kituo cha mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bushmamy

    Arusha; Walioiba na kuchoma Moto kituo cha mafuta cha Panone Oktoba 29 waanza kufa mmoja baada ya mwingine

    Vijana ambao wengi ni boda boda na wengine wasio boda boda katika Wilaya ya Arumeru wameanza kufa Kwa vifo vya ajabu ajabu hususani kupasuka vichwa ghafla na vifo vingine visivyoeleweka. Tukio hilo linajiri baada ya mmiliki wa kituo Cha mafuta Cha Panone kilichochomwa moto na kuibiwa vitu mbali...
  2. Think2

    Pole kwa mmiliki wa kituo cha mafuta Lake Oil company

    Huyu mmliki amepata hasara kubwa sana sheli zake nyingi zimeharibiwa vibaya kwa moto, watu wamepora mitungi ya gesi yotee yaani kweupe. Lakini pia nitoe pole kwa watz waliouawa kwenye maandamano, pia natoa pongezi kwa JW walikuwa maeneo ya Igoma jijini Mwanza hakuna raia aliyepigwa risasi .
  3. Echolima1

    Huko Tehran jioni hii wamepigwa na kitu kizito kituo cha mafuta chateketea!!

    Kituo cha mafuta huko Tehran Iran jioni hii kimepigwa na kitu kiito kisichojulikana na sasa hivi kinateketea kwa moto!!! Baada ya kipigo cha siku 12 kutoka majeshi ya Israel Iran sasa inasumbuliw na milipuko ya mabomu karibu kila siku nchi humo!!!
  4. M

    Nina kituo Cha mafuta ila Sina pesa ya kununulia mafuta, nifanyaje?

    Wakuu ninamiliki kituo cha mafuta kutokana na changamota nilizopata kimaisha nimejikuta Sina pesa ya kununulia mafuta kwa ajili yakuendesha kituo, nifanyaje ili niweze kupata mtaji pesa yakununulia mafuta? Mkopo wa riba naogopa ntapozeta asset yangu, na je mkopo wa Tsh. 120m riba yake ni...
  5. Bakulutu

    Plot4Sale Kituo cha mafuta kinauzwa (hakikukamilika) kipo kwenye eneo la heka 1

    Kituo kipo barabara ya Bagamoyo/Mlandizi, eneo tambarare kabisa, kina matanki 3 chini tayari na nyumba/ofisi tayari . Bei ni 150M . Hakuna kituo chochote karibu katika hii barabara na barabara nzima yenye umbali wa 35km kuna kituo kimoja tuu . Karibu kwa mazungumzo 0764452424 / 0785452424
  6. 1Africa54

    Safari ya Harland Sanders: Kutoka Kituo cha Mafuta Hadi KFC ya Dunia na Mafunzo kwa Vijana wa Leo

    KFC ni kifupi cha Kentucky Fried Chicken, mgahawa maarufu duniani kwa kuuza kuku wa kukaanga. Historia yake inaanzia kwa mtu mmoja aitwaye Harland Sanders, ambaye alizaliwa mwaka 1890 huko Indiana, Marekani. Maisha yake hayakuwa rahisi. Baba yake alifariki akiwa na miaka sita, na hivyo...
  7. 1Africa54

    Safari ya Harland Sanders: Kutoka Kituo cha Mafuta Hadi KFC ya Dunia na Mafunzo kwa Vijana wa Leo

    KFC ni kifupi cha Kentucky Fried Chicken, mgahawa maarufu duniani kwa kuuza kuku wa kukaanga. Historia yake inaanzia kwa mtu mmoja aitwaye Harland Sanders, ambaye alizaliwa mwaka 1890 huko Indiana, Marekani. Maisha yake hayakuwa rahisi. Baba yake alifariki akiwa na miaka sita, na hivyo...
  8. Pascal Mayalla

    Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies, yazidi kufanya kweli, yazindua Kituo cha mafuta cha 110, Ununio, Kunduchi Beach!. Ndio Kampuni Inyoongoza Tanzania

    Wanabodi, Hii kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies Tanzania, yafanya kweli tena!, yazindua kituo cha 110 cha mafuta eneo la Ununio Kunduchi Beach hapa jijini DSM na kuendelea kuifanya TotalEnergies Tanzania kuwa ndio kampuni ya mafuta, inayoongoza, sio tuu kwa mafuta bora yenye kiambata cha...
  9. M

    Naomba muongozo wa biashara ya kituo Cha mafuta deepbond

    Habar wakuu naomba muongozo abc za biashara ya kituo Cha mafuta mchakato wake ukoje faida kwa siku na vibali na eneo l,na Hali ya ushindand ,,NB deepbond njoo uku tunakuhitaji ushauri
  10. Dalali mbeya jiji

    Kituo cha mafuta kinauzwa mkoa wa Songwe,

    Kituo cha mafuta kinauzwa mkoa wa Songwe, kiwanja kina ukubwa wa sq 2500, kina hati kwa ajili ya matumizi ya kituo cha mafuta Tshs 350m. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050 nyote mnakaribishwa!!
  11. Dalali mbeya jiji

    Kituo cha mafuta kinauzwa Mbeya mjn

    Kituo cha mafuta kinauzwa Mbeys mjini. Kiwanja kina ukubwa wq sq 3000. Bei ni maelewano ya kati ya mnunuzi na muuzaji. Wasiliana nasi. +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!!
  12. Meneja Wa Makampuni

    Kituo cha mafuta kinapangishwa Boko, Dar es Salaam

    🔴 KITUO CHA MAFUTA KINAPANGISHWA BOKO, DAR ES SALAAM 🔴 Je, unatafuta fursa ya kuendesha biashara ya kituo cha mafuta katika eneo lenye magari, Bajaji, pikipiki na wateja wa uhakika? Sasa unaweza kupata kituo cha kisasa cha mafuta kinachopangishwa katika Jiji la Dar es Salaam maeneo ya Boko kwa...
  13. Empty container for sale

    House4Rent Kituo cha mafuta (Sheli ) kinapangishwa. Kipo Boko Magengeni

    Update :tayari kimepata MTU , thank you all.🙏🏽 Kituo cha mafuta kinapangishwa kipo Boko Magengeni . Price 8M - eight million per month Bei million nane Kwa mwezi Kina matenki matatu Diesel lita 25000 Petrol lita 25000 Diesel lita 9000 Ukubwa wa eneo ni Square metres 2970 Call...
  14. Ndama Matandiko

    Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Wana JF Habari za siku nyingi kidogo wakuu? Sasa mliopo Zanzibar nimewafikia kama una changamoto ya kimazingra katika Petro station ⛽ Yako unataka kituo kivutie wateja wako Kwa madhingira kuwa mazuri zaid. Ama unahitaji kujenga au kulekebisha kituo chako Karibu tushauliane tutoe kitu kizuri...
  15. Tajiri Tanzanite

    DOKEZO Arusha maeneo ya Ngulelo kuna Mwekezaji amejenga kituo cha mafuta mpaka barabarani. Serikali ichukue hatua

    Hapo vip!! Hili ni jambo baya sana na sio la kufumbua macho. Kuna muwekezaji mmoja anajenga sheli pale alipoekezaga Bonoban anamambo ya ajabu sana. Leo nimepita pale na gari tunashindwa kupishana kama kawaida mapaka mpange folleni msubiriane jambo ambalo halikuwepo...huyu mwekezaji amesogeza...
  16. Ndama Matandiko

    Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Habari zenu Wana JF? Poleni na hongereni Kwa majukum ya kulijenga Taifa na uchumi wetu Kwa ujumla. Leo nipo hapa kuzungumzia jambo Moja tu. Jambo lenyewe ni kumekuwa na malalamiko ya wamiliki wa vituo vya mafuta. Kulalamikia mifuniko ya kiSasa ya Tank la mafuta MANUAL COVER inayokaa juu ya...
  17. Ndama Matandiko

    Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Ndugu mwana JF, Napenda kuzidi kuwakumbusha kuhusu biashara ya mafuta saivi ndio biashara inayoshika hatamu Kwa Kasi sana. Biashara ambayo inakupa faida Kwa haraka bila mawazo kwani biashara hii ni nzur sana. Unaweza wekeza kituo 1 Cha mafuta ndani ya mwaka 1 ukawa na uwezo wa kujenga kituo...
  18. Ndama Matandiko

    Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Mwana JF Leo nipo hapa kukuoneaha (kukuambia) umuhimu wa kuweka Beam chin kabla kuzika Tank la mafuta. Ukiweka bim inakusaidia Kwa 90% kuwa na uhakika wa Tank lako kutokupanda juu au kuibuka. Hakikisha unaweka bm yenye chuma za kuanzia mm16 mpaka mm25 kulingana na ukubwa wa Tank Kunja huk za...
  19. A

    KERO Kwanini Kituo cha Mafuta kilichojengwa Kimara Stop Over kimejengwa eneo la hifadhi ya barabara ya Morogoro?

    Unapotokea mjini kwenda Mbezi, ukiwa eneo la KIMARA STOP OVER, kuna kituo cha mafuta kinachoitwa RUPIA. Wakati wa Serikali ya awamu ya 5 nyumba nyingi na vituo vingi vya mafuta vilibomolewa ili kupisha ujenzi wa barabara. Mara tu Serikali ya awamu ya Sita ilipoingia tulishangaa kuona kituo kile...
  20. Ndama Matandiko

    Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Fahamu Kwa kina kuhusu ujenzi wa Kituo /vituo vya mafuta (petrol station ⛽) gharama zake, pamoja na process hasa kuhusu vibali vya ujenzi n.k. Naitwa Ndama Matandiko najihusisha na ujenzi wa vituo vya mafuta pamoja na ushauri wa gharama za ujenzi , vibali vyake na aina ya eneo pamoja na faida...
Back
Top Bottom