kodi

  1. JamiiForums Tanzania Fikiria: wametumia Kodi Yako kununua chama,wamekupa Baiskeli wao wana V8. Leo wanakuchangisha. Mungu waokoe watanzania

    Watanzania. Watanzania. Watanzania.🇹🇿. Hawa jamaa hata aibu hawana. Sasa wanawaibia watanzania bila aibu kabisa. Ni Mungu tu ndiyo anajua atawachoma Moto wa aina Gani. Tazama,wametumia Kodi za Wananchi kufadhili chama kikaragosi. Wameiba kila namna. Leo wanachangisha watanzania wakati wao...
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna kodi mpya ya majengo Mwanza

    Miaka 7 iliyopita nilinunua kiwanja cha SQm 400 hivi maeneo ya Sahwa. Kutokana na uwezo wangu mdogo tukashauriana na wife tujenge nyumba ndogo kwanza ya vyumba viwili na sebule baadaye tukitulia ndio tujenge nyumba ya nafasi. Kweli nilifanikiwa kujenga nyumba ndogo na nikaunga umeme pia na...
  3. JamiiForums Tanzania TRA kodi haiwahusu mawinga wanaoingiza chini ya milioni 4

    "Winga ambaye anafanya biashara ya mtu mwingine na anapata kipato, kipato kile lazima kilipiwe kodi kama kimezidi milioni 4. Kama hakizidi hatuna shida naye." - Richard Kayombo, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Elimu kwa Mlipa Kodi TRA Pia soma > TRA: Tumeongeza muda, mawinga wataanza kujisajili...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Idadi ya walipa Kodi kenya waliosajiliwa ni milion 7 TZ NI MILION 1.5

    Ewe Kenya utatuburuza mpaka lini?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa waTanzania ni kujidanganya kuwa kodi zinazokusanywa ni zao wananchi

    Yaani watu wakae vikao ambavyo wewe huingii wapange kodi,wakusanye,wapange matumizi yake,walipe madeni,wapange matumizi,wajilipe wao,nk bado mnakomaa tu kuwa hela za kodi ni zenu mna akili kweli nyie? Hela ambayo huna maamuzi nayo ni yako kvp? WaTz mjitafakari!!
  6. JamiiForums Tanzania TRA Kodi za Wananchi ni Maisha ya Viongozi?

    Tanzania Revenue Authority (TRA), taasisi iliyoundwa rasmi mwaka 1995 kwa madhumuni ya kukusanya mapato ya serikali, leo hii inakabiliwa na lawama nzito kutoka kwa wananchi wanaohoji uhalisia wa mchango wake katika kuboresha maisha ya Watanzania wa kawaida. Wapo wanaosema kuwa mfumo huu wa...
  7. JamiiForums Tanzania TRA yawataka 'mawinga' kulipa kodi

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda, amewataka wafanyabiashara wa kati maarufu kama mawinga kuhakikisha wanazingatia sheria za kodi na kujitokeza kulipa kodi kwa wakati. Akizungumza Agosti 9, 2025 jijini Dar es Salaam, Kamishna Mwenda ametoa wito huo wakati wa...
  8. JamiiForums Tanzania Mafao ya ustaafu wa Ndugai yaende kwa mjane yupi? Hizi ni kodi zetu, hatutaki kuwalipa mahawara au watu wasiostahili

    Sheria za kindezi zilitungwa kuwanufaisha wenzi wa viongozi wa juu wa nchi pale viongozi wale wanapokufa. Sasa ngoma imeanza kuwa nzito baada ya kifo cha Ndugai, na kuibuka kwa wajane wawili tofauti. Mjane wa kwanza, anahamika kama Stella Mmasy, ikielezwa ni mke wa kwanza wa ndoa ya kikristo na...
  9. JamiiForums Tanzania Umewahi kuhama na kuacha vitu ndani kama fidia ya kodi uliyokuwa unadaiwa?

    Nafikiria kufanya hivo kwa kodi ninayodaiwa ni 250000 nafikiria kuacha kitanda na godoro maana maisha yamekuwa magumu sana Japo ninapoenda nimeshalipa kodi tayari
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wenye changamoto za TRA, barua kutoka TRA na mambo ya Kodi - Arusha

    Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi? Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa Arusha. Huduma Zetu ni Pamoja na: Kufuatilia mambo yako ya TRA...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania acheni chuki kwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) sheria za kodi hutungwa na bunge. TRA ni wasimamiaji tu

    Ukipita mitandaoni, sehemu mbalimbali mitaani, iwe mijini na vijijini, lawama za watanzania wengi zimekuwa zikielekezwa kwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kwamba ina uonevu mkubwa kwa wafanyabiashara na imekuwa ikianzisha tozo au kodi mbalimbali ambazo zinalenga kumkandamiza mfanyabiashara au...
  12. JamiiForums Tanzania Kodi kwenye kituo cha biashara Ubungo ni pesa ngapi?

    Naona Leo wanazindua kituo cha biashara Afrika Mashariki, Ubungo. Kodi ya frame hapo ni pesa ngapi?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni tupige hesabu, Kila mbunge akipewa milioni 400, jumla ni shilingi ngapi zinachotwa kwenye kodi zetu ?

    Ni matusi kukiita kiinua mgongo kwasababu hata watumishi waliofanya kazi miaka 30+ katika taasisi kubwa kama Benki kuu, TRA, Bandarini, Tanapa, n.k. wengi sana hawapati hicho kiasi, Kuna jumla ya majimbo mangapi yenye wabunge Idadi ya wabunge Viti maalum Idadi ya wabunge wanaochaguliwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Wapiga Kura 37m vs Walipa kodi 2m?

    Inashangaza Sana kumbe tuna Taifa tegemezi kwa nakisi ya 35m watu hawalipi kodi
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kodi chache watakazolipa viwanda nikiwa Rais wa Tanzania

    Kuiondoa ccm madarakani
  16. JamiiForums Tanzania Hii pressing ya TRA Kudai Kodi sijawahi kuiona

    Sikujua kama wanakabia juu Hadi Kwenye mitaa ambayo sio ya kibiashara, mfano MTU kajenga nyumba mbele kaweka frem ndogo na haipo karibu na barabara kuu IPO mbali kabisa, lakn wanakimbizana na Raia. Leo nmeshangaa Sana wamama wanaokimbilia ndani huku wakifunga biashara zao wakitoa matusi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Billnas: Nililipa 700 milioni kama kodi ya magari yangu ya kutembelea mwaka jana tu

    Msanii bilnas amedai KUWA anamiliki gari la MILIONI mia SITA, IKIWA ni MOJA ya magari yake aliyo nayo HUKU akidai MWAKA JANA pekee kalipa Kodi ya magari yake MILIONI mia Saba. HUKU akilipia MILIONI KUMI na mbili HADI MILIONI ishirini KWENYE bima TU ya hayo magari. Kwishaaa Bro Alex on la...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Mtandaoni Kujisajili Ndani ya Mwezi mmoja. Faida na hasara zake ni nini? Tufanyeje?

    1. Kwanza ni-declare Interest, Mi ni moja ya wanufaika wa Internet. Nimejiajiri kupitia internet na cycle yangu kubwa ni hawa influencers, freelancers, content creators, advertisers, etc. 2. Pili lazima tukubali Kodi ndio inaendesha uchumi wa nchi yoyote Ile duniani. Huwezi endesha nchi bila...
  19. JamiiForums Tanzania Mitandao hii hii ambayo mnaichukia na kuifungia na kuipunguzia speed halafu mnataka kupata na kodi humo humo.

    Je? Hii kodi mtaipataje? Yaani mtu anatumia simu yake kutafuta wateja tena muda mwingine kwa kutumia VPN.
  20. JamiiForums Tanzania Dira ya Taifa 2050 haina makadirio ya uwiano wa kodi itakayokusanywa kwa mwaka 2050

    Naendelea kusoma Dira ya Taifa ya 2050 ambayo inazinduliwa leo. Jambo moja la msingi ni wapi tunapata hela za kutekeleza yaliyomo kwenye dira. Dira imeelezea masuala ya kodi na moja ya matarajio ni kuwa na uchumi jumuishi utakaoongeza uwiano wa makusanyo ya kodi na pato ya taifa. Uwiano wa kodi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…