kiwanja

  1. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wazee kuna jamaa yangu ametapeliwa kiwanja anaomba msaada afanyaje

    Huyu jamaa alinunua kiwanja mwaka 2005 kiwanja kilikua kimepimwa Kwa maelezo yake wakati ananunua muuzaji alitoa mawe ya namba za kiwanja kimya kimya ndio zkamuuzia mwaka 2018 jamaa akajenga nyumba kubwa ya vyumba vitano Sasa wiki iliyopita yule jamaa aliemuuzia kuyumba kiuchumi akamgeuka...
  2. Jitu la-Mtumba

    JamiiForums Tanzania Kiwanja au Biashara

    Habarini wana JF poleni na majukumu ya kila siku. Moja kwa moja ningependa kwenda kwenye maada kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mwenye familia ya mke na mtoto mmoja nayeendelea kupambana kila kukicha katika kibarua changu chenye malipo ya kawaida. Nimekuwa napata shida...
  3. excel

    JamiiForums Tanzania Nauza Kiwanja: Ubungo Kibamba Shule

    wazee na Vijana wa JF Nauza kiwanja kiko Kibamba shule 👉 Ibwegere size mita 20 kwa 20 Kutoka kibamba shule hadi Site ni 1,500 Tsh kwa Boda Bei elekezi 4,000,000 Tsh Simu ziite 0744-033-555
  4. Vanclassic

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Bunju A

    Kiwanja kipo nzugun A au nzugun ya mahoma Square meter 970 ni kizuri kwa makazi Hakina mgogoro kina risiti za mauzo ya awali 0752768907
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinapatikana Bei Poa Bukoba Mjini

    🔹 Eneo: Ishambya, Block D, Bukoba Mjini 🔹 Ukubwa: 1,052 sqm 🔹 Umbali: Dakika chache kutoka lami 🔹 Mandhari: Eneo limeendelea, watu tayari wamejenga Inafaa kwa matumizi yote – Makazi, biashara n.k. Miundombinu yote ipo – Maji, umeme, shule, hospitali na huduma nyingine muhimu Wasiliana nami...
  6. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kuamsha popo, mpo kiwanja gani leo?

    Muda wa kusogea sogea kwenye viwanja unakaribia; vijana wa zamani wanaita muda wa kwenda kuamsha popo. Ni muhimu kujipongeza kidogo pale panapo wezekana, na si kila siku kuwa bize kwenye utafutaji, kwa sababu maisha ni haya haya. Bajeti yangu kwa leo ni finyu sana, kwa hiyo wale warembo...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PIC Yataka Wakandarasi Kumaliza kwa Wakati Ujenzi Kiwanja cha Ndege Msalato

    PIC YATAKA WAKANDARASI KUMALIZA KWA WAKATI UJENZI KIWANJA CHA NDEGE MSALATO Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeuelekeza Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuhakikisha wanawasimamia Wakandarasi wanaotekeleza ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania NAUZA KIWANJA KIPO UBUNGO-GOBA Plot P 44132 chenye 866sqm Bei 45 mil..hakina dalali

    Kichwa cha habari kimejitosheleza kiwanja kina hati kabsaa hakina dalali me ndio muhusika... Phone: 0712183658 Mita 200 toka barabara ya lami ya goba mtaa barabara ya mwishekhe
  9. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dr Maulidi Kitenge kuwania ubunge Jimbo la KAWE

    1. Mtangazaji nguli na mume wa Mbunge Hanjeh ameonyesha Nia ya kulitwaa Jimbo la KAWE. 2. Kinachosubiriwa kwa sasa ni vikao vya maamuzi vya chama na mafao toka mjengon
  10. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Luguluni milion 500

    Habari wakuu. Kwa wale maboss zangu wawekezaji nimewaleta kiwanja ambacho kipo Luguluni mkabala na nyumba ya mkuu wa wilaya ya Ubungo. Kiwanja kina sifa sifuatizo. (1) Hati ya wizarani matumizi ya makazi au biashara (2) Sqm 1380 (3)Kiwanja kinatazamana na...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta dalali wa kiwanja

    TANGAZO: NATAFUTA DALALI WA KIWANJA Natafuta dalali wa kusaidia kuuza kiwanja changu kilichopo Bukoba Mjini. Kiwanja kina eneo zuri, kipo kwenye mahala pazuri kwa makazi au biashara, na kina hati halali. Dalali anayejua soko la viwanja Bukoba na anaweza kupata mteja haraka awasiliane nami...
  12. Supu ya kokoto

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja bajeti 4ml

    Nahitaji kiwanja Buswelu,mwanza kwa bajeti tajwa hapo juu. Asante
  13. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kitunda Magole

    Habari Wakuu naomba connection ya kiwanja KITUNDA MAGOLE nahitaji ninunue
  14. DalaliBinamu

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kilichopimwa Mbezi Beach Juu

    Ukubwa wa Kiwanja 500 sqm ( 25 Mita × 20 Mita ), Bei Tshs 35 Milioni Contact _ 0716442950 | 0687614981 Kama unahitaji kikubwa zaidi, unaweza kuchukua viwanja viwili vilivyopakana, Vipo viwanja vingi.
  15. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Mbezi Beach Sqm 12,000

    Habari maboss. Hiki kiwanja kipo Mbezi Beach Tangi Bovu. Kutoka eneo la kiwanja hadi barabara kuu ya bagamoyo Road ni umbali wa Mita 200 Kiwanja hiki kilikuwa ni kiwanda cha mkonge na bado kina hati kwajili ya matumizi ya kiwanda. Kiwanja hiki kinafaa kwajili ya kwajili ya matumizi ya...
  16. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Mbezi beach kiwanja kinauzwa

    KIWANJA HIKI HAPA KINAFAA SANAA KWA MAKAZI NA HATA BIASHARA UJENZI WA APARTMENTS Kiwanja kipo ushuani sanaa, Ni mbezi Beach kwa Mwamnyange Mitaa safi, ukijenga nyumba ya kuishi au Ukijenga apartments basi zitakuletea faida kwa haraka sana Ukubwa wa kiwanja ni sqm 900 Kina Hati safi Bei milion...
  17. DalaliBinamu

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kilichopimwa Kinauzwa Mbezibeach Juu

    Viwanja vimepimwa vina mawe. Ukubwa 500 sqm - Tshs 40,000,000/= Ukubwa 1000 sqm - Tshs 80,000,000/= Call or Whatsapp 0716442950
  18. DalaliBinamu

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale KINAUZWA KIWANJA CHENYE HATI DAR ES SALAAM

    Ukubwa wa Kiwanja - 1100 sqm Mahali - Goba centre Bei - Tshs 70,000,000/= Hati ya wizara ipo Call - 0716442950 or 0687614981
  19. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinahitajika Moshi

    Natafuta kiwanja, kiwe medium or low density area. Niko Moshi. Kisiwe 20x20, kianzie 30 x40 au 40×40. Asante, PM.me kama una connection
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Haujengi kwenye kiwanja chako kwa sababu uliyemkabidhi akulindie kakichezea

    Haya maono niliyapata kitambo sana ila leo nimeamua kuyawasilisha. Watu wengi wana mtindo wa kununua maeneo halafu wanatafuta mwenyeji wa pale wanamkabidhi awalindie. Wanamruhusu "mlinzi wao" alime na kinachopatikana achukue. Kinachotokea yule unayemkabidhi ananogewa na fursa ya kulima na...
Back
Top Bottom