kombe la dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA chini ya Alexander Ceferin yamteua Omar Artan kuchezesha Uefa Super Cup

    Mwamuzi kutoka somalia Omar Artan ( 34 yrs) baada ya kukataliwa kuingia Marekani Kuchezesha kombe la Dunia 2026 , kuchezesha Uefa Super Cup kati ya Paris. Saint German PSG VS Aston Villa Usiache kamwe kuota ndoto yako .” ✨ 🇸🇴🏆 Kutoka Somalia hadi kwenye UEFA Super Cup, Omar Artan...
  2. JamiiForums Tanzania UEFA yakataa ombi la msamaha la Infantino, yasisitiza mpango wa kususia kombe la dunia upo palepale

    UEFA isema katika taarifa yake kuwa ombi la msamaha la Rais wa FIFA, Gianni Infantino, halibadilishi kitu chochote, na kwamba vyama vyake wanachama 55 vinasalia kwenye msimamo wa mpango wao wa kususia Kombe la Dunia. Soma Pia: Mataifa 55 ya UEFA yatangaza nia ya kususia Kombe la Dunia, ikiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato ya Marekani (IRS) kukata kodi kwenye zawadi ya Dola milioni 50 za Hispania za Kombe la Dunia

    Uhispania ilisherehekea ushindi wa kihistoria wa Kombe la Dunia, lakini zawadi yao ya dola milioni 50 inakuja na bili ya kodi huku Mamlaka ya Mapato ya Marekani (IRS) ikidai sehemu ya mapato yaliyopatikana katika ardhi ya Marekani. Wataalamu wa kodi wanasema matokeo ya mwisho hayangebadilisha...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Bila La Masia Spain isingebeba Kombe la Dunia 2026, hawa ni wachezaji waliopitia La Masia (academy ya Barça)

    1. Lamine Yamal – mshambuliaji (FC Barcelona) 2. Pau Cubarsí – beki wa kati (FC Barcelona) 3. Gavi (Pablo Martín Páez Gavira) – kiungo (FC Barcelona) 4. Dani Olmo – kiungo mshambuliaji (aliwahi kuwa La Masia kabla ya kwenda Dinamo Zagreb) 5. Eric García – beki (aliwahi kuwa La Masia) 6...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Martin Masese: Gerson Msigwa atueleze kwanini anatumia chaneli za mabebru kutazama kombe la dunia na kutuachia TBC1 yenye ubora duni

    GIRISHONI kanichapa BLOCK usiku wa manane, baada ya kumtaka atupe ufafanuzi wa kwanini anatumia chaneli za MABEBERU kuangalia WEDIKAPU wakati TBC UKWEL na UHAKIKA ipo lele-lele. Anamuachia nani ‘kwaliti’ mbovu ya TBC. Uzalendo nje, ndani kwake aaah!🤣
  6. JamiiForums Tanzania Ipi picha yako bora kwenye Kombe la Dunia 2026?

    Katika Kombe la Dunia 2026, maelfu ya picha zimeonyesha matukio makubwa, furaha, huzuni na kumbukumbu ambazo zimebeba hadithi za mashindano haya na kila picha ina simulizi yake.
  7. B

    JamiiForums Tanzania World Cup Final: Spain 1-0 Argentina | Julai 19, 2026: | Metlife Stadium | Spain Bingwa

    ================================= Hatimaye mwisho umefika, nani anaenda kutwaa ubingwa? Sijui niweke bet na Mods eti Wakuu? Team Messi mbondwe tu🤣🤣
  8. JamiiForums Tanzania Argentina ni lazima ashinde kombe la dunia, hizi hapa facts za ajabu

    Hizi Ndizo "Facts" 12 za Ajabu Zinazowashangaza Wengi Kabla ya Fainali ya Kombe la Dunia 2026 zikionyesha kwamba argentina atakuwa bingwa mwaka huu Facts hiz ni mfululizo wa coincidences, historia na ulinganifu wa namba (numerology) ambao umevutia mjadala mkubwa miongoni mwa wapenzi wa soka...
  9. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Barcelona ndio mashabiki wenye furaha zaidi kwenye fainali hizi za kombe la dunia

    Spain ambayo ambayo imesheni wchezaji wa Barca ishatinga fainali. Furaha iliyoje. Argentina yenye Greatest Of All Time(GOAT) La Pulga ambaye ni pure cule yupo fainali. Furaha iliyoje. Ureno yenye goti wa kuvundika out tushasahau kama walishiriki hizi fainali za kombe la dunia. Furaha...
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu nina 60,000 niiweke kwenye nusu na fainali kombe la dunia nipeni mwongozo

    Kwa heshima na taadhima naomba huu uzi usihamishwe. Wakuu nataka kujaribu bahati yangu, nina kiasi hiko cha fedha nikigawanye Nikigawanye mara tatu, nusu fainali kati ya Argentina na England 20,000 Ufaransa na uhispania 20,000 Na finali yenyewe 20,000 Naamini kwenye jukwaa hili wapo wadau...
  11. JamiiForums Tanzania FIFA yafikiria uwezekano wa Kombe la Dunia kushirikisha timu 64 ifikapo 2030

    Hapa hata Taifa Stars itapata nafasi ya kushiriki Kombe la Dunia au Wadau mnasemaje? Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amesema shirikisho hilo litajadili uwezekano wa kuongeza idadi ya timu zitakazoshiriki Kombe la Dunia la mwaka 2030 kutoka timu 48 hadi 64. Amesema pendekezo hilo litajadiliwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Kombe la dunia linadhihirisha maombi, sala na dua havina mchango mkubwa

    Timu zote ambazo zina wachezaji wengi wanaosali sana kabla ya kuingia viwanjani, kwenye mechi na baada ya mechi zimetolewa, imebaki Argentina na zile tu ambazo zina mchezaji mmoja au wawili wanaofanya ibada viwanjani.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zawadi Kombe la Dunia la 2026 ni dola milioni 871 za Marekani, ambayo ni kubwa zaidi katika historia ya soka

  14. JamiiForums Tanzania Wafungaji Bora wa Kombe la Dunia 2026

    Mpaka sasa katika Kombe la Dunia 2026, mbio za Kiatu cha Dhahabu (Golden Boot) zinaongozwa na wachezaji hawa: Kylian Mbappé (Ufaransa) – mabao 7. Lionel Messi (Argentina) – mabao 7. Erling Haaland (Norway) – mabao 7. Harry Kane (England) – mabao 6. Wakiwa na mabao 4kila mmoja: Jude Bellingham...
  15. JamiiForums Tanzania Leo nimetembelewa na Mwingine tukaangalie Kombe la dunia tunaelekea sehemu inaitwa “The Penny Black”

    Ngoja apumue Pumue Kidogo Twende sehem yaitwa the Penny Black mtaa wa Robertson Quay baada ya mechi sasa twaenda Rooftop ipo Marina Bay Financial Centre , Maana masaa kadhaa yalopita shughuli ilikuwa moto Uzuri huyu aliielewa mwenyewe show show na anajiletaga Juzi nilimtembelea kwake leo...
  16. JamiiForums Tanzania Huenda Kombe la Dunia 2026 likabaki Marekani

    Wana timu nzuri mno, haizungumzwi wala kufuatiliwa sana, lakini ina uwezo na uwezekano mkubwa sana wa kutwaa kombe hilo la dunia katika mpira wa miguu duniani. Ni wazi Rais Donald J. Trump atapendelea zaidi kukabidhi kombe hilo la dunia kwa timu ya mpira wa miguu ya taifa lake na si vinginevyo...
  17. JamiiForums Tanzania Rangi za nembo ya Kombe la Dunia 2026 zatabiri bingwa

    Nadharia mpya mtandaoni inadai kuwa mshindi wa Kombe la Dunia la FIFA 2026 anaweza kutabiriwa kupitia rangi rasmi za nembo ya mashindano. Mashabiki wanaamini rangi hizo zinaweza kutoa ishara ya mapema kuhusu taifa litakalotwaa ubingwa. Hoja hiyo inatokana na matokeo ya matoleo matatu...
  18. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo kustaafu soka la kimataifa baada ya Kombe la Dunia 2026

    Dada yake Cristiano Ronaldo, Katia Aveiro, amesema kuwa nahodha huyo wa Ureno anakaribia kuaga rasmi timu ya taifa baada ya Kombe la Dunia 2026. Akizungumza na Sport TV, Katia amesema: “Kwa taarifa nilizonazo, huu utakuwa mwisho wake. Furahieni kumtazama akiwa bado uwanjani. Sio kwamba ataaga...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za Afrika zimeshindwa kutumia uchawi kufanikiwa kombe la dunia?

    Uchawi na uganga unaaminiwa sana Africa ila ajabu pale uchawi unapohitajika zaidi kufanikisha mambo kama kwenye hili kombe la dunia hauonekani kabisa kuleta matokeo, Hii inathibitisha uchawi ni porojo tu, ni kama Nyuki wa mashineni.
  20. JamiiForums Tanzania Je wajua? Endapo kwenye Kombe la Dunia Wachezaji wawili au zaidi watakuwa na idadi ya juu sawa ya magoli, vigezo hivi vitatumika kumpata mfungaji Bora

    Endapo wachezaji wawili au zaidi watafunga idadi sawa ya mabao kwenye Kombe la Dunia, mshindi wa Golden Boot (Mfungaji Bora) hupatikana kwa vigezo vifuatavyo, kwa mpangilio huu: Aliyetoa pasi nyingi za mabao (assists) ndiye hushinda. Idadi ya assists huhesabiwa na kikosi cha uchambuzi cha FIFA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…