kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Takukuru chunguzeni kituo cha kulelea watoto yatima Kashai mjini Bukoba

    Kuna mambo yanatendeka pale hayako sawa, kuna mama mmoja yuko pale anakula misaada ya watoto yatima.
  2. JamiiForums Tanzania Biashara gani nifanye karibu na Kituo kipya cha Polisi?

    Shalom, December 2022 nilienda likizo nyumbani, nimefika nimekuta wamejenga kituo kipya na kikubwa Cha Polisi. SI mbali na makazi yetu ya asili, nikawaza namna ambavyo naweza kuanzisha biashara Ili kutoa huduma huku nikijiongezea kipato. Nimekuja mbele yenu mnisaidie mawazo, kutokana na...
  3. JamiiForums Tanzania Kituo cha usaili jeshini chatiwa kiberiti Urusi

    Camera za CCTV zilimnasa jamaa akiruka ukuta na kwenda kufanya yake.... A military building in Bratsk, Russia, was set on fire overnight. The building was reported to go up in flames at about 2am local time. No injuries were reported but two employees were inside. The fire was reportedly...
  4. JamiiForums Tanzania Heko Galaxy ya Igunga: Vyoo vyenu kwenye Kituo cha mafuta ni mfano wa kuigwa

    Nimepita Igunga nikielekea Muleba kwa ajili ya Mwaka Mpya na Familia yangu. Nimesimama kwenye Kituo cha mafuta kinaitwa Galaxy hapo Igunga, Kuna tatizo la vyoo nilikuwa naliona maeneo mengi ila jamaa wameweza. Vyoo visafi husikii harufu ya mikojo wala kinyesi. Maji vyooni ya kutosha na sabuni za...
  5. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hiki ni Kituo Bubu cha Polisi?

    Ukiwa unatokea Masaki, kwenye makutano ya barabara za Haile Selassie na Ali Hassan Mwinyi, jirani na Kanisa la Mt. Petro, Oysterbay, Dar es Salaam, pana taa za kuongozea magari. Kwa pembeni, pana kibanda ambacho hutumiwa na askari wa usalama barabarani kujikinga na jua. Sasa, kwa muda mrefu...
  6. JamiiForums Tanzania Magaidi wateka kituo cha kupambana na magaidi Pakistan

    Jamaa huwa wana mzuka sana, Wanateka taifa lenye zana za kinyuklia, ndio maana inapaswa Iran izuiwe kabisa kumiliki hayo madude, maana mataifa yanayoendeshwa kwa mizuka ya kidini ni hatari sana. DERA ISMAIL KHAN, Pakistan (Reuters) - Islamist militants seized a counter-terrorism centre in the...
  7. JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Jeshi lakifungia kituo cha Redio RFI ya Ufaransa

    Serikali ya Kijeshi imechukua maamuzi hayo kwa madai kuwa kituo hicho kimetangaza taarifa za uongo na kuwapa nafasi Waasi wa Kiislamu kusikika kwenye matangazo yao. Pia, Jeshi limesema RFI ilirudia ripoti iliyokanushwa kwamba Rais Kapteni Ibrahim Traore aliyeingia madarakani kwa mapinduzi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ukiona dalili za mimba kuharibika nenda kituo cha afya usipate huduma ya kienyeji

    Mwanamke yeyote ambaye mimba imetoka au kutolewa anatakiwa kupata huduma ya afya ya uzazi kwa kuokoa Maisha yake katika kituo chochote cha afya kilichopo karibu yake. Huduma hii ni salama akiipata kwenye kituo cha afya kwani ataweza kupata huduma ya kusafishwa kizazi , atapata ushauri wa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wanaanga watatu wa Shenzhou 15 waingia kwenye kituo cha anga za juu cha China na kukutana na wanaanga watatu waliopo huko

    Habari kutoka Ofisi ya Uhandisi wa Anga ya Juu ya China zinasema baada ya chombo cha anga za juu na kituo cha anga ya juu kufanikiwa kuunganishwa haraka, wanaanga wa Shenzhou 15 wameingia kwenye moduli ya obiti kutoka kwenye moduli ya kurudi ya chombo hicho. Baada ya kukamilisha maandalizi yote...
  10. JamiiForums Tanzania Kituo cha afya chazinduliwa bila choo Ikungi, Singida. MoH mko wapi?

    Na Gregory Jumbe Mahanju, Tunaambiwa kua uyaone, tembea uone mengi, ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Hizi methali nilipokua mdogo nilidhani tu misemo tu ya waswahili làkini kumbe ni ukweli wenyewe unaotendeka kwenye jamii yetu. Katika hali ya kustaajabisha kabisa, baada ya Malalamiko...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kituo cha umeme wa jua chajengwa wilayani Xinfeng mjini Ganzhou mkoani Jiangxi, China

    Kampuni ya nishati mpya ya Ruixin iliyoko wilayani Xinfeng mjini Ganzhou mkoani Jiangxi, China imejenga kituo cha umeme wa jua chenye uwezo wa kuzalisha megawati 30 za umeme. Seti 28 za vifaa vya kuzalisha umeme zinaweza kusafirisha kwa wastani umeme kilowati saa milioni 30 kwa mwaka kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa kituo cha Afya Ikungi - Singida, Mashaka matupu mwaka unaisha ujenzi haueleweki

    IKUNGI-SINGIDA Na Gregory Jumbe Mahanju, Wakati Mama yetu anaendelea kujipambunua kutafuta pesa kwa wahisani ili kutekeleza ilani ya CCM, huko Wilaya ya Ikungi mkoani Singida katika kata za Ntuntu na Irisya tangu pesa zitolewe miradi ya ujenzi wa vituo vya afya katika kata hizo haijakamilika...
  13. B

    JamiiForums Tanzania DC Ikungi awapeleka watatu TAKUKURU kukwamisha ujenzi kituo cha afya Irisya wamaliza milioni 500 ujenzi haujakamilika

    Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro leo tarehe 01/11/2022 amemuelekeza mkuu wa takukuru wilaya ya Ikungi kuanza uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili watumishi watatu waliokuwa wanasimamia ujenzi wa kituo cha afya kata ya Irisya tarafa ya Sepuka jimbo la singida magharibi Pamoja na hatua...
  14. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara gani amepewa kibali kujenga kituo cha mafuta ndani ya stendi ya Msamvu?

    Kama mada inavyojitabaisha, upande wa kaskazini mwa stendi ya ya mabasi ya mikoani hapo Msamvu Morogoro kuna kituo cha mafuta kinajengwa humo ndani ya uzio eneo ambalo lilitakiwa iwe vizimba vya wajasiriamali wadogo na mama lishe lakini limegawiwa kwa mtu ambaye inasemekana ana nguvu za kiuchumi...
  15. JamiiForums Tanzania RC wa Dar Makala na Mbunge wa Kawe kinachoendelea Kituo Tanganyika Packers Kawe kitafanya nikose Uvumilivu nanyi

    Haiingii Akilini yaani Wafanyabiashara Ndogo Ndogo Kituoni Tanganyika Packers Kawe wanahamishwa kutoka eneo wasilotakiwa na kwenda kupelekwa tena eneo wasilotakiwa. Hivi nyie NHC pamoja na RC wa Dar (mwana Wenge BCBG na Simba SC Mwenzangu Amos Makala ) na Poti wangu wa Kanda ya Ziwa Mbunge...
  16. JamiiForums Tanzania Kituo cha kupoza Umeme cha Mpomvu kuipa Geita umeme wa Megawati 90

    Uwepo wa kituo cha kupokea, kupoza na kusafirisha umeme mkubwa wa kilovoti 220/33 kutoka Bulyanuhlu hadi Mpomvu Geita sasa utaifanya Geita kupata umeme wa Megawati 90 wakati mahitaji yao kwa sasa ni Megawati 18. Kukamilika kwa kituo hiki kunaifanya Geita pia kuanza kupata umeme wa kutosha kwa...
  17. JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba ya ghorofa inapangishwa kwa laki tano maeneo ya mtaa wa Chang'ombe B karibu na kituo cha Serengeti

    Nyumba ya ghorofa inapangishwa kwa laki tano (500,000 Tsh) maeneo ya mtaa wa Chang'ombe B karibu na kituo cha Serengeti. Kinachopangishwa ni hiyo ghorofa ya juu. Ipo mtaa mzuri sana nyumba zimejipanga freshwi kabisa. Nyumba hiyo ina: 1. Vyumba vya kulala viwili vyote self contained. 2. Open...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya Mpigania Uhuru na Muaisisi wa TANU Moshi Mjini Kituo Cha Mayatima Cha Halima Selengia (1919 - 2013)

    Marehemu Bi. Halima Selengia aliyefariki dunia mwaka wa 2013 akiwa na umri wa miaka 94 alikuwa kati ya waasisi wa TANU mwaka wa 1954 na mmoja wa wanawake waliokuwa mstari wa Bi. mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Bi. Halima Selengia anaingia katika kundi la akina mam wapigania uhuru...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amwagiza Afisa Madini Mkoa wa Tabora kuanzisha Kituo cha Ununuzi wa Madini

    Katika Wilaya ya Igunga ili kurahisisha biashara ya Madini katika Wilaya hiyo inayoongoza kwa uzalishaji wa madini mkoani Tabora. Kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Tabora inabainisha kuwa, Wilaya ya Igunga ndiyo inayoongoza katika uzalishaji wa dhahabu mkoani humo ikifuatiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mbia wa kuwekeza kwenye kituo cha Afya

    Habarini, Nina maabara ya Afya na nimekuwa kwenye harakati za kuongeza huduma na kuwa Zahanati/Kituo cha Afya. Ni DSM. Karibuni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…