Mnamo 18/10/2022 UNICEF Tanzania iliingia mkataba na Yanga SC wenye lengo la kuunga mkono jitihada za Serikali kupambana na magonjwa ya COVID 19 na Ebola.
Mkataba huo ulianza kutekelezwa siku 5 kabla ya mechi ya jana dhidi ya Club Africain ambapo, UNICEF Tanzania walinunua tiketi 10,000 za...