Mali mnazijua kupitia watu...
  20. JamiiForums Tanzania Mchungaji aliyetekwa aeleza mateso na kwenda kutupwa porini ashindwa kutembea "Mengine tuyaache "

    Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo lililopo Mtaa wa FFU, Kata ya Murieti, Steven Jacob Gumbo (35) ambaye iliripotiwa ametekwa na ‘Watu Wasiojulikana’ Mei 16, 2025 amezungumza na Wanahabri na kueleza kuwa Watu waliomchukua walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi na wanamhitaji kwa ajili ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…