kozi

Közi is a Japanese musician, singer-songwriter and DJ. He is best known as guitarist for the visual kei rock band Malice Mizer. After the band went on indefinite hiatus in 2001, he formed the industrial rock duo Eve of Destiny and also started a solo career. Közi is currently in the bands Dalle, XA-VAT, ZIZ and Vamquet, while occasionally performing solo shows.
During his time in Malice Mizer, Közi often assumed the role of a pierrot doll, dressing in clown-like costumes with large ruffs, always in shades of red, his favorite color. In music videos and on-stage he would often make movements reminiscent of a marionette. Közi has continued this visual style to some extent, but his contemporary stage costumes are more gothic. His work on the Izayoi no Tsuki project was reminiscent of carnival music, and artwork for his projects usually follow a dramatic, theatrical theme. Very few details about his private life are known.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kozi zenye fursa kubwa ya ajira na kujiajiri katika sekta ya Bahari

    Hizi ni kozi ambazo mtu anaweza akasoma kuanzia ngazi ya Certificate,Diploma, Bachelor au Masters na akawa name fursa kubwa ya kupata kazi nchi yoyote na ni rahisi kujiajiri kwenye sekta ya bahari. 1.Marine Survey Hii kozi ukisoma la kazi zako itakuwa ni kukagua meli kabla haijajengwa, Meli...
  2. JamiiForums Tanzania Maembe aiomba BASATA na TRA kutowatoza kodi wasanii kwa muda huu wa zuio la mikusanyiko

    Msanii wa muziki wa asili Vitali Maembe aliyewahi kutamba kwa kibao cha ‘Suma ya teja’ ameiomba serikali kuwasaidia wasanii kwa kipindi hiki cha marufuku ya siku 30 kama alivyotangaza waziri mkuu Maembe ameiomba Wizara, BASATA NA TRA kuwapa unafuu wasanii kuwa kutowalipisha kodi kwa mwezi huu...
  3. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya ICT, kozi kumi na tatu, chagua uipendayo

    Ongeza ujuzi wa kompyuta na mtandao. Lengo langu ni kukuongezea wewe ufanisi katika shughuli, biashara au miradi yako unayoifanya. Pia unaweza kujiajiri kwa kusoma kozi mbalimbali ninazozitoa. Kwa kuwa watu wameshughulishwa sana na wengi hawapati muda wa kutoka nyumbani na kwenda kujifunza...
  4. JamiiForums Tanzania Hali ikoje kwenye kozi za Masters in Computer na Data Science katika vyuo vyetu hapa Tanzania?

    UDSM hizi kozi mbili zote zipo, sijafuatilia kwa UDOM na vyuo vingine. Hali ikoje wadau? Maana stori za mitaani zinasema kuwa waalimu wengi hawajali wanafunzi, hawana muda na wanafunzi ila mambo yao tu na wengi hawana moyo wa kumsaidia mtu amalize fresh. Hali ikoje?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, maoni au maelezo kuhusu hii kozi

    Habari wana JF, Mimi ni kijana na nina Stashahada ya Afya ya wanyama na Uzalishaji ( Diploma in Animal health and production). Matamanio yangu mwaka 2020 ni kusoma kozi ya Wildlife tourism management pale MWEKA, naomba mwenye ujuzi na hii kozi au field ya utalii anijuze, atoe maoni au taarifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…