kiwanja kinauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. radhiya

    Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Kimara Temboni

    Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta. Mahali: Kimara Temboni. Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale. Ukubwa wa Eneo: SQM 308. Bei: Tzs Milioni 35. Nyaraka: Hati ya mauziano ya Serikali ya mtaa. Gharama ya kwenda kuona Eneo...
  2. Kekule Wa Benzene Ring

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kisemvule njia panda ya Kibamba Msikitini

    Nauza kiwanja changu kilichopimwa kipo Kisemvule Njia PANDA ya KIBAMBA MSIKITINI Eneo ni sqm 1700 Price; Million 6. Hakina udalali. Huduma zote za kijamii zinapatikana. Kwa mawasiliano; Njoo PM
  3. bizzle for shizzle

    KIWANJA KINAUZWA MBWENI JKT BLOCK NO 8 KWA MAMA SAMIA

    Kiwanja kizuri kipo 𝖩𝗂𝗋𝖺𝗇𝗂 na bahari Chenye UKUBWA wa sqm za mraba 1000 kina hati miliki kutoka wizara ya Ardhi KINAUZWA kwa shilingi 450 Milion MAONGEZI YAPO jamani huku ni Pazuri sana BARABARA zote ni lami mpaka baharini wamejenga vigogo wengi wa serikali na kuhakikishia ukifika hauchomoki ...
  4. radhiya

    Kiwanja Kinauzwa Kimara Temboni

    Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta. Mahali: Kimara Temboni. Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale. Ukubwa wa Eneo: SQM 308. Bei: Tzs Milioni 35. Nyaraka: Hati ya mauziano ya Serikali ya mtaa. Gharama ya kwenda kuona Eneo...
  5. F

    Plot4Sale Kiwanja Ekari 4 Kinauzwa. Kiwanja Kipo Kigamboni

    Kiwanja chenye ukubwa wa Ekari 4 Kinauzwa. Kiwanza Kipo Mbutu-Kichangani (Kigamboni).Kiwanja Kipo karibu na Shule ya St Lucas ( Barabara ya kutoka Mbutu Kichangani Kuelekea Amani Gomvu/ Avic Town. Kiwanja Kinauzwa Kwa Tshs 100,000,000 ( Milioni Mia Moja). Mawasiliano 0757 786054
  6. Kanali_

    Kiwanja kinauzwa madale mivumoni kids joy

    Kiwanja kipo Madale, Mivumoni kids joy. Ukubwa ni Mita 15 kwa 33, Hati ya serikali ya mtaa na hakina mgogoro, mafuriko wala shida yoyote. Bei Milion 20 (20m) Kwa maelezo zaidi kuhusu kiwanja hiki hizi hapa namba za Sister anayehusika na kiwanja (Mimi nimemsaidia tu kulifikia soko) 0754656274
  7. C

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mvuti Msongola - 1786 SqM

    Kina hati Bei Tzs 35 milioni (Maongezi yapo) Umeme upo Karibu na Barabara ya lami ( km 500m)
  8. Kazanazo

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mwasonga

    Kipo karibu na chuo cha kilimo ukubwa ni 20×20m bei Mil3 maongezi yapo Cc: Kalaga Baho Nongwa
  9. radhiya

    Kiwanja Kinauzwa Kigamboni Tuangoma

    Kiwanja Kinauzwa, kimezungushiwa uzio na kipo kwenye kona (Corner plot). Mahali: Kigamboni Tuangoma, karibu na nyumba ya Mkuu wa Wilaya. Kipo km 1 kutoka barabara ya kuelekea Tuangoma. Ukubwa wa Eneo: SQM 1265. Bei: Tzs Milioni 100. Maongezi yanaruhusiwa. Nyaraka: Hatimiliki. Gharama ya kwenda...
  10. radhiya

  11. No SQL

    Plot4Sale KIWANJA KINAUZWA KAHAMA (1730 SQM) KIPO NYASUBI CHINI YA ROCKEN HILL PRIMARY

    Hope all is well oooh.. Tafadhali, husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu... Kiwanja kina; -Hati -Maji - Umeme -Nyumba (ya zaman ) anaish anaelinda eneo PRICE : 80M Kama upo interested nichek inbox nikupe namba ya owner mtaongea. Maboss wa JF karibuni, lakini mnikumbuke kidogo kijana wenu.
  12. No SQL

  13. Dalali mbeya jiji

    Kiwanja kinauzwa Iwambi block E sqm 1100

    Kiwanja kina uzwa Iwambi block E. Sqm 1100. Bei Tshs 30m. Mazungumzo yapo. Wasiliana nasi +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  14. radhiya

    Kiwanja Kinauzwa Kigamboni Tuangoma

    Kiwanja Kinauzwa, kimezungushiwa uzio na kipo kwenye kona (Corner plot). Mahali: Kigamboni Tuangoma, karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Wilaya. Kipo km 1 kutoka barabara ya kuelekea Tuangoma. Ukubwa wa Eneo: SQM 1265. Bei:Tzs Milioni 100. Maongezi yanaruhusiwa. Nyaraka: Hatimiliki. Gharama ya...
  15. Dalali mbeya jiji

    Kiwanja kinauzwa Jakaranda,Mbeya

    Kiwanja kinauzwa Jakaranda Mbeya. Sqm 1200, bei Tshs 120m, Jakaranda ni mahali pazuri kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za makazi hasa apoartments. Wasiliana nasi:+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  16. MNEKI

    Kiwanja kinauzwa Msalato-Dodoma

    Deleted
  17. G

    Kiwanja Kinauzwa Kibaha kwa Mfipa million 3.2

    Kiwanja kinauzwa Kibaha kwa Mfipa(upande wa chuo) Ukubwa ni mita 20×20(sqm 400) Bei million 3.2 Hicho pembeni ya hiyo nyumba Kilomita 2.5 toka stendi Huduma zote zipo Umeme na maji ni kuvuta tu Kimebaki kimoja tu 0744757738 0784376888
  18. V

    Kiwanja kinauzwa Kibada Kigamboni

    kiwanja kipo karibu na barabara ya lami kina ukubwa wa sqm 1700 bei milioni 70 mazungumzo yapo mawasiliano 0659962452
  19. W

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

    .
  20. Sonship

    Kiwanja kinauzwa Bunju A

    Kiwanja kinauzwa Bunju A. Sqm 500 bei mln 13 Kipo mtaa mzuri sana Documents zipo 0775 179905
Back
Top Bottom