korosho

  1. A

    KERO Hatujalipwa pesa za Korosho mnada wa 8 nA 9 Newala Kitangali

    Hatujalipwa pesa zetu za korosho wa mnada wa 8,9 Newala kitangari ,tangu mnada umepita ni mwezi sas na hakuna taarfa zozote zinazotolewa kwa katimu wa chama cha msingi Limanga
  2. Nangose 1

    Kuitwa kazini Bodi ya Korosho Tanzania

    Wale waajiriwa wapya wa bodi ya korosho Tanzania.. mkeka wenu huu hapa... Hongereni sana.
  3. M

    Ulaji wa korosho Kila siku nisalama kwa afya ya figo?

    Habar wakuu nauliza ulaji wa korosho Kila siku ni salama kwa afya ya figo? Naje haiongezi cholesterol
  4. Wamweru

    Natafuta mashine ya kubangulia korosho iwe to natumia umeme

    Za mapambano wadau Natafuta mashine za kubangua korosho iwe ya umeme
  5. jlo father

    DOKEZO Wakulima wa korosho wa chama cha msingi Kweli kilichopo kijiji cha Msilili wilaya ya Newala mkoani Mtwara chawafanyia hujuma

    Wakulima wa korosho wa chama cha msingi kweli kilichopo kijiji cha msilili wilaya ya Newala mkoani Mtwara chawafanyia hujuma. Wakulima wa korosho kwani wakulima wamepima mazao yao mwezi wa kumi na moja lakin hadi leo hayajasafirishwa kupelekwa kwenye mnada kwa makusudi kwani wanamaslai yao...
  6. M

    Korosho ni wanga au protein?

    Habari wakuu, Naomba kuuliza Korosho ipo katika kundi gani ni Wanga au Protein?
  7. N

    Kati ya kilimo cha Minazi ama korosho kipi kinafaa?

    Habari zenu wote humu jukwaan! Nmejikuta natamani kufanya uwekezaji wa kudumu kwa kujikita kwenye kilimo Cha kudumu nahitaji kuchagua kulima moja Kati ya minazi au korosho! Mazingra niliyopo miti tajwa inastawi! je nichague kipi kwa kuzngatia kilimo tija chenye changamoto chache, tuzngatie...
  8. G

    LGE2024 Ulaghai wa bei ya korosho na kiki za kisiasa za CCM kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Mnada wa kwanza wa korosho uliofanyika 11/10/2024 ulifunguliwa kwa bei ya TSh 4150/= kwa kilo moja ya korosho. Kwenye mnada huu kulikuwa na tani chache sana za korosho. Ukafuata mnada wa pili ambapo bei ilishuka mpk kufikia TSh 3750/=, napo pia kulikuwa na tani chache sana za korosho. Bei...
  9. Fateema

    Kuhusu biashara ya chakula kwenye minada ya korosho mkoani Mtwara

    Habari zenu wangu, Mimi ni mpishi mzuri sana. Ninaishi na kufanya shughuli zangu za upishi hapa Dar. Ninataka kwenda kufungua banda la kupika kwenye minada ya korosho mkoani Mtwara. Wenyeji wa Mtwara mlio na uzoefu na minada ya korosho naombeni ABC za minada hiyo tafadhali. Ninacho taka...
  10. N

    Mafuta kutoka maganda ya korosho

    Wakuu naomba ABC kuhusu hii biashara ya mafuta kutoka kwenye maganda ya korosho. Upatikanaji wa maganda ya korosho je upo kwa wingi na Bei yake kwenye viwanda. Je Lita 40000 Inatumia maganda kg ngapi?
  11. TZ-1

    Update:- Msimu wa korosho na minada ya korosho 2024/25

    Wadau wa mazao msimu wa korosho umeanza na umeanza vzr , nazn n vyema tukatumia forum hii kupeana update huko mnadani nini kinaendelea Naomba taarfa za bei za minada ziwe rasmi kuepusha mislidi Mnada wa kwanza wa msimu mpya wa korosho mwaka 2024/2025 umefanyika leo October 11,2024 katika...
  12. C

    Hongera Rais Samia kilo 1 ya Korosho yafika shilingi 4120

    Kanda ya kusini kuchele Ndanda kuchele. CCM kwani imekuwaje? Hela izunguke mikoa yote Madalali wa korosho waondoke. Kusini tumeona #MAMA SAMIA KAUPIGA MWINGI KAMA ALIVYOUPIGA UNCLE 2017/2018 kiufupi kila mkulima na kangomba afurahi. Mnada wa kwanza 4,090 kwa newala na tandahimba Hii bei ni...
  13. aBuwash

    Wakulima wa Korosho Mtwara, Mnada wa kwanza kilo 4075-4070

    Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU, Karimu Chipola amefungua rasmi mnada wa kwanza leo Na bei ndo ni kuanzia kilo 4075 hadi 4070 Kwa kweli hongereni wakulima hiyo ni babu kubwa sana
  14. Kaiche

    Njoo tufanye biashara ya kununua korosho

    Wanajamvi, habari za muda huu na poleni na mihangaiko ya kutwa nzima. Korosho ni zao linalolimwa zaidi mikoa ya Lindi na Mtwara na sasa ni kipindi rasmi cha msimu wa korosho. Nahitaji Tajiri ambaye yupo tayari kununua korosho , kwa rejareja (kangomba ) kwa sababu nina uzoefu wa biashara hii na...
  15. C

    Naingia katika biashara ya korosho za kurost naombeni order zenu wadau

    Jamhuri ya muungano wa Tanzania Amani iendeleee wananchi . Baada ya maneno hayo mazito napenda kuchukua fursa hii kuwatanabaisha ndugu zangu wajarsiriamali na wazalendo ,wapenda uhuru wapenda amani kokote mlipo duniani Huu uzi uwafikie watu wote Bila kupoteza muda nimekaa na kuwazua nikaona...
  16. aBuwash

    Natafuta soko la korosho zilizobanguliwa

    Hey wana jf Natafuta soko la korosho zilizobanguliwa Kama unajua sehem yeyote Noamba ushare hapo chini ili tuwez kusaidiana
  17. Ngoniboysinai

    Nina kampuni ya uuzaji wa avokado na korosho nje ya nchi .

    Kamuni yangu ni mpya je nawezaje kupata tenda na kupata wateja nje kama vile india na nk. Msaada kwa mwenye uzoefu anishauri
  18. Inside10

    PreGE2025 Wakulima wa korosho kumchangia Rais Samia pesa ya form urais 2025

    Vyama vikuu sita (6) vya wakulima wa mikoa minne (4) inayolima Korosho kwa wingi hapa nchini wamesema wanatarajia kutoa shilingi milioni 11 ili kumchukulia fomu Rais Samia Suluhu Hassan ya kugombea nafasi ya URais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika...
  19. KOROSHO BOMBA

    Njoo ununue KOROSHO Kwa bei nafuu

    KOROSHO BOMBA ni wauzaji wa korosho kutoka Tandahimba, Mtwara kwa jumla na reja reja. Tunapatikana Mbagala Rangi Tatu, jijini Dar es salaam. Bei zetu ni; 1) Korosho mbichi nyeupe ni Tsh. 15,000 kilo moja 2) Korosho za ku roast za chumvi au pilipili ni Tsh. 18,000 kilo moja Delivery bure popote...
Back
Top Bottom