kiwanja

  1. JamiiForums Tanzania Kituo cha mafuta kinauzwa mkoa wa Songwe,

    Kituo cha mafuta kinauzwa mkoa wa Songwe, kiwanja kina ukubwa wa sq 2500, kina hati kwa ajili ya matumizi ya kituo cha mafuta Tshs 350m. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050 nyote mnakaribishwa!!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa 6.5m lipa taratibu

    Kiwanja kipo kibaha, hati ipo, kimelipiwa serikalini kwa control number hakuna dalali wasiliana 0764 714 801.
  3. JamiiForums Tanzania Kiwanja nyashishi mwanza nakiuza

    Biashara inaleta faida kuliko kiwanja, bora nikiuze niongeze mzunguko kwenye biashara yangu. Bei ni 2.5 m Urefu hatua 30 kwa 25 Maeneo yamepimwa, hati ya serikali ya mtaa, Kinapatikana nyashishi, barabara ya vumbi inayoelekea kule inakojengwa bandari kavu. 2.5 cash Piga simu namba...
  4. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Forest mpya

    Kiwanja kinauzwa Forest mpya sq 2100 tshs 80m, mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050, nyote mnakaribishwa!!
  5. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbeya

    Kiwanja kinauzwa Forest mpya. Sq 1800. Tshs 75m, mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050, nyote mnakaribishwa
  6. JamiiForums Tanzania Kila Halmashauri inuwezo wa kujenga kiwanja kama cha kmc au singida black stars

    Kwa Tanzania kila Halmashauri ikiamua inaweza jenga kiwanja mfano wa kmc au singida Black stars kama wakiamua mfano Halmashauri ya ubungo, temeke, na kigamboni wanaweza kuwa na kiwanja kama kile Viwanja hivyo vitaweza kukuza michezo ndani ya Halmashauri hizo na kuwa chanzo cha mapato kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mlengaji wa kiwanja njoo fasta nimekuletea dhahabu.

    Habari wakuu. Boss njoo fasta hapa Luguruni karibu na ofisi ya mkuu WA wilaya nikupe hiki kiwanja. Sqm 721 na area hii kila sqm moja inauzwa 350000 asee boss njoo fasta. Kiwanja hiki kinataka milion 90. Njoo ulenge hiki kiwanja boss utanishukuru badae 📱0754693556
  8. JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja changu hakina udalali

    Nauza kiwanja changu..kipo vikindu kwa Mzee puga Ukishuka stend VIKINDU nauli ya bajaji ni 700 hadi site Futi 48 kwa 54 Bei mil.3 😔Bei hapungui kusema kweli.. ukiwa interested tuongee biashara na msimu mzuri wa kujua viwanja ni huu msimu wa mvua
  9. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Shinyanga Wafikia Asilimia 75, Kukamilika Juni 2025

    UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SHINYANGA WAFIKIA ASILIMIA 75, KUKAMILIKA JUNI 2025 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde ameieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), kuwa kiwanja cha ndege cha Shinyanga kitakamilika mwezi juni mwaka huu. Amesema hadi...
  10. JamiiForums Tanzania Wazee kuna jamaa yangu ametapeliwa kiwanja anaomba msaada afanyaje

    Huyu jamaa alinunua kiwanja mwaka 2005 kiwanja kilikua kimepimwa Kwa maelezo yake wakati ananunua muuzaji alitoa mawe ya namba za kiwanja kimya kimya ndio zkamuuzia mwaka 2018 jamaa akajenga nyumba kubwa ya vyumba vitano Sasa wiki iliyopita yule jamaa aliemuuzia kuyumba kiuchumi akamgeuka...
  11. JamiiForums Tanzania Kiwanja au Biashara

    Habarini wana JF poleni na majukumu ya kila siku. Moja kwa moja ningependa kwenda kwenye maada kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mwenye familia ya mke na mtoto mmoja nayeendelea kupambana kila kukicha katika kibarua changu chenye malipo ya kawaida. Nimekuwa napata shida...
  12. JamiiForums Tanzania Nauza Kiwanja: Ubungo Kibamba Shule

    wazee na Vijana wa JF Nauza kiwanja kiko Kibamba shule 👉 Ibwegere size mita 20 kwa 20 Kutoka kibamba shule hadi Site ni 1,500 Tsh kwa Boda Bei elekezi 4,000,000 Tsh Simu ziite 0744-033-555
  13. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Bunju A

    Kiwanja kipo nzugun A au nzugun ya mahoma Square meter 970 ni kizuri kwa makazi Hakina mgogoro kina risiti za mauzo ya awali 0752768907
  14. W

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinapatikana Bei Poa Bukoba Mjini

    🔹 Eneo: Ishambya, Block D, Bukoba Mjini 🔹 Ukubwa: 1,052 sqm 🔹 Umbali: Dakika chache kutoka lami 🔹 Mandhari: Eneo limeendelea, watu tayari wamejenga Inafaa kwa matumizi yote – Makazi, biashara n.k. Miundombinu yote ipo – Maji, umeme, shule, hospitali na huduma nyingine muhimu Wasiliana nami...
  15. JamiiForums Tanzania Wazee wa kuamsha popo, mpo kiwanja gani leo?

    Muda wa kusogea sogea kwenye viwanja unakaribia; vijana wa zamani wanaita muda wa kwenda kuamsha popo. Ni muhimu kujipongeza kidogo pale panapo wezekana, na si kila siku kuwa bize kwenye utafutaji, kwa sababu maisha ni haya haya. Bajeti yangu kwa leo ni finyu sana, kwa hiyo wale warembo...
  16. JamiiForums Tanzania PIC Yataka Wakandarasi Kumaliza kwa Wakati Ujenzi Kiwanja cha Ndege Msalato

    PIC YATAKA WAKANDARASI KUMALIZA KWA WAKATI UJENZI KIWANJA CHA NDEGE MSALATO Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeuelekeza Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuhakikisha wanawasimamia Wakandarasi wanaotekeleza ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha...
  17. M

    JamiiForums Tanzania NAUZA KIWANJA KIPO UBUNGO-GOBA Plot P 44132 chenye 866sqm Bei 45 mil..hakina dalali

    Kichwa cha habari kimejitosheleza kiwanja kina hati kabsaa hakina dalali me ndio muhusika... Phone: 0712183658 Mita 200 toka barabara ya lami ya goba mtaa barabara ya mwishekhe
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Dr Maulidi Kitenge kuwania ubunge Jimbo la KAWE

    1. Mtangazaji nguli na mume wa Mbunge Hanjeh ameonyesha Nia ya kulitwaa Jimbo la KAWE. 2. Kinachosubiriwa kwa sasa ni vikao vya maamuzi vya chama na mafao toka mjengon
  19. JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Luguluni milion 500

    Habari wakuu. Kwa wale maboss zangu wawekezaji nimewaleta kiwanja ambacho kipo Luguluni mkabala na nyumba ya mkuu wa wilaya ya Ubungo. Kiwanja kina sifa sifuatizo. (1) Hati ya wizarani matumizi ya makazi au biashara (2) Sqm 1380 (3)Kiwanja kinatazamana na...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta dalali wa kiwanja

    TANGAZO: NATAFUTA DALALI WA KIWANJA Natafuta dalali wa kusaidia kuuza kiwanja changu kilichopo Bukoba Mjini. Kiwanja kina eneo zuri, kipo kwenye mahala pazuri kwa makazi au biashara, na kina hati halali. Dalali anayejua soko la viwanja Bukoba na anaweza kupata mteja haraka awasiliane nami...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…