Kizuri-Kamikita Station (衣摺加美北駅, Kizuri-Kamikita-eki) is a railway station on the Osaka Higashi Line in Higashiōsaka, Osaka Prefecture, Japan, operated by West Japan Railway Company (JR West). The station was opened on March 17, 2018.
Natumaini kila mmoja wetu hapa yupo na siku nzuri kabisa;
Nimekuja kwenu asubuhi hii ili kuomba ushauri wa mambo ya kielimu; hasa kurudia mtihani wa kidato cha sita. Kitaaluma mimi ni mwalimu wa ngazi ya cheti, pia nilisoma kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM. Sikufanya vema...
Kuna jambo limenichefua sana, la kulazimishwa kupenda mtu au kumpa sifa.
Huwezi lazimisha watu wakupende au wakusifie, haiwezekani.
As Human beings, we have a free will, we observe, we think and we draw a conclusion. Forcing someone to draw the same conclusion as "yours", is the same as trying...
Wahuni sio watuwazuri. Kitendo cha watu wa jinsi 2 tofauti kuungana kimwili ni kitendo chenyeraha isiyo kifani hasa ikichagizwa na miguno. Sasa sijui katokea mtu wapi huko eti anadai kitendo kile kinaitwa kufanya matusi.
Kuna kitabu ukikisoma kutokana na utamu au maudhi yake unavutiwa kukiazima au kukinunua.
Yaani huwezi poteza kumbukumbu kwa haraka. Iwe ni hadithi (riwaya, tamthilia,) ushairi.
Mf. Hiki kitabu cha Ng'ugi wa Thiong'o "I WILL MARRY WHEN I WANT"
Kuna vitabu vingi vizuri kweli kweli
Wenye nakala...
Kiwanja kinauzwa madale karibu na shule ya atlas
Kina ukubwa wa SQM 1200
Kipo Mita 150 kutoka barabara ya lami
Bei ni millions. 150 tu tsh
Kipo kwenye neighbourhood nzuri Sana
Usikikose tajiri
Wasiliana nasi.
0742892195 call and WhatsApp
KIWANJA KINAUZWA – GOBA NJIA NNE 📍
🔹 Mahali: Goba njia ya kuelekea Madale
🔹 Umbali: Km 1 tu kutoka barabara kuu, unaingilia kupitia KB Shell
🔹 Ukubwa: SQM 540 – za kutosha kujenga nyumba ya ndoto yako
🔹 Bei: Milioni 38 tu!
✅ Eneo zuri, tulivu na linalofikika kirahisi
✅ Tayari linafikika kwa...
Wanajukwaa hiki cheo ni kizuri sana, kikubwa sana au kitamu sana hapa nchini kwetu?
Unajiuliza kinachotokea jijini Arusha mnyukano wa mkuu wa mkoa na Mbunge wa sasa unahusishwa na mbio za Ubunge.
Yaani mtu hataki kuongoza mkoa anataka majimbo ndani ya mkoa tu.Vile vile Mzee Masatu Wasira...
Mimi siyo CHAWA wa chama chochote lakini nitoe pongezi Kwa viongozi wa CHADEMA kwani kazi Yao ni kazi iliyotukuka.
CHADEMA wanaonekana ni wanaharakati uchwara kwasabab ya upeo mdogo wa akili wa WATANZANIA tulio wengi.
Familia za viongozi wakubwa wa CHADEMA hazipo NCHINI na hazina njaa lakini...
KWANINI Mwanza isipatiwe kiwanja cha mpira kizuri kama jiji la Dar, Arusha na Dodoma.
1.Mwanza ni jiji la pili Tanzania kwa watu wengi
2.Mwanza inatoa vipaji vya mpira vingi sanaa kama Aisha masaka,mrisho ngasa na wengine wengi.
3.Mwanza pia ni jiji lenye vivutio vya utalii pia na ni...
Habarini,
Ni wazi kabisa kwa wenye akili kujua vyama vya upinzani vilivyopo ni matawi ya ccm na viongozi wake ni mamluki wa ccm wanaojinufaisha na familia zao kwa kujificha kwenye upinzani kama ajira zao
Kama kweli tunataka mabadiliko ya kweli ndani ya Tz basi NETO wabadili style yao ya kwenda...
Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania kipindi Cha nyuma aliwahi kusifiwa Kwa umahiri wake wa kuongea lugha ya Kingereza na Waandishi wa Habari wa CNN wakati wakimhoji na Ile ni kutokana na umahiri wake mkubwa wa kutema Yani, kutema ung'eng'e, lugha ambayo ilikuja Tanzania Kwa Njia ya Meli...
Katika harakati za kumjengea mteja wetu ghorofa lake hapa Tabata Chang'ombe Dar es Salaam wkt tuna chimba msingi tukakutana na chungu kidogo kizuri kikiwa kimevalishwa shanga nyeupe nzuri. Vijana wakapaniki na karuka nje ya msingi alaf wakarudi tena kwa tahadhali na kukiangalia kama kitaleta...
Naomba serikali ifanye jambo hapa.
Ajali huwa hazitokei bahati mbaya.
Ajali zinatokana na uzembe wa madereva na kutofuata sheria za usalama barabarani.
REJEA ANDIKO HILI...
Nauza kitanda chuma 5X6 kwa Bei rahisi kabisa 120,000/ bad kipya kimetumika miezi4 tu!( Kimsingi hiyo elf20 itakuwa nauli ya kukuletea ulipo,hivyo (naamini kwa maeneo ya mbeZi,tegeta,goba au bunju hiyo nauli itosha kukifikisha ,ili adhima ya kupata laki1 nayohitaji itimie)!.
Kipo Madale Mwisho...
WAHI UJIPATIE KIWANJA KIZURI SANA, BEI 3 Million.
ENEO: BUKAGA, KISHIRI
KIMEPIMWA, KUNA BIKONI KABISA. Hatua 21 kwa 17.
NYARAKA: HATI YA MAUZIANO
BARABARA INAPITIKA VIZURI NI KIWANJA CHA TATU TOKA BARABARA KUU YA UELEKEO WA Kona ya FELA.
MIUNDOMBINU YA MAJI NA UMEME NI UHAKIKA.
MAWASILIANO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.