kizimbani

Kizimbani (or Kisimbani) is a settlement of the Zanzibar Urban/West Region in Unguja, the main island of Zanzibar, Tanzania. It is located in the interior of the island, north-east of Zanzibar City. The remnants of old Persian public baths are found in this town.
Kizimbani is close to an eponymous forest, as well as a spice farm where several kinds of spices are cultivated, mostly as a visitor attraction; most so-called "Spice Tours" proposed by local travel operators are based in Kizimbani. Cultivation on display for the visitors include cinnamon, pepper, ginger, lemon grass, iodine, cocoa, nutmeg, clove, and vanilla.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Iramba na wenzake 6 Kizimbani kwa uhujumu uchumi

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Iramba mkoani Singida, Augustino Matomola na wenzake sita wamefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wakituhumiwa kwa uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya ofisi. Watuhumiwa hao...
  2. JamiiForums Tanzania Askari 7 wanaodaiwa kumuua Mfanyabiashara wa Madini kupandishwa Kizimbani Januari 11

    Kesi ya mauaji inayowakabili maofisa saba wa polisi mkoani Mtwara imepangiwa tarehe nyingine ya kusikilizwa kutokana na upelelezi kutokamilika. Watuhumiwa hao jana walifikishwa kwa mara nyingine mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara na kupangiwa kusikilizwa tena Januari 11, mwaka huu...
  3. JamiiForums Tanzania Wapandishwa kizimbani kwa kuvunja ofisi na kuiba Bastola za TAKUKURU

    James Alex mkazi wa Vibaoni na Ally Waziri, Mkazi wa Bomani aliyekuwa mlinzi wa ofisi, wamepandishwa Kizimbani wakikabiliwa na makosa 4 yanayohusu tukio hilo Watuhumiwa walitenda kosa hilo Novemba 30, 2022 kwa kuiba Bastola 2 zenye usajili wa CAR NO F. 40326W na Risasi 15 na nyingine yenye...
  4. JamiiForums Tanzania Mashahidi 10 kupanda Kizimbani kesi ya kukata Nyaya za Umeme Kariakoo

    Mashahidi 10 na vielelezo nane vinatarajia kutolewa katika kesi ya kukata nyaya za umeme katika Soko Kuu la Kariakoo lililopo jijini Dar es Salaam na kusababisha hasara ya Sh316 milioni, inayowakabili wafanyabiashara watatu wakazi wa Mbagala na Tandika. Washtakiwa katika kesi hiyo ni Erick...
  5. JamiiForums Tanzania Paroko kizimbani kwa tuhuma za wizi

    Paroko wa Parokia ya Haydom, Jimbo la Mbulu Mkoani Manyara, Bartazari Margwe Sule (63) amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Manyara kwa tuhuma za kuiba zaidi ya shilingi milioni 20 kwenye akaunti ya kaka yake, Dionice Margwe Sule ambaye inadaiwa kuwa ni mgonjwa wa kupoteza kumbukumbu...
  6. JamiiForums Tanzania Baba achinjwa na familia yake akidaiwa kuwa kikwazo cha kutumia mali za familia

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watano akiwemo Mkazi wa Kijiji cha Kiliwi wilayani Kwimba, Hoka Mazuri (48) na wanaye wawili kwa tuhuma kumuua mumewe, Mange Washa (49). Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amewataja...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbagala Kuu apandishwa kizimbani kwa kumbaka mwanafunzi wa Darasa la Sita

    Mwalimu wa Shule ya msingi Mbagala Kuu, mkazi wa Mwanamtoti aitwaye Ally Said Kaule (26) maarufu kama Sir Ally amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Temeke kwa kosa la kumuingilia kingono mwanafunzi wake wa darasa la sita. Akisomewa mashtaka leo Jumanne mbele ya hakimu mkazi Aziza...
  8. JamiiForums Tanzania UPDATE: Padri afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti watoto 10 Moshi

    UPDATES: Sostenes Bahati Soka, Padri wa Kanisa Katoliki, Parokia Teule ya Mtakatifu Deonis Aropagita, Jimbo la Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro amesomewa mashtaka matatu katika Mahakama mbili tofauti. Padri huyo mwenye miaka 41, amesomeshwa mashataka hayo leo Jumatatu, Septemba 26, 2022 kwa nyakati...
  9. JamiiForums Tanzania Kizimbani kwa kujifanya yeye ni Rais Samia na kujipatia Tsh 40,000/-

    Mfoi alikiri hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Richard Kabate wakati Wakili wa Serikali, Ashura Mzava, akimsomea mshtakiwa maelezo ya awali, baada ya upelelezi wa kesi hiyo kukamilika. Mshtakiwa, anadaiwa kujiwasilisha kuwa yeye ni Rais Samia na kutumia...
  10. JamiiForums Tanzania Mume kizimbani kwa kutishia kumuua mke kisa kupeleka chakula kwa mchungaji

    Japo kutishia kuua ni kosa, ila alilofanya huyu dada ni ujinga na upumbavu kwa wakati mmoja. Hatukatai mtu kumtolea Bwana sadaka ila aina hizi za sadaka ni dhambi si sadaka tena. --- Joseph Moses dereva wa ‘bodaboda’ mkazi wa Mbeya anayekabiliwa na shtaka la kutishia kumuua mkewe kwa maneno...
  11. JamiiForums Tanzania Riwaya: Mzalendo Kizimbani (Mwalimu Makoba)

    Angalizo: Nchi inayotajwa kama Nchi yetu, haina uhusiano wowote na nchi ya Tanzania. Sehemu ya Kwanza Komandoo Mako alikimbia akiwa kashika kidege kidogo kisichokuwa na rubani, baada ya umbali fulani, akakiachia nacho kikapaa peke yake. Pembeni alilala Komandoo Bwii, huyu alikuwa na kitu mfano...
  12. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mauaji ya Mkuu wa Gereza la Liwale na wenzake yasikilizwa Mahakamani, yaahirishwa leo Julai 6, 2022

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Lindi imeahirisha kesi ya mauaji ya mfungwa Abdallah Ngalumbale inayowakabili maafisa watatu wa Magereza Mkoani Lindi kutokana na upelelezi kutokamilika. Watuhumiwa hao ambao ni ACP Girbert Sindani ambaye ni Mkuu wa Gereza la Liwale, Sajenti Yusuph Selemani...
  13. JamiiForums Tanzania Kisutu, Dar: Robert Kisena apandishwa Kizimbani kwa Utakatishaji fedha, asomewa mashitaka 33

    Robert Kisena (wa kwanza kulia) akiwa na washtakiwa wenzake Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo kasi (UDART) Robert Kisena na wenzake watatu wamesomewa mashtaka 33 katika kesi mbili tofauti kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikiwemo Utakatishaji wa fedha na kuongoza genge la...
  14. JamiiForums Tanzania Wito kwa NEMC kuhusu uchafuzi wa mazingira kwa sumu, usiishie kwenye fine tu, wafidie waathirika na kama sumu hiyo ni Lethal, wapandishwe kizimbani!

    Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya Leo ni wito kwa Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira NEMC, Kuwapiga Faini Mgodi Kuhusu Uchafuzi wa Mazingira kwa Sumu, usiishie kwenye kuwapiga tuu fine tuu, bali wawafidie waathirika na kama sumu hiyo ni lethal...
  15. JamiiForums Tanzania Watendaji wa Mange Kimambi App wapandishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

    Mkurugenzi wa Mtandao wa Kijamii wa U turn Collection, Allen Mhina (31) na wenzake wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashtaka matatu yakiwemo ya kuchapisha maudhui yanayokiuka haki na uhuru wa mtu mwingine na kumfedhesha mtu kwa njia ya mtandao (cyber Bullying)...
  16. JamiiForums Tanzania Iringa: Upelelezi wakamilika, mtoto anayedaiwa kuwalawiti wenzake kupandishwa kizimbani

    Kesi nane za ukatili wa kingono kati ya 19 zinazohusu watoto waliodhalilishwa na mtoto mwenzao mwenye umri wa miaka 15 mkoani Iringa, zinatarajiwa kufikishwa mahakamani wiki hii. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Allan Bulumbi amesema kuwa uchunguzi wa daktari umebaini kuwa watoto wote...
  17. JamiiForums Tanzania Mara: Bibi kizimbani kwa tuhuma za kumuua mjukuu kwa kutumia Tsh. 2,000 bila ruhusa

    Nkwandu Kayenze (76) Mkazi wa Kijiji cha Natta Wilayani Serengeti mkoani Mara amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Serengeti kwa tuhuma ya mauaji ya mjukuu wake Matoja Deus (11) ambaye anadaiwa kumpiga hadi kufa baada ya kutumia Shilingi 2,000 bila idhini yake. ITV
  18. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi inayomkabili Mbowe na wenzake leo Februari 4, 2022. Kesi imeahirishwa. Shahidi wa 13 kuendelea kutoa ushahidi Februari 7, 2022

    Habari Wakuu, Leo 04/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuanza kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri kesi ya Mbowe 01/02/2022. Luteni Denis Urio amaliza kutoa ushahidi wake. Shahidi wa 13 kuanza 04/02/2022...
  19. JamiiForums Tanzania Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

    Dunia inazunguka kwa kasi. Askari huyu, tarehe 23.3.2017 alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais Magufuli kwa sakata la Makonda kuvamia Clouds FM usiku. Leo hii ni miongoni mwa maaskari waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji mfanyabiashara mkoani...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kesho shahidi J4 Kizimbani na Kielelezo Chake Tata

    Kesho tutakuwapo kukipokea kile kielelezo kisichojulikana kilivyomfikia Jumanne mahakamani tokea alipomwachia Inspector Swilla. Pamoja na kuwa kina kurasa 2 na ni ukurasa wa kwanza pekee ulio na sahihi, mchumi wa maneno aliyedhamiria anaweza kutatizika vipi hata kwenye hali tata kama hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…