kiwanja

  1. JamiiForums Tanzania Kiwanja cha biashara kinapangishwa

    Kiwanja kinapangishwa barabarani eneo la buyuni kuelekea Chanika ukubwa wa sqm 1300 bei 400,000 kwa mwezi. Mawasiliano 0784336063
  2. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Je, ninunue kiwanja kilichopimwa na kisichopimwa?

    Habari wadau, Binafsi nimeamua mwaka huu nami nimiliki eneo maana naona umri unazidi kuyoyoma sitaki kuja kuwa historia huko mbeleni. Mada ya huu uzi ni hivi nimeenda kuangalia kiwanja tuanze na kisichipomwa ni kuwa kinauzwa millioni 3 lakini mwenyewe anapokea hata 2M na nyingine kidogo kidogo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Kiwanja kinauzwa 5.5m

    Sifa za kiwanja Chanika mwisho-Zogo Ali Ukubwa 19m*19m Kina msingi imara, vyumba vitatu, kimoja master, sitting, dinning, public toilet, jiko Kina njia za gari pande mbili Umeme upo karibu Simu 0745321705
  4. K

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza Boma langu lililojengwa kwenye kiwanja, ukubwa wa zaidi robo eka

    Salam kwenu wakuu. Picha ambatanishi ni boma la nyumba yangu,lipo Tanga Mjini-Neema area. Lina vyumba vitatu. Masterroom 1 Vyumba vya kawaida -2 Sitting room Dinning room Kitchen na store yake. Public toilet. Maji ya bomba yapo hapo hapo,bomba limepita mbele ya Kiwanja. Kumezungukwa na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nauza boma langu lililo kwenye kiwanja cha zaidi ya robo eka!!

    Salam kwenu wakuu. UPDATES; Shukrani kwa wote mliochangia na hata waliosoma tu,JF iliwezesha kufahamiana miongoni mwetu na jambo langu limepata ufumbuzi!! Mbarikiwe!! Picha ambatanishi ni boma la nyumba yangu,lipo Tanga Mjini-Neema area. Lina vyumba vitatu. Masterroom 1 Vyumba vya kawaida...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo zuri kwajili ya hospital, yard, shule etc. Linauzwa

    Tsh. 180 MILLION NEG, KIFURU HALI YA HEWA, NJIA YA KUELEKEA MBEZI LOUS SUITABLE FOR, school, hospital, yard 🎁2 Acre SIZEπŸ—žοΈSurveyed Area with beacon☎️0767264754/0739441351
  7. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja maeneo ya Kibugumo Kigamboni, Bajet 2.5M

    Habari Wana jukwaa Natafuta kiwanja BAJETI 2.5M, maeneo ya kibugumo Kigamboni,
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kuangalia uhalali wa kiwanja kwa smart phone

    Wakuu habari zenu, nawasalimu, pia niki wapongeza kwa kumaliza matumizi ya mshahara bila maumivu. Ok naomba kujuzwa, je inawezekana kuangalia barcode au mawe ya viwanja vilivyopimwa kwa kutumia App au formula yoyote ile kwa simu janja. Naomba msaada wenu juu ya hili.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi, sio lazima kisheria jina la mke na mme kuwa kwenye hati ya kiwanja

    NDG. LUKUVI, SIO LAZIMA KISHERIA JINA LA MKE NA MME KUWA KWENYE HATI YA KIWANJA. Na Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241. Lazima tunapotoa kauli tuwe tunatofautisha matamanio yetu, na kile sheria inachosema. Tuangalie haya 6 kuhusu kauli ya ndg Lukuvi. 1. Mpaka sasa hakuna sheria...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi: Kuanzia sasa ukiwa na kiwanja kinatakiwa kiitwe kwa jina lako na la mke wako

    Serikali imesema sheria inaruhusu hati ya kumiliki viwanja kuandikwa majina ya familia ikiwemo mume, mke pamoja na watoto hatua ambayo itasaidia kuondoa migogoro ya mirathi. Akizungumza leo Jumamosi Desemba 19, mkoani Kilimanjaro. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliamu Lukuvi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Magogoni

    Eneo Lilipo: Kigamboni Magogoni Aina ya eneo: Eneo la makazi Ukubwa wa kiwanja: 1350 sq meters Mazingira ya eneo: Eneo tulivu lenye makazi ya watu Umbali kutoka ferry km 5 na umbali kutoka barabara ya lami ni mita 150 Huduma za kijamii: Umeme na Maji vyote vipo Nyaraka: Full Documents...
  12. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa 70 kwa 70 Kigamboni Mwembe Mdogo

    Habari wadau! Nauza kiwanja changu mwembe mdogo kigambo mbele kidogo na ya Dege umbali kutaka Ferry nikama km 25 kufika kwenye kiwanja. 1.UKUBWA hatua 70 kwa 70 2.MUONEKANO Kiwanja kiko tambalale akuna milima wala mabonde kimenyooka 3.DOCUMENTS Hati za serekali...
  13. JamiiForums Tanzania Kubadilisha hati ya kiwanja ya kijiji/ kitongoji kuwa legal doccument

    Habari wataalam, Kuna sehemu nimeomba mkopo ila katika kipengele cha dhamana (Collateral) nina hati ya kiwanja kupitia serikali ya kijiji, wahusika wamenambia ili waikubali niipeleke kwa mwanasheria ili iwe legal doccument. Sasa nnachotaka kujua hii hati yangu nikiipeleka kwa mwanasheria...
  14. JamiiForums Tanzania Naitaji Kiwanja cha makazi na biashara Dodoma

    Salaam. Jaman naitaji Kiwanja kwa matumizi ya makazi na biashara Mjini dodoma Ningependa Sana ukubwa wa kiwanja uwe Sq m 1500 to 2000. Na maeneo ambayo naitaji ni ilazo, Nkuhungu, au nje ya mji kidogo njia ya kwenda Dar au Iringa. Kwa yeyote ambae anauza au anamjua anaeuza basi anijulishe...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbagala Chamanzi

    KIWANJA KINAUZWA KIPO-DAR ES-SALAAM Tz MAHALI-MBAGALA ENEO - CHAMANZI β–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒβ–ƒ UMBALI DK 4 TOKA BARABARA KUU YA LAMI __________ NYUMA YA SHULE YA SEKONDARI YA CHAMANZI _______ UKUBWA WAKE KIMEPIMWA #SQM_2643 _____ NYARAKA ZA UMILIKI KINA #HATI SAFI _____________...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa mwanza

    Nauza kiwanja mwanza maeneo ya bwiru kwa maelezo zaidi nicheki
  17. JamiiForums Tanzania Kubadirisha jina la kiwanja

    Habari zenu wakuu..! Mimi nimenunua kiwanja lakini hicho kiwanja kina mambo ya mirathi..Lakini kila kitu tumeweka sawa mahakani. Tatizo kubwa lipo kwenye kubadirisha jina kutoka kwa muuzaji kuja kwangu.Kiwanja nimenunua kwa Sh 4500000. Afsa Ardhi ananiambia gharama za kubadilisha majina ni Sh...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dar es Salaaam

    Wakuu natafuta kiwanja 25*30 au 30*30 kusiwe mbali sanaa na City center angalau 16-22km
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta Kiwanja cha kujenga jijini Dar. Nina Sh. Milioni 40

    Wakuu, Bajeti yangu ni TSH. 30,000,000 ingawa naweza kujivuta ikafika 40,000,000 nikipata kiwanja kizuri. Natafuta kiwanja kilichopimwa hasa maeneo ya Goba lakini maeneo ambayo tayari yameendelezwa. Kama unacho kiwanja (chako mwenyewe) au unamjua mwenye kiwanja maeneo haya, tafadhali...
  20. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbezi Mwisho, Sqm 1100

    Nimeshauza tayari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…