kivuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani kivuko kilichoghraimu bil 7.3 kukarabatiwa kwa bil 4.4

    Pesa za umma zinaliwa huku wananchi wakiteswa na tozo. == Ujenzi wa kivuko cha Mv Kazi uligharimu Sh7.3 bilioni na kina uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22 sawa na jumla ya tani 170. Kupitia Ukurasa wa twitter wa TEMESA wamesema Kivuko cha MV. KAZI kimerejea rasmi katika eneo la Magogoni...
  2. Moshi25

    JamiiForums Tanzania Kivuko cha MV Magogoni kibebe abiria tu asubuhi

    Huwa naona watu ni wengi sana asubuhi saa 12 hadi saa 3 wakiwa tayari kuvuka kutoka Kigamboni kuja Ferry na Mv Magogoni ikijaza magari tu na watu wengi kubaki wakiwa wamefungiwa kama kuku kusubiri kivuko kiende na kurudi ndo kiwachukue, wagonjwa wanachelewa hospitali na wafanyakazi wanachelewa...
  3. Kalebejo

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu Kivuko cha Kamanga

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Natumaini u buheri wa afya.Kwanza nakupongeza sana Rais wangu Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa jitihada unazozifanya katika kuwaletea wananchi maendeleo,kwa kutafuta pesa nje na ndani ya nchi yetu Hongera sanaa kwa hatua hii nchi yetu inaendelea kupiga hatua za...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Gari kubwa (Fuso) latumbukia kwenye maji baada ya kudondoka kutoka kwenye Kivuko, Julai 18, 2022

    Gari la mizigo aina ya Fuso limetumbukia kwenye maji wakati lililopokuwa limebebwa katika Kivuko cha Kyanyabasa kilichopo Wilaya ya Bukoba Vijijini Mkoani Kagera. Shuhuda wa tukio hilo lililotokea katika Mto Ngono, Datsun Zacharia amesema: “Hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa "Chanzo...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TEMESA wakubaliana na Azam Marine kuvusha abiria Kigamboni (Ferry)

    Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unapenda kuujulisha umma kuwa umefikia makubaliano na kampuni ya Azam marine kutoa huduma ya kuvusha abiria baina ya Magogoni na Kigamboni ili kuendelea kuwapa wananchi huduma ya uhakika wakati huu Wakala ukiendelea kufanyia matengenezo vivuko vyake...
  6. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Wizi mkubwa nilio ushudia kivuko cha Busisi

    Wakuu msije mkasema nina wivu, ila inaniuma kama mTanzania. Ipo hivi... Unapo shuka kuelekea kukata ticket kama mwenda kwa miguu, pale unakutana na mtoa huduma akiwa tayari amesha kata tickets nyingi na anachokifanya ni kukupa (abiria ticket) kisha anakupa na chenji yako na unaondoka. Baada ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Meneja wa kivuko cha Busisi anaibia abiria chenji zao akishirikiana na wakatisha tiketi. Prof Makame Mbarawa naomba umulike.

    Leo asubuhi nikitokea Sengerema nimeshuhdia hili. Nauli ya kivuko ni sh 400 ukitoa buku unarudishiwa sh 500 badala ya mia sita. Mkatisha tiketi anachenji kibao za mia tano miatano lakini mezani hana mia hata moj. Nimerudi jioni hii nimetoa buku mbili nimerudishiwa buku jero. Ina maana kila...
  8. uran

    JamiiForums Tanzania Kuna janga linaandaliwa vivuko vya Kigamboni, TEMESA chukueni hatua

    Wakuu, jana na leo! Nimeshuhudia kitu kisicho cha kawaida wakati navuka kati ya Feri na Kigamboni. Sijui kivuko ni kibovu ama vipi. Tumepanda kikagoma kabisa kwenda, nafikiri tulikuwa wengi kupita kiasi. Tukapunguzwa at least kikatembea kwa shida. Yaani kwa sasa Feri ni shida kweli kweli...
  9. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania Serikali ikichunguze kivuko cha Busisi-Kigongo upande wa Sengerema. Kuna hujuma kwa wavuka kwa miguu

    Haiwezekani unapewa risiti halafu kwenye kuscan eti machine haifanyi kazi unaambiwa upitie sehemu ambayo machine haifanyi kazi. Hii inaweza kuwa hujuma na upotevu wa mapato ya Serikali. NB:Maendeleo hayana chama
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Kigamboni: Kivuko chaondolewa kwenye maji, wanaotumia magari wapewa ushauri

    Taarifa kwa wanaotumia vivuko kuelekea na kutoka Kigamboni jijini Dar es Salaam: Kivuko chaondolewa kwenye maji, wanaotumia magari wapewa ushauri.
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa kutumia Tiketi za Karatasi kwenye kivuko cha Magogoni - Kigamboni ni Tarehe 28 Februari 2022

    Salaam Wakuu, Abiria wanaotumia kivuko cha Magogoni Kigamboni mnakumbushwa kwamba mwisho wa matumizi ya tiketi za karatasi kwenye kivuko hicho ni Tarehe 28 Februari 2022 hivyo abiria wote mnaombwa kununua kadi za N-CARD. Kadi hizo zinapatikana Kivukoni pande Zote mbili. Wakala wa Ufundi na...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, "nakuamuru" uwajengee Kivuko Wananchi wa Ipatikana na Nzoka Mkoa wa Songwe

    Salaam Wakuu. Kwa mjibu wa Katiba, rais ameajiriwa na Wananchi kuwatumikia. Hivyo kama Mwajiri, namtaka au namuamuru rais Samia awajengee kivuko hawa Wananchi. Ziara yake moja inatosha kuwawekea kuvuko hawa wananchi. Nimefika Nzoka Momba, Wananchi wanavuka kama Makomandoo unaweza hisi ni...
  13. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, maamuzi yapi sahihi nikikutana na hali hii barabarani?

    Naomba kujuzwa: kuna Kivuko (Zebra) na taa za kuongoza magari. Je, Ikiwaka taa ya kijani, NISIVUKE, NIWASUBIRI WATU WAVUKE? AU WAO WANISUBIRI MIMI? Niwapo barabarani huwa Najiuliza Sana juu ya hili, mwenye ujuzi WA uhakika, ANISAIDIE.
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kivuko cha MV. Temesa huipa Serikali hasara ya Milioni 10 kila Mwezi. Kilitengenezwa kwa bilioni 3

    Kivuko cha MV. Temesa, kinachotoa huduma ya usafiri wa abiria kati ya Luchelele Jijini Mwanza na Kijiji cha Ilunda, kata ya Ngoma'B' Wilayani Sengerema kilichojengwa na serikali kwa gharama ya shilingi bilioni 3 kinadaiwa kujiendesha kwa hasara kutokana na kukosa abiria. Hatua ya kivuko hicho...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kimei aishukuru klabu ya Rotary Mwika kushiriki maendeleo vunjo

    Na Mwandishi Wetu Vunjo. Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei ameishukuru klabu ya Rotary ya Mwika kwa kujenga kivuko cha Koongo-Saghai kinachounganisha kata za Mwika Kusini na Mwika Kaskazini. Ujenzi wa kivuko hicho umegharimu shilingi milioni 10.5 fedha zilizotolewa na...
Back
Top Bottom