kiwanja

  1. Kiwanja kikali cha gharama ndogo Dar ni kipi? Mgeni nipo huku

    Wenyeji nipeni location ya kiwanja cha gharama nafuu Kwa hizi siku tano nitakazokuwa hapa jijini
  2. Nauza Eneo Langu Morogoro Mjini

    Habari wakuu Nauza eneo langu lenye ukubwa wa kari 3 liloko Mkoa wa Morogoro, eneo la Wami Luhindo (km 20 toka msamvu stend, Dodoma road) , Kisha unaingia bara bara ya vumbi na gari km 8 hadi eneo la kiwanja. Eneo liko jirani na kiwanda cha nyama. Bei ya kuanzia kwa ekari ni laki 8 Kwa maswali...
  3. Plot4Sale Nina shida sana, nauza hiki kiwanja kipo Arusha Mjini

    Salaam Wakuu Nauza Kiwanja shilingi milioni 7.5 fixed Arusha mjini. Mahali Kilipo ni Engosheratoni Kata ya Sinoni Arusha. Ukubwa wa Kiwanja ni 550sqm. Haki miliki ya kiwanja kinatambulika na serikali ya mtaa, hii ni kwa maeneo yote ya engosheratoni. Ukaribu wa Kiwanja kipo karibu na shule ya...
  4. Nauza kiwanja changu Arusha mjini kwa Tsh 7.5 milioni

    Kiwanja ni changu mwenyewe na kina ukubwa wa 520 SQM. Kipo Engosheraton kata ya Sinoni. Jirani kabisa na Shule ya Sekondari ya Misheni ya Edmund Rice. Kiwanja kimezungukwa na Huduma zote za kijamii. Wasiliana nami kwa 0744718928. karibuni sana.
  5. Plot4Sale Nauza kiwanja Changu Magomeni Mtwara

    Salama wakuu? Nauza kiwanja Mtwara Mjini bei 6Milioni. -Kipo magomeni, 1 km kutoka stendi kuu ya mabasi Mtwara. -kuna banda watu wanakaa -kipo jirani na chuo cha afya COTC -Kimepimwa sqm 317 na hati ya wizara ninayo. -Tambalale,barabara,umeme na maji vipo hapo hapo. Mawasiliano 0769476225
  6. A

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha

    Kiwanja kipo kibaha kwa Mathias kidenge.vipo viwili Kila kimoja ukubwa squire meter 400. Bei kwa kimoja milioni tatu. Kwa vyote viwili milioni 5. Km 5 kutoka morogoro road Barabara nzuri ya lami,bajaji 1000. Huduma zote za kijamii zipo,umeme na maji ya dawasco. Mawasiliano :+255766042214
  7. A

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kibaha

    Kiwanja kipo kibaha kwa Mathias kidenge.vipo viwili Kila kimoja ukubwa squire meter 400. Bei kwa kimoja milioni tatu. Kwa vyote viwili milioni 5. Km 5 kutoka morogoro road Barabara nzuri ya lami,bajaji 1000. Huduma zote za kijamii zipo,umeme na maji ya dawasco. Mawasiliano :+255766042214
  8. Kiwanja robo Heka kinauzwa korogwe mjini

    Ni hatua chache kutoka magunga hospitali Kuna umeme na maji, kipo flat Bei Haipungui Tsh 2,500,000 tu Nipigie 0746 266 267
  9. Rais Samia amkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Hati ya Kiwanja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia Hati ya Kiwanja kilichopo Arusha kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi zao mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023. Rais wa...
  10. P

    Kiwanja kinahtajika Tanga mjini

    Habari zenu, Kiwanja kinahtajika Tanga mjini isizid 1.5 - 2M. Mwenye nacho anisaidie. Asanteni
  11. P

    Natafuta kiwanja Tanga

    Habari zenu, Nahitaji kiwanja kwa Tsh 1.5 - 2m mkoa ya Tanga kwenye mitaa kama Duga, Mwahako, Tangasisi, Mwang'ombe, Mikanjuni, Mwanzange, Kasera, Msambweni, Magaoni, Mwambani, Mwakidila, Donge, Kange, Pongwe etc. Kwa yeyote alokuwa nayo naomba uniambie. Asanteni.
  12. K

    Plot4Sale Nauza kiwanja kwa Tsh. Milioni 3

    Salam wakuu, Nauza kiwanja chenye urefu wa mita 35 na upana mita 20. Kimepimwa(surveyed) Bei ni Tsh. Milioni 3 Plot number 594 Location: Morogoro, Mkundi. Mawasialiano zaidi: WhatsApp number 0742666736
  13. M

    Nahitaji kiwanja Mabwepande, Bunju B

    Habari Wadau! Naitaji kiwanja Mabwepande Bunju B. Kama uncho njoo na Offer yako. Wasalaam.
  14. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Zanzibar - kina ukubwa wa mita mraba 800

    Kiwanja kipo eneo la Chonga wilalya ya Chake chake Kina ukubwa sqm 850 Kipo mita 30 kutoka barabara kuu *Kiwanja kipo karibu msikiti na hospital ya Chonga Umeme ushafika hauhitaji nguzo Madrasa ya Qurani yapo hapohapo Kuna miti (3) ya mikungu, mshelisheli (1) na muembe ng'ongo (1) Bei Tsh...
  15. M

    Kiwanja Tegeta wazo-kontena kinauzwa

    Kiwanja kinauzwa tegeta wazo ,sehemu inaitwa Kontena.500m kutoka barabara kuu Ukubwa:Sqm 2879 Number ya kiwanja 201 Bei :90m Mazungumzo ruksa Hati ipo Njoo DM kwa ambaye yupo serious. Mm
  16. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibamba shule

    Wakuu Kiwanja kinauzwa. Kipo Kibamba Shule kituo kinaitwa Bwawani kama unaelekea Kibwegele. Ukitembea kwa mguu ni mwendo wa dakika 3 hadi 4 kutoka barabara kubwa. Ukubwa ni 20 × 20. Bei ni 5.5M. Haipungui hata mia. Kiwanja ni cha kwangu mwenyewe, mi sio dalal. Kama unahitaji, comment hapa...
  17. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, kipo Boko Kalifonia

    Wanandugu KIWANJA KIPO SOKONI (40 urefu kwa 22upana) Sifa ya kiwanja 1. Kipo sehemu nzuri, karibu na Barabara ya mtaa ya gari na pikipiki 2. Hakipo mbali na Barabara kuu ya lami yaani itokayo huko BUNJU KWENDA HUKO MWENGE NA MAKUMBUSHO utaona mwenyew ukiwa eneo la tukio au tazama picha chini...
  18. Plot4Sale Tunauza viwanja katika maeneo mbalimbali

    Ukubwa wa kiwanja: 650 Sqm. Eneo: Goba Kulangwa, barabara mpya ya lami ya Kuelekea Madale. Bei: Tshs 25,000,000 (Milioni 25) Kina hati ya wizara. Contact : 0742141467
  19. H

    Kiwanja kinauzwa Mbweni-kizuri mnoo

    Size sqmt 877. Bei 100m, aliye serious mazungumzo yapo. Muhusika anasafiri kwenda Marekani mwezi ujao, so anahitaji mteja kabla hajasafiri. Eneo ni Mbweni JKT, ni pazuri mnoo, njoo mwenyewe ujionee. Umeme upo. Mpangilio wa nyumba ni mzuri sana Eneo lina utulivu na upepo mzuri. Lipo 100m kutoka...
  20. Y

    Natafuta Kiwanja Dar es Salaam

    Wakuu habari za majukumu, Wakuu nauliza kwa Dar naweza pata wapi kiwanja kizuri walau sqm 600 kwa hapa Dar es Salaam kwa bajeti ya 9m mpaka 15?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…