kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ninahitaji mbunifu na mshoni wa nguo za kike na kiume

    Kwa wajuvi wa kuulamba jijini Dar es Salaam Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninahitaji mtaalamu wa kubuni na kushona nguo za kike na kiume. Awe mkali katika suti na mavazi mengine ya me na ke. Si lazima awe huyohuyo. Mmoja anaweza kuwa mtaalamu wa nguo za kike na mwingine za kiume au...
  2. Walimu/ lecturer wa kiume ndo chazo cha kuharibika kwa mtoto wa kike shuleni/chuo

    Hope ni wazima Wana Jf Katika kila kundi la wanawake 10,lazima ukute wanawake 5 au 6 washawahi kufanyiwa sexual abuse na walimu wa kiume,Kuna shule sitaitaja nilisoma o level Kuna teacher wa English na alikuwa second master alikuwa na michezo michafu anakuita ofisini kwake Mara akushike shike...
  3. R

    Upungufu wa nguvu za kiume na kike upo hadi kwa matajiri na wanasiasa au ni maskini pekee?

    Binadamu akikosea nguvu za asili za kiume au kike anakosa pia nguvu za asili za kufanya KAZI kwa tija na hivyo uzalishaji kwenye TAIFA ushuka. Tanzania tumekuwa na wananchi wenye changamoto ya nguvu za kiume na kike. Kuthibitisha au kupata ukweli angalia mabango ya tiba asili, angalia pharmacy...
  4. SI KWELI Kupakata laptop au kuweka simu kwenye mfuko wa suruali hupelekea upungufu wa nguvu za kiume

    Hivi ni kweli kuwa watumiaji wa kompyuta mpakato huku wameipakata mapajani, pamoja na sisi tunaotumbukiza simu zetu zikiwa on air kwenye mifuko yetu ya mbele ya suruali tupo kwenye hatari ya kupoteza nguvu za kiume?
  5. Siku niliyotumia dawa ya nguvu za kiume ilikuwa hatari; dont try!!

    Wakati fulani miaka ya 2000 nilicheza show mbovu sana kiasi cha kudharauliwa na demu. Demu akaniambia mbona tunapochati unakuwa na mbwembwe nyingi sana ila kumbe hauna maajabu. Kwa kweli nilijisikia vibaya na nikaingia woga. Baada ya sakata hilo nikapata tena demu mkali sana. Lakini bado...
  6. Mnaoishi na watoto warefu mnakabiliana nao vipi wanapogoma kuadhibiwa kwa kipigo? Wamewahi kuwabadilikia?

    Walezi wa kiume iwe ni baba, mjomba, baba mkubwa, n.k, huwa ndio wanategemewa kusimamia kitengo cha kutia displini hasa utukutu ukizidi, hata walezi wa kike wakiona toto limekuwa tundu wanamwambia msubiri baba yako aje, mjomba wako aje, n.k. Sasa basi unakuta sometimes kijana mdogo yupo hata...
  7. Siwahitaji watoto wa kiume kwenye familia yangu

    Mimi ni baba wa mtoto mmoja now,Nina mtoto wa kike Jina N nampenda Sana binti yangu nahitaji Sana mke wangu azidi kuniletea watoto wa kike ata kumi nitawalea..Kama ntafika uzeeni mabinti zangu watakua wafariji kwangu. Ila sijui Nina tatizo gani Mara nyingi nimekuwa nikigombana na wife kuhusu...
  8. Muuzaji Mbegu za Kiume aongeza Soko, ana watoto 550

    Mwanamuziki wa Uholanzi mwenye makazi yake nchini Kenya, ambaye ni muuzaji mkubwa wa mbegu za kiume, pia mwenye watoto takriban watoto 550 duniani kote anakabiliwa na mashtaka ya kuongeza athari kwenye mahusiano. Jonathan Jacob Meijer, 41, ameshtakiwa kwa madai ya kuongeza hatari ya uhusiano wa...
  9. Je, dawa za meno zinazogawiwa mashuleni zinaharibu homoni za watoto wa kiume?

    Salaam Kuna audio inasambaa mitandaoni kwamba kuna dawa za meno zinagawiwa Mashuleni ambazo zinaharibu homoni za kiume. Kwamba TBS ilithibitisha. Je, kuna mtu ana uhakika na hizi taarifa au ni Uzushi tu wa mitandaoni. Wizara ya Elimu inajua hiki kitu na Uliruhusu? Msililize huyu anachoongea
  10. Mbegu za maboga zinasaidia sana kuongeza nguvu za kiume

    Maajabu ya mbegu za maboga ambayo ulikuwa huyajui bado. Inatokeaje mbegu za maboga kuongeza nguvu za kiume? Kwanza kabisa zinaondoa msongo wa mawazo kitu ambacho ni namba 1 katika kusababisha upungufu wa nguvu za kiume. Lakini pia zinashusha lehemu (cholesterol), zinatibu kisukari, zinatibu...
  11. Seminal fluid analysis(sperm analysis) elimu na ushauri juu ya vipimo vya mbegu za kiume

    HABARINI WAKUU, Leo nimewiwa na kuona ni vyema kutoa elimu japokua kidogo kuhusu upimaji wa mbegu za kiume na elimu juu ya uwezo wa kizalisha Kwa mwanaume(Fertility). MANII (SEMINAL FLUID) ni mchanganyiko wa mbegu za kiume(sperm) na majimaji mengine kutoka kwenye Korodani (testis) na tezi...
  12. Natafuta rafiki wa kiume

    Niaje katika jukwaa hili… Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 39, natafuta rafiki wa kiume mwenye umri wa miaka 40-50 tu. Vigezo: Awe single (Mgane/ Mtalaka) Awe Mkristo (Msabato atapewa kipaumbele) Lengo la vigezo, sitaki mume wa mtu maana sitakuwa huru naye. Pia nahitaji Mkristo maana...
  13. Nawalaani wanaume wote waliodiriki na wanaoendelea kuwafanya kinyume na maumbile vijana wa kiume

    Hakika hamtaiona mbingu, mtaangamia vibaya, kifo chenu kitakuwa cha majuto na mateso. Haijalishi umeshawishiwa au umeshawishi, kumwingilia mtoto wa mwenzio kinyume na maumbile ni laana na mnadhalilisha hao vijana na wazazi wao. Acheni mara moja, tubuni, msifanye hivyo jamani, siyo vizuri wana...
  14. Kama una mtoto/ndugu wa kiume mfundishe haya

    Mwanaume anasemwa kutokana na mafanikio yake. Sio lazima kuwa Bakhresa. Ila ni ile thamani anayoongeza kwenye jamii inayomzunguka. Mtu anayechota maji mtaani anathaminiwa kuliko mtu anayekesha kwenye vibanda vya kucheza gemu. Hivyo ajitahidi aweze kipengele fulani cha maisha na akitumie...
  15. TUONGEE KIUME: Sisi tuko hivi, wanawake wanataka tuwe vile

    Ukweli ni kwamba, hutakiwi kujichosha kuwa mwanamume anayemtaka mwanamke hatofanikiwa. Na sio wewe tu, tangu dunia hii ianze hakuna mwanaume aliyefanikiwa kwenye hilo. Wakati mwanamume anataka mwanamke ambaye labda anampenda na kumuheshimu tu, wanawake wenyewe wanataka mwanaume mwenye mwili wa...
  16. Ushauri: Waigizaji wa kiume wanaoigiza kama wanawake wapigwe marufuku

    Tukianza na Joti, na yale majamaa ya kwenye zekomed za Masanja, aje yule dogo anafaa dera anaigiza Juakali/not so sure ila tamthilia kule DSTV, wanaume wanavaa manguo ya kike na kuigiza kama wanawake, wapigwe marufuku kwasababu kidogo kidogo wanafanya jamii ione muonekano wa aina hiyo kwa...
  17. Natafuta rafiki wa kiume

    Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume. SIFA NILIZO NAZO.👇 Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara. SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇. (1)Awe mrefu (2)Rangi yoyote. (3)Dini awe mkristo au mwislam. (4)Elimu form four kuendelea. (5)umri...
  18. Vijana wengi wa kiume wamejiajiri kwenye boda, wa kike wamejiajiri kwenye nini?

    Lema ana hoja nzuri sana na nzito shida ni jinsi alivyowasilisha. Nami napenda kuizungumzia lakini katika namna tofauti. Vijana wengi wa kiume wameonekana kujiajiri kwenye boda na betting. Bila kujali viwango vyao vya elimu wapo kwenye boda au betting. Lakini Je, umejiuliza lile kundi kubwa la...
  19. SI KWELI Vinywaji vya kuongeza nishati (Energy Drinks) husababisha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Hivi ni kweli kuwa vinywaji vya kutia mwili nishati (energy drinks) hupelekea upungufu wa nguvu za kiume?
  20. R

    Ulishawahi kuona Masikini mwenye tatizo la nguvu za kiume?

    Hii imekaaje wakuu. Mpaka leo nazeeka sijawahi kuona au kusikia mtu masikini yaani mwenye kipato duni na pengine mwenye elimu duni akihangaishwa na shida hizi za kukosa nguvu za kiume. Hawa wenzetu wanatumia mbinu gani au ndio vile Mungu hakunyimi vyote?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…