kivuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    TEMESA: Kivuko MV Kazi kuanza kutoa huduma leo Januari 13, 2026 baada ya ukarabati kukamilika

    Serikali imetangaza kuwa Kivuko cha MV Kazi kitaanza rasmi kutoa huduma mchana wa leo Januari 13, 2026 baada ya kukamilika kwa ukarabati wake, hatua inayolenga kurejesha usafiri wa uhakika kwa Wananchi wanaotumia feri ya Kigamboni na Kivukoni. Akizungumza jijini Dar es Salaam, jana Januari 12...
  2. M

    Kigongo Busisi zilivuka Tani 1,600 tu kwa siku leo ni Tani 180,000 na watu 12,000 wanavuka. Tulitumia saa 3 -4 kuvuka leo ni dakika 3 - 4 tu

    Hii ni baada ya Rais Samia kutoa TZS716.33bn kujenga hili daraja la Kigongo Busisi Rais alirithi Daraja hili likiwa na asilimia 25 za utekelezaji wake, daraja hili lina urefu wa kilometa 3.2  kwa juu ya Ziwa Victoria, na njia za uunganisho za 1.66 km, ikijumuisha barabara pana ya reli ya T4...
  3. Upekuzi101

    TANAPA wamezembea makusudi kutengeneza daraja kogatende ili wapitishe agenda ya kuweka tozo kwenye kivuko

    Baada ya sakata la tour guide kuwaruhusu watalii kushuka kwenye magari kutazama kivuko cha nyumbu ni kinyume na taratibu za uhifadhi pamoja na uongozaji wa watalii lakini ucheleweshaji wa kujenga kivuko hicho Ili kiruhusu watalii kuvuka upande wa pili wa mto Ili kuona vizuri uvukaji wa wanyama...
  4. D

    KERO Wahudumu wa kivuko cha KIGONGO -BUSISI Mwanza wanadhulumu wananchi

    Kero yangu ipo upande wa kivuko cha KIGONGO - BUSISI, pale nauli ya kivuko kwa abiria mmoja ni 400, lakini ukienda pale wanakata 500, wanaadai hawana chenchi, Hii inaumiza wananchi sababu bei halali iliyoandikwa kwenye risiti ni tofauti na anayotozwa mwananchi kwa kigezo cha kukosa chenchi...
  5. upupu255

    SI KWELI Video hii inaonesha watu wakikimbia baada ya kushuka kwenye kivuko Kigamboni

    Wakuu nimekutana na hii video mtandaoni mara nyingi na inadaiwa kuwa ni kivuko cha kigamboni ambapo watu wakishuka huwa wanakimbia kwa spidi kama inavyoonekana kwenye video hiyo. JamiiCheck uhalisia ni upi?
  6. N

    DOKEZO Kivuko cha Pangani ni hatari kwa maisha ya Watu, tunalalamika kuhusu ubora wake lakini bado hali ni tete

    Hapa Pangani kuna kivuko kinachounganisha Pangani na Bweni kimekuwa na hitilafu za mara kwa mara na sasa kimegeuka kuwa chanzo cha usumbufu mkubwa. Wiki moja iliyopita, kivuko hicho kilipata hitilafu ya injini na kusombwa na maji kuelekea baharini, ingawa abiria waliokolewa kwa kutumia boti...
  7. Ojuolegbha

    Kivuko cha MV kome III kuongeza nguvu Buchosa

    KIVUKO CHA MV KOME III KUONGEZA NGUVU BUCHOSA Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) inatekeleza mradi wa ujenzi wa vivuko vipya 6. Kivuko MV.KOME III no moja ya vivuko hivyo na kitakwenda kutoa huduma katika maeneo ya Nyakaliro Wilaya ya Buchosa na Kome Wilayani...
  8. Msigazi Mkulu

    Wizi mpya kivuko cha Kigongo Busisi risiti haziskaniwi, inascaniwa moja kwa wateja wote.

    Kama kawaida kila nikipita pale kivukoni huwa naangalia mapungufu, nilianza na la chenji ya mia mia kutorudishwa. Na leo nimebaini abiria wakinunua tiketi pale dirishani pale sehemu ya kuscania inawekwa nyuma ya tiketi nyingine huku ikitunzwa vizuri bila kuharibiwa. Hii inamaanisha zinarudishwa...
  9. Nipe Maji

    PreGE2025 Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali yaishauri TEMESA kuongeza kasi ya usimamizi mradi wa kivuko kipya mafia nyamisati

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeishauri TEMESA kuhakikisha inaongeza kasi ya kusimamia mkandarasi anaetekeleza mradi wa ujenzi wa kivuko kipya cha Mafia Nyamisati ili umalizike haraka na wananchi waweze kupata huduma ya kivuko. Akizungumza mara baada ya kupokea taarifa...
  10. upupu255

    Mkuu wa Wilaya ya Sengerema asema changamoto ya usafiri Kivuko cha Kigongo-Busisi inatokana na Gugumaji jipya, Serikali yachukua hatua za haraka

    Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga, amesema kumekuwa na changamoto ya usafiri katika kivuko cha Kigongo-Busisi kutokana na kuibuka kwa gugumaji jipya linalosababisha hitilafu kwenye injini za vivuko. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya vivuko vililazimika kusitisha safari ili kufanyiwa...
  11. 5

    Nini sababu ya msongamano wa watu hapa Busisi/Kamanga serikali ya awamu ya 6?

    Kuna kitu mie kinanitatiza sana jamani hivi kwenye utawala wa magufuli iwe ni Busisi au Kamanga, kwa kupitia vivuko hivi hivi tunavyoambiwa havitoshi sasa hivi mbona tulikuwa hatukalishwi kiasi hiki hapa kivukoni jamani, au ni mie tu naona hii shida? Maana sidhani kama tatizo ni wingi wa vivuko...
  12. K

    KERO Bora Daraja la Magufuli likamilike tu, foleni Kivuko cha Kigongo - Busisi ni kero na zinaharibu ratiba za Watu

    Leo nimebahatika kupita katika Kivuko cha Kigongo - Busisi Mkoani Mwanza, nikiwa abiria nimekuta hali ni mbaya, ni kero Kwa kila mtu. Foleni ya magari ni kubwa sana, foleni ya abiria ni kubwa, abiria unatumia takribani saa mbili hadi tatu kuvuka, magari yanatumia saa mawili hadi tatu pia kuvuka...
  13. Tman900

    Kivuko Cha Magogoni Feri

    Serikali imeshindwa kuendesha kivuko Cha Magogoni Ferry, Azam amewekeza ktk usafiri wa maji, Sasa hivi ndo anatoa huduma/ Biashara ya akuvusha watu pale ferry, kwa Uhakika kabisa. Na watu Wengi wanaona Bora wapande kivuko cha Azam kuliko cha Serikali. Kivuko kilichopo, kitakufa kama vilivyokufa...
  14. Kididimo

    KERO Kivuko cha Busisi- Kigongo hakina ferry zote ni mbovu. Wananchi wanataabika. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ingilia kati suala hili

    Hizi ni habari za muda huu. Tunaomba Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh Ntanda uingilie kati. Wasafiri wanataabika sana.
  15. Mtoa Taarifa

    Kivuko cha MV Chato II Hapa Kazi Tu chakwama majini baada ya Mashine kunasa kwenye Nyavu

    Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unawataarifu watumiaji wa kivuko MV. CHATO II HAPA KAZI TU kinachotoa huduma katika maeneo ya Chato, Mharamba, Izumacheli na visiwa vya jirani kuwa, kivuko hicho kimesimama kutoa huduma kuanzia majira ya saa nne na nusu asubuhi kutokana na kunasa kwa...
  16. P

    KERO Kivuko Kigamboni ni changamoto kubwa

    Kwa siku za hivi karibuni kivuko hiki kimekuwa ni changamoto kubwa. Kwa sasa wananchi wengi walio na haraka kuelekea kazini wanalazimika kutumia bodaboda kupitia Daraja la Nyerere ambayo hii ni gharama kubwa sana ukizingatia kipato cha mtanzania. Hili ni suala ambalo limeendelea kuwafanya...
  17. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Ampigia Simu Katibu Mkuu Amtaka Kupiga Kambi Mafia Hadi Huduma ya Usafiri wa Kivuko Itakaporejea

    BASHUNGWA AMPIGIA SIMU KATIBU MKUU AMTAKA KUPIGA KAMBI MAFIA HADI HUDUMA YA USAFIRI WA KIVUKO ITAKAPOREJEA. “Msitoke Mafia mpaka Kivuko kianze kutoa huduma kwa Wananchi” Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amempgia simu na kumuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Eng. Aisha Amour na...
  18. Mindyou

    TEMESA yaomba radhi kwa watumiaji wa kivuko cha Mafia mpaka Nyamisati kutokana na safari kusitishwa

    Siku ya leo Oktoba 23 2024 Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) umeomba radhi kwa watumiaji wa kivuko cha MV Kilindoni kinachotoa huduma kati ya Mafia na Nyamisati kutokana na hitilafu kwenye mfumo wake, ambayo imesababisha kusitishwa kwa huduma. Soma pia: TEMESA tunaomba mlizingatie...
  19. JanguKamaJangu

    KERO Haya mazingira ya Vyoo vya eneo la Kivuko pale Busisi ni hatari sana kwa afya

    Nimejiuliza sana kuhusu mazingira ya hivi vyoo, hata kama ndio tunatumia watu wengi, ndio washindwe kuweka mazingira vizuri kwa kiwango hiki? Jionee mwenyewe, vyoo “vimekomaa na uchafu” humu ukiingia unatoka na magonjwam ukiponapona sana umepata UTI sugu. Vyoo hivi vinamilikiwa na Halmashauri...
  20. Roving Journalist

    DC Sengerema afafanua taarifa ya kivuko kimoja kusimama kutoa huduma Kigongo - Busisi

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna changamoto kubwa ya foleni eneo la Busisi kwa Watu wanaohitaji kuvumia kivuko kuvuka tangu usiku wa kuamkia jana Agosti 29, 2024, akidai Kivuko hakifanyi kazi, upande wa Serikali umeeleza kinachoendelea. Mwanachama huyo alidai hali hiyo...
Back
Top Bottom