kiwanja

  1. M

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA KUUZA KIWANJA – IHUNGO, BUKOBA MJINI

    TANGAZO LA KUUZA KIWANJA – IHUNGO, BUKOBA MJINI Nauza kiwanja changu kilichopo Ihungo, Bukoba Mjini. Kiwanja ni tambarare, kina ukubwa wa 20m x 40m, na barabara inapitika vizuri hadi kiwanjani. 📍 Mahali pazuri kwa makazi 🏫 Shule, hospitali na maduka vipo karibu 📄 Miliki halali, salama...
  2. radhiya

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Kinauzwa Kigamboni Tuangoma

    Kiwanja Kinauzwa, kimezungushiwa uzio na kipo kwenye kona (Corner plot). Mahali: Kigamboni Tuangoma, karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Wilaya. Kipo kilomita 1 kutoka barabara ya kuelekea Tuangoma. Ukubwa wa Eneo: SQM 1265. Bei: Tzs Milioni 100. Maongezi yanaruhusiwa. Nyaraka: Hatimiliki. Gharama...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania kama unataka kiwanja nunua kipindi hiki cha mvua ulijue eneo vizuri

    usinunue kipindi cha kiangazi kama unataka kiwanja tafuta msimu wa mvua eneo unaliona vizuri kama lina asili ya matope au kuna maji yanapita chini kwa chini ili kuepuka changamoto.Na bora matope kuliko ununue kiwanja sehemu ambayo ni wetland.kiangazi hutagundua .
  4. Blaszczykowski

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauza nusu Heka - Dar es salaam - Bunju A

    Habari . Kiwanja kinauza takribani nusu heka kipo Dar es salaam -wilaya kinondoni -Bunju A karibu na Sarafia school. Price - 95m maongezi yapo -kutoka bagamoyo road mpaka site NI DK 10 Tu ( mtaa WA madoctor ) Full document zipo ukitaka kupaona anytime nipo apa Bunju WhatsApp / call 0715160365
  5. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja safi chenye hati, SQM 400, Tsh. Milioni 55, Kigamboni darajani

    .....
  6. MNEKI

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Msalato -Dodoma

    Deleted
  7. dalalitz

    JamiiForums Tanzania KIWANJA CHENYE MSINGI, SQM.500, KINAUZWA NA BANK,TSHS.13 MILIONI, MBEZI-MSAKUZI.

    ....
  8. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Kiwanja sqm.4,000, tshs.65 milioni, picha-ya-ndege, Kibaha

    ...
  9. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Nyumba mbili, kiwanja sqm. 3,000, tshs.110 milioni,kiluvya kwa komba kinauzwa

    ....
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Arusha olasiti darajani barabara ya Mrombo

    Kiwanja kinauzwa arusha olasiti kipo njia ya mrombo kabla ya ffu kambi darajan kulia ukitokea mjini mita 800 kutoka lami mpaka kwenye kiwanja huduma zote zipo karibu kiwanja kina hati ni 18*25 eneo lipo barabarani kwenye barabara za mitaa bei ni 20m maongezi yako. Serious only 0629194102.
  11. radhiya

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Kinauzwa Kigamboni Tuangoma

    Kiwanja Kinauzwa, kimezungushiwa uzio na kipo kwenye kona (Corner plot). Mahali: Kigamboni Tuangoma, karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Wilaya. Kipo kilomita 1 kutoka barabara ya kuelekea Tuangoma. Ukubwa wa Eneo: SQM 1265. Bei: Tzs Milioni 100. Maongezi yanaruhusiwa. Nyaraka: Hatimiliki. Gharama...
  12. asanteelimu2016

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Toangoma

    Nauza kiwanja kipo Toangoma Malela Ukubwa sqm 800 (40×20) Kiwanja kina hati ya wizara miaka 90 Mtaa umepangika vizuri na barabara za mtaa safi. Kilometa 1.5 kutoka barabara ya Kongowe Kigamboni (Funcity) Kilometa 1 kutoka barabara ya vikunai Chekechea. Bei Tsh Milioni 18 (Neg) 0717727504
  13. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja sqm 535, kina hati

    Eneo hili liko Pangani - Kibaha Mji, jirani na ofisi za Mitamba, umbali wa kilomita 2.5 kutoka kituo cha mabasi cha Kibaha na Kibaha Shopping Mall, au kilomita 1 kutoka mnada maarufu wa mbuzi wa Jumamosi (Loliondo). Linapatikana kupitia barabara ya Tamco-Mapinga, ambayo ipo katika ujenzi wa...
  14. KOMANDO YOSO

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanza isipate Uwanja mzuri wa mpira?

    KWANINI Mwanza isipatiwe kiwanja cha mpira kizuri kama jiji la Dar, Arusha na Dodoma. 1.Mwanza ni jiji la pili Tanzania kwa watu wengi 2.Mwanza inatoa vipaji vya mpira vingi sanaa kama Aisha masaka,mrisho ngasa na wengine wengi. 3.Mwanza pia ni jiji lenye vivutio vya utalii pia na ni...
  15. Say my name

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Dodoma, Nkuhungu

    Habarini za muda huu wana jukwaa?, kiwanja kisicho na kipengele chochote kinauzwa kwa bei ya jioni kabisa, kipo karibu na shule ya saint home ya Nkuhungu, kwa mwenye uhitaji apige namba ifuatayo 0623799381, details nyingine zipo kwenye kielelezo cha picha hapa chini ya uzi huu!
  16. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kwa matumizi ya sheli kinauzwa Chumbuya Songwe

    Kiwanja kwa matumizi ya sheli kinauzwa Chumbuya mkoa wa Songwe kiwanja sq 2800. Tshs. 300m mazungumzo yapo. Wasiliana nasi +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  17. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Kituo cha mafuta kinauzwa mkoa wa Songwe,

    Kituo cha mafuta kinauzwa mkoa wa Songwe, kiwanja kina ukubwa wa sq 2500, kina hati kwa ajili ya matumizi ya kituo cha mafuta Tshs 350m. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050 nyote mnakaribishwa!!
  18. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa 6.5m lipa taratibu

    Kiwanja kipo kibaha, hati ipo, kimelipiwa serikalini kwa control number hakuna dalali wasiliana 0764 714 801.
  19. youngkato

    JamiiForums Tanzania Kiwanja nyashishi mwanza nakiuza

    Biashara inaleta faida kuliko kiwanja, bora nikiuze niongeze mzunguko kwenye biashara yangu. Bei ni 2.5 m Urefu hatua 30 kwa 25 Maeneo yamepimwa, hati ya serikali ya mtaa, Kinapatikana nyashishi, barabara ya vumbi inayoelekea kule inakojengwa bandari kavu. 2.5 cash Piga simu namba...
  20. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Forest mpya

    Kiwanja kinauzwa Forest mpya sq 2100 tshs 80m, mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050, nyote mnakaribishwa!!
Back
Top Bottom