kiwanja kinauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. radhiya

    Kiwanja Kinauzwa Kigamboni Tuangoma

    Kiwanja Kinauzwa, kimezungushiwa uzio na kipo kwenye kona (Corner plot). Mahali: Kigamboni Tuangoma, karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Wilaya. Kipo kilomita 1 kutoka barabara ya kuelekea Tuangoma. Ukubwa wa Eneo: SQM 1265. Bei: Tzs Milioni 100. Maongezi yanaruhusiwa. Nyaraka: Hatimiliki. Gharama...
  2. MNEKI

    Kiwanja kinauzwa Msalato -Dodoma

    Deleted
  3. F

    Kiwanja kinauzwa Arusha olasiti darajani barabara ya Mrombo

    Kiwanja kinauzwa arusha olasiti kipo njia ya mrombo kabla ya ffu kambi darajan kulia ukitokea mjini mita 800 kutoka lami mpaka kwenye kiwanja huduma zote zipo karibu kiwanja kina hati ni 18*25 eneo lipo barabarani kwenye barabara za mitaa bei ni 20m maongezi yako. Serious only 0629194102.
  4. radhiya

    Kiwanja Kinauzwa Kigamboni Tuangoma

    Kiwanja Kinauzwa, kimezungushiwa uzio na kipo kwenye kona (Corner plot). Mahali: Kigamboni Tuangoma, karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Wilaya. Kipo kilomita 1 kutoka barabara ya kuelekea Tuangoma. Ukubwa wa Eneo: SQM 1265. Bei: Tzs Milioni 100. Maongezi yanaruhusiwa. Nyaraka: Hatimiliki. Gharama...
  5. asanteelimu2016

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Toangoma

    Nauza kiwanja kipo Toangoma Malela Ukubwa sqm 800 (40×20) Kiwanja kina hati ya wizara miaka 90 Mtaa umepangika vizuri na barabara za mtaa safi. Kilometa 1.5 kutoka barabara ya Kongowe Kigamboni (Funcity) Kilometa 1 kutoka barabara ya vikunai Chekechea. Bei Tsh Milioni 18 (Neg) 0717727504
  6. Say my name

    Kiwanja kinauzwa Dodoma, Nkuhungu

    Habarini za muda huu wana jukwaa?, kiwanja kisicho na kipengele chochote kinauzwa kwa bei ya jioni kabisa, kipo karibu na shule ya saint home ya Nkuhungu, kwa mwenye uhitaji apige namba ifuatayo 0623799381, details nyingine zipo kwenye kielelezo cha picha hapa chini ya uzi huu!
  7. K

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa 6.5m lipa taratibu

    Kiwanja kipo kibaha, hati ipo, kimelipiwa serikalini kwa control number hakuna dalali wasiliana 0764 714 801.
  8. Dalali mbeya jiji

    Kiwanja kinauzwa Forest mpya

    Kiwanja kinauzwa Forest mpya sq 2100 tshs 80m, mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050, nyote mnakaribishwa!!
  9. Dalali mbeya jiji

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbeya

    Kiwanja kinauzwa Forest mpya. Sq 1800. Tshs 75m, mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050, nyote mnakaribishwa
  10. Jrweikiza

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbezi Kwa Musuguri

    Kiwanja ukubwa 656 M2 kinauzwa sh 45Mil. Kipo Mbezi Kwa Musuguri barabara ya zege iendayo malamba mawili. Kiko umbali wa mita 32 kutoka barabara kuu. Mawasiliano 0713273195.
  11. Dalali wa Mjini

    Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Mbezi Beach Sqm 12,000

    Habari maboss. Hiki kiwanja kipo Mbezi Beach Tangi Bovu. Kutoka eneo la kiwanja hadi barabara kuu ya bagamoyo Road ni umbali wa Mita 200 Kiwanja hiki kilikuwa ni kiwanda cha mkonge na bado kina hati kwajili ya matumizi ya kiwanda. Kiwanja hiki kinafaa kwajili ya kwajili ya matumizi ya...
  12. Bosspraise

    Mbezi beach kiwanja kinauzwa

    KIWANJA HIKI HAPA KINAFAA SANAA KWA MAKAZI NA HATA BIASHARA UJENZI WA APARTMENTS Kiwanja kipo ushuani sanaa, Ni mbezi Beach kwa Mwamnyange Mitaa safi, ukijenga nyumba ya kuishi au Ukijenga apartments basi zitakuletea faida kwa haraka sana Ukubwa wa kiwanja ni sqm 900 Kina Hati safi Bei milion...
  13. V

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kange Tanga

    Nauza kiwanja changu chenye hati ,huduma muhimu zipo umeme/maji. Kipo Kasera Kange na ukubwa wa zaidi ya ft 650.Bei Tsh 9500000.00. Simu 0712652110
  14. Mathematician

    Kiwanja kinauzwa (Lingato Kigamboni Dar es Salaam)

    Ninauza kiwanja cha sqm 4400 - 5000 kiko Lingato ambayo iko wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam mpakani na Lugwadu ambayo iko Mkuranga Pwani. Ni maeneo jirani na kwa Pinda Kigamboni. Bei maelewano nicheki 0783677210
  15. P

    Kiwanja kinauzwa kwa Bedui (Tegeta A) Goba karibu na kanisa la Wasabato

    Kiwanja kinauzwa goba tegeta "A" kwa bedui Dakika 5 tukutoka kwa bedui center Dakika 7 tuu mpaka goba centre Dakika 10 tuu mpaka madale mwisho Kiwanja kina sqm 722 (Upana wastani wa 19m and urefu ni mita 38) Kuna barabara unafika na gari bila tatizo Eneo limejengeka vizuri sana. Kiwanja...
  16. M

    Kiwanja kinauzwa

    Habari.. nauza kiwanja kipo kifuru kingazi ni sqm 700 kwa ml 9.5 tu, mwanzon bei ilkuw ml 11. Ni bei ya ofa hii ni barabara ya Tabata kinyerezi ni dkk 5 Toka main road kufika kiwanja kilipo. Karibu kwa maelezo zaidi hakina dalali 0764423726
  17. M

    Kiwanja kinauzwa

    Habari waungwana... Nauza kiwanja kipo kifuru kingazi ni barabara ya Tabata kinyerezi. Ni sqm 700 kwa ml 9.5 tu bei ya mwanzon ilkuw ni ml 11. Umbali Toka main road ni dakika 5 tu.. ni offer karibun hakina dalali unaongea na mmiliki mwenyewe. 0764423726
  18. uberimae fidei

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kibaha

    Kiwanja kipo kibaha kwa Mathias msangani Ukubwa Mita 40 kwa 20 Milioni 5 Umeme na maji vipo
  19. Exogenous Factor

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside karibu kwa mzee wa Upako, Kibangu Ruge-SQM 2700

    Habari,ninauza kiwanja kilichopo wilaya ya ubungo, Kata Makuburi, kipo karibu na kwa mzee wa Upako. Karibu Km 1.5 kutoka Mandela road. Ni mwendo wa dk 20 kwa miguu kutoka kituo cha daladala ubungo riverside. Kiwanja kina ukubwa wa SQM 2700, kimepimwa, kina nyaraka za serikali ya mtaa (Hati...
  20. Milonji

    Kuna Jamaa anauza Kiwanja kipo Nzuguni B Opposite na Nyumba 3,500 za TBA

    Habari zenu, Kuna Jamaa anauza Kiwanja kipo Nzuguni B Opposite na Nyumba 3,500 za TBA. Kipo Mahali pazuri sana, nimekiona na nilitaka kununua ila tumepishana bei kidogo. Ukubwa ni SQM 541 Jamaa kakomaa bei 11,000,000/= Karibu Inbox nikupe namba ya Mhusika.
Back
Top Bottom