kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nakubaliana na hoja ya Spika: Serikali iajiri walimu wengi wa kiume kuliko wanawake

    Juzi spika aligusia kidogo suala la ajira kwa walimu na kuishauri serikali kutoa kipaumbele cha ajira kwa walimu wengi wa kiume kuliko wanawake. Hoja ya spika ina mashiko kwa sababu nature 'asili' ya wanawake wengi hupenda raha na sio wavumilivu wa mazingira magumu. Kwakuwa uhitaji wa walimu...
  2. Pafyum ya kiume...

    Wadau, mimi nishachoka sasa kuishi bila kaunyuyu kidogo. Nina kahela kangu hapa hakazidi 25k naomba mnifahamishe pafyum nzuri ya ki-gentleman ambayo hata nikikaa na mtoto mzuri awish kuchill na mim muda wote. Wekeni majina ya pafyum za ki-gentlemen tu hapa ambazo hazipungui 20k na hazizidi 25k
  3. Baada ya kuacha kumlea mwanangu kimayai, nimeona akiimarika

    Bado sijutii uamuzi niliofanya, Hapo awali mtoto nilikuwa namlea kimayai huku nikijipa moyo sitaki apitie shida nilizopitia kumbe nilikuwa navuka mipaka kabisa ambayo haikuwa vema kwa mtoto, Nikabadili malezi na kweli dhana yangu ya kutotaka mtoto asipate shida nilizopitia nliendelea nayo ila...
  4. Nipendekezeeni jina zuri kwa mtoto wangu wa kiume

    Wakuu salama hapa Shemeji/wifi yenu kanizalia kijana wa kiume usiku wa kuamkia leo Hapa nilipo nafikiria jina la kumpa kijana huyu, manake majina ni mengi sana, ila nimeona sio mbaya nikawashirikisha na wanajamii wenzangu wa JamiiForums manake hapa tumekuwa tunapeana mawazo na ushauri...
  5. Mwanamke kuongelea suala la nguvu za kiume hadharani huwa unapata tafsiri ipi?

    Habarini wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kumekuwa na kasumba la wadada kuongelea suala la nguvu za kiume hadharani tena kwa kujiamini. Mimi binafsi nikisikia mwanamke anaongelea suala hili namtafsiri huyu mwanamke kama kaliwa sana na wahuni in short ni malaya. Wewe unapataga...
  6. Anayesema wanaume wengi hawana nguvu za kiume lazima awe /alikuwa malaya

    ANAYESEMA MWANAUME HANA NGUVU ZA KIUME LAZIMA AWE/ALIKUWA MALAYA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Kusema kuna ongezeko la wanaume kukosa nguvu za kiume ni kuutangazia Umma kuwa wewe ni malaya au ulikuwa malaya. Kusema vijana wa siku hizi hawana nguvu za kiume ni matokeo ya ongezeko la umalaya kwa...
  7. Saikolojia: Ishara zinazoonesha wewe ni handsome/una mvuto wa kiume tofauti unavyodhani

    Habari wana JF. Leo katika pitapita zangu mtandaoni ni kakuta kisomo cha saikolojia kama kawaida nikaona nisiwe mchoyo acha nishare men wenzangu nao waonyeshe interest yao. kama ujuavyo men wengi tunakuwa ile ya kujichukulia poa yani mtu unajidharau unajiona kama vile hauvutii wanawake,hii...
  8. Ipo siku ambayo vijana watakuja kugundua kuwa bodaboda zinawaumiza na kudai kupewa Kazi nyingine salama

    Utafiti mdogo niliofanya kuhusu ukosefu was nguvu za kiume miongoni mwa vijana unaonyesha kuwa vijana wanaofanyakazi ya bodaboda wanakabiliwa na upungufu was nguvu za kiume kwenye umri mdogo. Na tatizo ni kubwa kwa wale wanaobeba mishikaki (abiria zaidi ya mmoja) na mizigo mikubwa, kwakuwa...
  9. S

    Tunashona nguo za kike na za kiume za aina zote

    Habari Wadau, Sisi tunajihusisha na ushonaji wa nguo za aina zote kwanza, Nguo za Harusi ( Suti na Magauni) Uniform za Maoffisi na Mashuleni Mishono ya Vitenge Casual Wear etc Karibuni Ofisi zetu zipo kinondoni Manyanya opposite na American Chips. Mawasiliano 0737610682
  10. Human Rights Watch yaitaka Qatar kuachana na sheria za uongozi wa kiume

    Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limeitaka Qatar kuiondoa sheria inayowapa wanaume mamlaka ya kuwasimania wanawake ili kuwapa wanawake uhuru wa kujifanyia maamuzi. Maamuzi hayoni pamoja na ndoa, kusafiri na kupata huduma ya afya ya uzazi. Shirika hilo lililo na makao...
  11. Kuna ubaya chumba cha watoto wa kike kuwa karibu na watoto wa kiume katika ujenzi?

    Ramani niliyonayo nimeipenda ila hii sehemu ya vyumba vya female na male ndio bado naomba ushauri kama hakuna shida au niongee na mchoraji abadilishe.
  12. Si upungufu wa nguvu za kiume tu umekuwa tatizo hata uwezo wa wanaume kuzalisha unapungua

    Unakuta ni familia yenye uwezo, lakini watoto wao wa kiume hawana uwezo wa kupata watoto. Katika maendeleo ya mwanadamu, kilichosabisha ustaarabu wa kuoana na kuanzisha familia ilikua ni utaratibu wa kurithi mali. Binadamu alipoanza kumiliki ardhi, kulima nafaka na kumiliki wanyama wa kufugwa...
  13. M

    Baada ya Sauti ya Wakatoliki kunena kiume jana, kuanzia leo wasianze Kutishwa na Wanasiasa kwani yatawakuta zaidi ya Corona

    Tunajua Tanzania yako Madhehebu mengi ya Kiimani ila tusidanganyane wala tusizunguke kusema ukweli kwamba tokea Uhuru wa nchi hii hadi sasa Kanisa Katoliki lina nguvu ya 75% ndani ya Watanzania wengi na hata katika Kuamua Tawala (za Kisiasa) katika nchi hii. Wenye Akili najua kwa hili mtakuwa...
  14. Je, kufanya mapenzi (sex) mara kwa mara kunachangia kupungua kwa nguvu za kiume?

    Habarini wadau kama heading inavyosema. Kuna ukweli wowote kate ya sex ya mara kwa mara na upungufu wa nguvu za kiume? Mfano kwa wiki mara 4 na bao tatu tatu.
  15. Shemeji zako wa kiume wakija kukutembelea, siku hiyo usilale na dada yao (Mke Wako). Kalale nao chumba kimoja

    Mambo vp jamiiforums. Je, shemeji yako wa kiume anaweza kuwa swahiba? Ninaomba kuanza kwa kutangua kusema maneno haya machungu ambayo yatawauma wanaume wengi sana. Hata mimi nilikuwa hivi hivi. Mwanaume wengi sana huwa hawawapendi shemeji zao wa kiume siku za mwanzoni. Just imagine, kwa akili...
  16. F

    Makundi ya Wanaume yanayoongoza kwa nguvu nyingi za kiume na stamina kubwa kitandani

    Nisipoteze muda. Wanaume wanaongoza kwa kuwa na stamina kubwa kitandani na kuridhisha wapenzi wao wapo sita. Unaweza kuongeza wa kwako. Wanaume hao ni 1. Makuli/Wapagazi: Demu wako au mkeo akikutana na kuli, walahi hamwachi, andika maumimivu. Makuli ni Wanaume wabeba mizigo. 2. Wanajeshi...
  17. Naona kama mabinti waliohitimu vyuo wanakabiliana vizuri na changamoto ya ajira kuliko vijana wa kiume

    Hii ni kitu nimeiona baada ya kufanya utafiti wa kijuu juu. Nimeona mabinti wengi wanachakarika na ujasiriamali. Ninekutana na wahitimu wa vyuo ambao ni mama ntilie. Wanapiga umachinga mdogomdogo wa nguo za kike, juice, viatu nk. Pia wamekuwa mstari wa mbele kuhudhuria mafunzo ya ujasiriamali...
  18. M

    Je, ni kweli kwamba Siku hizi nchini Tanzania ukitaka tu Bidhaa yako iuzike haraka ukisema inaongeza nguvu za Kiume utauza sana?

    Kuna Matunda ambayo tokea nakua hadi hivi sasa nautafuta Uzee wangu yalikuwa yakidharaulika na hayapendwi kabisa Kuliwa na Watanzania ila cha Kushangaza Siku hizi baadhi ya Wajasiriamali ( Wafanyabiashara ) wakiyaandaa vyema, kuyaweka Sokoni na kusema ( kutangaza ) yanatibu au kuongeza Nguvu za...
  19. Kama wewe mtoto wa kiume, dada zako wakiolewa furahi sana, shukuru Mungu

    Kwenye familia yetu tumezaliwa wavulana 6 wasichana 2, dada yetu mkubwa aliolewa mapema sana. Huyu mwingine wakati anaolewa mama alilia sana maana alimzoea sana na ndo alikua msaidizi wake mkubwa sana, "ajabu baba alifurahi sana" sikumwelewa baba alimaanisha nini mpaka baada ya miaka 6 alikuja...
  20. D

    Wanaharakati tumieni hekima: Maria Sarungi kulifananisha kanisa katoliki na nyeti za kiume ni dhihaka kwa wakatoliki

    Wanaharakati ! kuweni makini hasa mnapokosoa mambo yenye misingi ya kidini! Wakati serikali ikiendelea kutekeleza majukumu yake kikatiba, kwa kuhakikisha inakusanya kodi kutoka taasisi zote za kibiashara ikiwemo binafsi na zile zinazomilikiwa na makanisa! Wameibuka wanaharakati kuhusisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…