koo

Tiger Brands Limited (JSE: TBS) is a South African packaged goods company. In addition to the company's South African operations, Tiger Brands also has direct and indirect interests in international food businesses in Chile, Zimbabwe, Mozambique, Nigeria, Kenya and Cameroon. Tiger Brands is South Africa's largest food company.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    CHADEMA yamkaba koo Nape. Amwangukia Kinana kumwokoa

    Hali ya Mbunge wa Mtama Nape Nnauye kisiasa Jimboni Mtama imezidi kuwa mbaya baada ya Chadema kupitia kwa kijana msomi Stephen Kamillius Membe kufanya operesheni kila Kijiji na Sasa kila nyumba kutaka wananchi wamkatae Nape na CCM yake. Operesheni hiyo imefanyika kwa miezi miwili Sasa na...
  2. V

    Msaada kuhusu tatizo la koo kuhuma (persistent sore throat)

    Habari ndugu zangu wa JF ..kama heading inavyojieleza naomba msaada wenu kwa ushauri najua JF ina kila aina ya watu nimeamua Nije apa kwakuwa nina amini hii ni nyumba ya kila kitu. Tatizo langu la koo kuhuma lilianza takribani miezi 6 iliyopita..Nilianza kusikia maumivu ninapomeza chakula,shida...
  3. Kwanini baaadhi ya koo hujifananisha na wanyama?

    Sisi watoto wa mjini kuna mengi hatuyajui, mnaoelewa mtumegee na sisi. Wengine hujifananisha na mbwa, wengine chui, wengine ng'ombe wa aina fulani. Na kuna masharti juu ya wanyama hao ambayo wahusika wanatakiwa kuyafuata, wanapokiuka hupata madhara makubwa! Mfano kuna jamaa namfahamu, mwili...
  4. Prof. Jay: Sauti imebadilika nilitobolewa koo

    Mbunge wa zamani wa Mikumi na Msanii Staa Joseph Haule maarufu Prof. Jay @professorjaytz amesema sauti yake imebadilika kidogo kwakuwa Madaktari wa Muhimbili Hospital walimtoboa koo ili wavute uchafu kwenye mapafu yake ambao ulimfanya ashindwe kupumua. Akiongea kwenye Power Breakfast ya...
  5. Kurithi majina ni chanzo cha koo tajiri kuwa tajiri na koo masikini kuwa masikini

    Tunaporithishana majina huwa tunarithishana vingine vingi vinavyoambatana na mwenye jina linalorithiwa. Inachanganya sana, hii iko vipi wataalam wa mambo? Lakini nimeshuhudia koo nyingi zinafana kizazi kimoja kwenda kingine. Mtazamo wangu majina tunayorithi huwa yanaambatana na tabia, hali...
  6. Nasumbuliwa na Makohozi mazito katika koo

    Tafadhali msaada nimekuwa nikisumbuliwa na makohozi mazito katika Koo yamegandamana katka Kuta za koo. Napata shida sana naaibika mbele za watu nimazito sana. Niko Arusha test gani nifanye au hospital gani niende kupata msaada au dawa gani nitumie kuondoa mucus hii.
  7. Baada ya miaka 20 na kuendelea tutakua na jamii ya hovyo sana na baadhi ya KOO hazitakuwepo.

    Habari za leo ndugu wana jukwaa,nimekaa hapa natafakari haya maisha ya Karne yetu sijui tunaenda wapi,kuna baadhi ya mambo yanatafakarisha sana hasa nikiwaangalia hawa wanangu na ulimwengu unavyo kwenda kasi. Moja; mtu tajiri duniani Bwana Musk yeye ana...
  8. S

    Mikopo ya "Kausha damu" yawakaba koo walimu Mbozi

    Baadhi ya walimu wa shule za msingi na sekondari wilayani Mbozi mkoani Songwe, wameomba uwepo wa majukwaa ya mara kwa mara yatakayolenga kutoa elimu ya utambuzi wa Taasisi sahihi za kifedha zinazotoa huduma za mikopo, ili waweze kujiepusha na Taasisi ambazo zimekuwa zikiwakopesha mikopo yenye...
  9. Kwanini tuliozaliwa katika koo za Kichifu/Machifu haturogeki na tuna asili ya kuogopwa na kuheshimiwa mno?

    Nimeshatishiwa mno KUROGWA na Watu, ila nashangaa 75% yao Wameshakufa ( tena kwa Vifo vibaya ) sana tu. Nina Mademu wengi NILIOBANDUANA nao kwa Kuwaahidi KUWAOA na walipogundua NILIWADANGANYA wakanitishia KUNIROGA huku karibia Wote wakisema UUME / MKUYENGE wangu HAUTOAMKA / UTAGOMA KUDINDA ila...
  10. Vidonda vya tumbo vinaanza kurejea, nifanye nini kukabiliana na changamoto hii?

    Msaada, Mimi ni mhanga wa acid kujaa kwenye tumbo had kupanda kwenye Koo Kwa muda wa miaka miwili. Nilienda hospital mbalimbal bila mafanikio ila nikaenda singida hospital ya itigi wakanipa dawa na vyakula ambavyo natakiwa nisitumie na mpangilio wa kula, kweli nikafanya hivyo baada ya miezi...
  11. T

    Napata maumivu ya koo

    Jamani nimeenda sana hospital, nasumbuliwa sana na koo, hasa nikiongea na hushika moto kooni. Nashukuru mungu wakati wa kula nakula vizuri tu sisikii maumivu. Naombeni ushauri wenu wakuu au mwenye kujua doctor mzr wa koo! Aniambie
  12. Kuwa na uwezo kutoka koo masikini ni adhabu

    Mwanzoni mwa 2019 niliuguliwa sana mdogo wangu. Nililazimika kufa naye kwa sababu nilianza kuishi naye akiwa form 1 wakati mimi nimeanza maisha. Aliumwa takribani mwaka mzima,gharama za matibabu zilikuwa kubwa sana lakini nikakomaa mpaka akapata afadhali kubwa. Kabla ya hapo nilikuwa mstari wa...
  13. T

    Natafuta hospital yenye daktari mzuri wa koo

    Nitapata wapi specialist wa koo mzuri Dar es Salaam. Inafika miezi mitano sasa nasumbuliwa na koo.
  14. TRA yaendelea kumkaba koo Toufiq Salum Turky kodi ya gari milioni 308.5

    MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mfanyabishara maarufu wa Zanzibar, Toufiq Salum Turky, bado hajalipa Sh. milioni 308.5 za kodi kutokana na kuingiza gari la kifahari aina ya Benzi, Januari, mwaka huu. Naibu Kamishina wa TRA Zanzibar, Juma Bakary Hassan, aliwaambia waandishi wa habari...
  15. Ngono ya kinywa inaweza ambukiza Saratani ya Koo

    Human Papilloma Virus (HPV) ndicho kirusi ambacho inaaminika kinatajwa kuwa kinasababisha Saratani ya Kizazi, ambayo kwa asilimia kubwa inawaathiri wanawake. Pamoja na hivyo wanaume na wanawake wote wanaweza kuathirika na kirusi hicho kwa kupata saratani ya koo ikiwa watashiriki ngono ya kinywa...
  16. Historia kuhusu asili, tamaduni na aina za Wachaga

    Kabila la Wachaga linafahamika kwa wengi kuwa linapatikana mkoani Kilimanjaro.Kwa asili, Wachaga ni mchanganyiko wa Wamasai, Wasambaa, Wataita, Wakamba na Wakahe. Wachaga walianza kuhamia kwenye miteremko ya Mlima Kilimanjaro kwenye karne ya 17. Walipofika wakiwa katika vikundi vidogovidogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…