Aaahem
Muda siku zote waenda mbele, muda hausubiri mtu, na katika kwenda kwake mbele Muda huja na mabadiliko. Ole wao wale wanaopingana na sheria hii ya mda kwa kukataa kukubali uhalisia kwamba zama zao sasa zaingia machwewo, hivyo kuweka ukinzani kuendelea kufanya mambo yao kama walivyokuwa...