kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Kombo awapa siri 3 za mafanikio wahitimu wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim

    Waziri Kombo awapa siri 3 za mafanikio wahitimu wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewatunuku vyeti wahitimu 893 wa ngazi mbalimbali za masomo katika Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha...
  2. Tetesi ya kibabe: Katavi kimewaka inasemekana Mkuu wa kituo kachezea kichapo Cha mbwa koko

    Kasongo mbona wewoo, mobali Nangaa, habari za tetesi huko Katavi inasemekana hivyo Mkuu wa kituo cha POLICE kapigwa kama zote na wananchi wenye hasira Kali na machungu kama yote. Baada ya uthibisho neno tetesi litaondoka. Habari ndio hivyo Pang Fung Mi
  3. M

    POTOSHI Picha: Mkuu wa Kituo cha Polisi Kabwe Wilayani Nkasi ajeruhiwa na Wananchi

    Nimekutana na hii taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa mkuu wa kituo cha polisi huko Nkasi mkoani Rukwa amejeruhiwa na wananchi ambapo mpaka sasa wananchi takriban 76 wanashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tukio hilo pamoja na kuharibu mali wakati wa tukio hilo.
  4. Mpanda: Tsh. Milioni 500 zatengwa kujenga Kituo cha Afya, fedha zimeisha ujenzi haujakamilika

    Ujenzi wa Kituo cha Afya Ugalla, Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kimeshindwa kukamilika licha ya fedha Shilingi 500 kutolewa miaka mitatu iliyopita kutoka Serikalini. Kushindwa kukamilika kwa ujenzi wa kituo hicho imebainika ni kwa sababu ya vitendo vya ubadhirifu wa fedha huku ikibainika watu...
  5. Serikali yaanza maboresho ya Vyoo vya Kituo cha Afya cha Sokoine, Manispaa ya Singida

    Serikali imeamua kufanya maboresho ya vyoo vilivyopo katika Kituo cha Afya cha Sokoine ambacho wenyeji wamezoea kukiita Hospitali ya Sokoine baada ya kuripotiwa kuwa havipo katika mazingira mazuri. Uamuzi huo unakuja siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia kuhusu ubora wa choo...
  6. A

    KERO Choo cha Umma Kituo cha Polisi Kawe (Dar) sio salama Kiafya kwa Watumiaji, miundombinu yake sio rafiki

    Mara kadhaa nimefika Kituo cha Polisi Kawe kwa ajili masuala mbalimbali lakini nasikitika kusema kwamba watu ambao tunafika kituoni hapo tunakumbana na changamoto ya huduma choo ambayo sio rafiki. Choo kilichopo kina vyumba viwili, kimoja ambacho kipo wazi kwa ajili ya Wananchi kutumia ni...
  7. Kangi Lugola akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani aliwahi kukilalamikia Kituo cha Polisi Gogoni mwaka 2019

    Mwaka 2019, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola “Ninja” aliwahi kukilamikia kituo cha Polisi Gogoni kwa ukiukwaji wa haki. Tujikumbushe hapo chini; Waziri wa @WizaraMNN Kangi Lugola leo Juni 23, 2019 amefanya ziara ya kushtukiza Kituo cha Polisi Gogoni, Wilaya ya Kipolisi...
  8. Israel yasambaratisha kituo kikubwa zaidi cha kutengeneza makombora cha Hezbollah

    Jeshi la Israel limesema limeharibu kituo kikubwa zaidi cha kutengeneza makombora cha Hezbollah huku ikiwa wameingia makubaliano ya usitishwaji wa mapigano kati yao Hii hapa animation ya kituo hicho chenye eneo la upana wa kilomita 1.4 na kina cha mita 70 kwenda ardhini: SOURCE...
  9. V

    Tiba katika kituo cha Tiba asili cha Wakorea kilichopo dar (Kibamba?) zipoje?

    Salamu Wana jukwaa... Nimekuwa nikisumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa vidonda vya tumbo... Kwa hakika vinanitesa sana. Kuna raia mmoja ameniambia niende kwa WAKOREA, Wana dawa za uhakika japo ni ghali. Naombeni ushauri
  10. R

    LGE2024 Tuhabarishane yaliyojiri kwenye kituo chako cha kupigia kura

    1. Kulikuwa na utulivu mkubwa.... 2. Waliojiandisha na wasiojindikisha ilikuwa RUKSA kupiga kura. Nimeshuhudia mwenyewe ninaowajua hawakujiandikisha wanapiga kura. 3. Mchuano ni mkali CCM na ACT 4. Chadema hawakuwana mgombea 5. Matokea bado as I am composing this thread! KWAKO JE KULIKONI?
  11. LGE2024 Kituo cha Kupigia Kura cha Lugalo, Kawe chakutwa na Maboksi ya Kura zilizopigwa kabla ya muda wa kupiga kura

    Kupata taarifa zote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kila mkoa ingia hapa: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Katika hali isiyokuwa ya kawaida inadaiwa kuwa masanduku matatu (3) ya kura...
  12. Nafasi za kazi kituo cha Afya Temeke

    Nafasi za Ajira Kituo: Wakuru Specialised Clinic Mahali: Temeke, karibu na Hospitali ya Temeke Wanahitajika wafanyakazi wafuatao: Daktari Bingwa (Internal Medicine) Nurse (ANO) Laboratory Technician Pharmacy Technician Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali piga simu kupitia namba: 0783070792.
  13. B

    Je!! Kuna haja ya kumfata mumewe kituo kipya cha kazi??

    Mume na mke wana watoto 3, hawana maelewano mazuri kama mwaka hv ilipelekea kulala kilamtu chumba chake,,, Sasa mwanaume kapata uhamisho kazini anahamia mkoa mwingine bidada ndio anaomba ushauri kuna haja ya kuhama wote??? Au amuache tu jamaa aende yeye abaki na watoto maana pia wamejenga +...
  14. Gari la mwendokasi la express, dereva kusimamia kila kituo kisa watu wanaomba msaada inakera sana

    Kuna hii hali mtu unapaanda gari mwendo kasi una haraka zako unakuta gari ya express unaamini itakusaidia kuwahi unapoenda basi abiria wanasogea kwa dereva kuomba msaada vituo vyo ambavyo havipo kwenye utaratibu wa express. Tanzania bado sana aiseee Hivi pale Dubai upande metro uende kwa dereva...
  15. J

    Rais Ruto afutilia mbali mkataba wa kujenga njia za umeme na kupanua Uwanja wa Ndege wa JKIA kati ya Kenya na Adani Group

    Rais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao...
  16. A

    DOKEZO Wananchi Kata ya Tembela (Mbeya) hatuna huduma ya Afya ya uhakika, jengo lililojengwa kwa nguvu zetu nalo limetelekezwa

    Wananchi wa Vijiji vya Simambwe, Shibolya, Usoha Njiapanda, Ilembo Usafwa na Galijembe vilivyopo Kata ya Tembela, Wilaya ya Mbeya, walilazimika kuchangishwa michango kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Simambwe kutokana na changamoto ya upatikanaji wa huduma za matibabu ambapo vijiji vyote...
  17. KERO Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho hakina mpangilio wa huduma: TANROADS, Jeshi la Polisi, DED Ubungo na Ofisi ya RC ujumbe huu unawahusu

    Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia abiria wanaosafiri kupitia Stand Kuu ya Mabasi ya Kimataifa ya Magufuli. Pamoja na umuhimu wake mkubwa...
  18. Tanzania yavutia mataifa uwepo wa kituo cha ufuatiliaji wa majanga

    NA. MWANDISHI WETU – BAKU, AZERBAIJAN. TANZANIA imeendelea kutolewa mfano wa kuwa na Kituo cha Taifa cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura (National Emergency Operation and Communication Center Situation Room) na kuelezwa kuwa nchi nyingine ziendelee kuiga mfano wa Tanzania na kuendelea...
  19. Kwanini kituo cha Oyster Bay ndio kitajwe kila siku?

    Sativa alisema alipelekwa Oyster Bay kwanza kabla ya mengine, kwenye mahojiano na Millard Ayo, mhudumu wa Hotel aliotaka kutekwa Tarimo anasema jamaa walipofika walisema kua wao ni askari wametoka Oyster Bay, Why Oyster bay? Si bure
  20. RC Simiyu aagiza Afisa Kilimo wa Wilaya Meatu ahamishwe kwa kushindwa kutekeleza majukumu kikamilifu

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amemuagiza katibu Tawala Mkoa wa Simiyu kumhamisha mara moja kituo cha Kazi Afisa Kilimo wa Wilaya ya Meatu, Thomas Shilabu kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake kikamilifu. Aidha, Kihongosi amemuagiza katibu Tawala Mkoani Simiyu kuwabadilishia vituo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…